rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Balozi Dkt. Batilda Salha Burian: Tanga tunakarabati bandari kwa TZS. Bil 429.1 ikiwa ni sababu ya wananchi wa Tanga kumtaka tena Rais Samia Oct 29

    Bandari ya Tanga, ambayo ni bandari ya pili kwa ukubwa nchini Tanzania, imeendelea kushuhudia mageuzi makubwa ya kiutendaji na kimazingira kufuatia uwekezaji mkubwa wa Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA). Kwa muda mrefu, bandari hii ilikuwa ikifanya kazi chini ya...
  2. Fatma Mwasa: Rais Samia ametoa TZS327bn kwaajili ya barabara za mkoa wa Kagera| Angalia hii orodha uone kama kuna barabara inakuhusu kwa safari zako

    https://www.youtube.com/live/sypEPTFaiCI?si=GsKjBWqJIDu50RpP Uboreshaji wa Miundombinu ya Barabara Mkoa wa Kagera Katika Kipindi cha Rais Samia Katika hotuba yake kwa wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Bi Fatma Maswa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Rais Samia Suluhu...
  3. Tujikumbushe alichosema Rais Samia kuhusu wanasiasa wenye "Stress" za 2025

    Wakuu, Wakuu nakumbuka Rais Samia akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO - 19 alionya kuhusu watu wa Serikalini ambao walikuwa na fever ya Uchaguzi
  4. L

    Polepole Amepotosha na kusema Uongo juu ya Salamu ya Rais Samia ya 'Jamhuri ya Muungano wa Tanzania'. Na huu ndio ukweli wake

    Ndugu zangu Watanzania, Baada ya Polepole kuona anaendelea kupuuzwa na kusahaulika kabisa akilini na midomoni mwa Watanzania, sasa ameanza kutunga uongo, kufanya uchonganishi wa kidini, kupandikiza chuki na uongo wa kila aina kwa lengo la kumchafua Rais wetu mpendwa ambaye anaendelea...
  5. L

    Picha ya siku kutoka kwa Rais Samia iliyoteka anga la siasa za Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Tuna Rais mbele yetu kama Taifa, Tuna kiongozi mwenye upendo na Taifa hili, tuna Jemedari hodari ambaye wakati wote ni Mshindi,tuna kiongozi mwenye maono ,maarifa na akili kubwa mbele yetu,tuna Rais ambaye anajua wajibu wake na kufurahia kazi yake. Tuna...
  6. L

    Vijana wa Vyuo Vikuu Wasambaa Mitaani Kueleza Mambo aliyoyafanya Rais Samia katika uongozi wake. Wapokelewa Kwa Shangwe na nderemo na kuzawadiwa

    Ndugu zangu Watanzania, Mitaani kunazidi kunoga ,mitaani kunaendelea kupambazuka,mitaani kunaendelea kuchangamka ,mitaani kunaendelea kuleta raha,mitaani kunaendelea kufurahisha ,mitaani kunaendelea kuamka. Hakuna anayetaka kubakia ,nyuma ,hakuna anayetaka kubakia nyumbani ,hakuna anayetaka...
  7. M

    GE2025 Polepole: Rais Samia hatakiwi kupeperusha bendera ya CCM tunapoelekea kubadili awamu

    Humphrey Polepole amesema kwa utamaduni, desturi na katiba ya Chama cha Mapinduzi, Rais Samia hatakiwi kupeperusha bendera ya CCM kipindi hiki kwa msingi kuwa amekuwa Makamu wa Rais, Mungu akampromote kuwa Rais, tunapokwenda kubadilisha awamu tunakwenda kusema tumewaletea hawa, tutakimbia kwa...
  8. L

    Rais Samia ametenda haki katika uteuzi wa wagombea Ubunge

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na jemedari wetu kipenzi cha Watanzania, Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan — mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini, na nuru ya wanyonge. Ameonyesha kujawa...
  9. R

    Rais Samia: Wadau wa Sekta Binafsi wapewe nafasi ya kununua vichwa vya Treni na Mabehewa ili Reli itumike kikamilifu

    Rais Samia akiwa katika ziara Mkoa wa Pwani ameshiriki uzinduzi rasmi wa safari za mizigo za reli ya SGR, Uzinduzi wa kituo cha kimataifa Logistic cha Kwala na uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala amewataka Viongozi kuendelea kuhamasisha wadau wa sekta binafsi wa ndani na nje ya nchi kuchangamkia...
  10. GE2025 Rais Samia kulivunja Bunge rasmi Agosti 3, 2025

    Rais Samia Suluhu Hassan, ametangaza kulivunja rasmi Bunge Agosti 3, 2025, ili kutoa nafasi kwa uteuzi wa wagombea wa Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu. Taarifa hiyo imetolewa leo, ikiwa ni utekelezaji wa Ibara ya 90(2)(a) ya Katiba ya Tanzania, inayompa Rais mamlaka ya...
  11. RAIS SAMIA: MRADI WA MKUJU KUIWEKA TANZANIA KWENYE RAMANI YA URANI DUNIANI

    RAIS SAMIA: MRADI WA MKUJU KUIWEKA TANZANIA KWENYE RAMANI YA URANI DUNIANI ✅️ Azindua Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Urani Namtumbo- Ruvuma ✅️ Asema Tanzania kuwa miongoni mwa nchi 10 zinazozalisha Urani kwa wingi duniani. ✅️ Mradi kuzalisha tani laki 3 za Urani kwa mwaka ✅️ Serikali...
  12. Kagera: Rais Samia awajengea wahaya vyuo 5 vikubwa vya VETA kikiwemo cha Burugo alichotumia TZS20bn Sasa pamoja na kupenda kingereza na Ufundi watajua

    Chini ya Rais Samia Vyuo vipya 5 vya VETA vyajengwa mkoani Kagera kikiwemo cha Burugo kilichogharimu zaidi ya TZS20bn. Rais Samia amepeleka shillingi Billioni 128 mkoani Kagera kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya elimu, bilioni 4.1 kujenga shule mpya ya bweni kwa wasichana. Katika kipindi cha...
  13. Chini ya Rais Samia Pato la Mkoa wa Kigoma ni zaidi ya Bajeti ya majirani zetu wa Burundi sasa Kila mwanakigoma anapato la TZS2,400,000 kwa mwaka

    Chini ya Rais Samia Pato la Mkoa wa Kigoma ni juu ya Bajeti ya nchi ya Burundi, Pato la mtu mmoja mmoja lafikia milioni 2.4. Chini ya Rais Samia hali ya Uchumi ya Mkoa imeendelea kuimarika ambapo pato la Mkoa limeongezeka kutoka shilingi Trilioni 4.1 mwaka 2020 hadi shilingi Trilioni 5.6 mwaka...
  14. Sasa Kigoma Kabingo Kasulu hadi Burundi ni lami tu lakini ni baada ya Rais Samia kutoa TZS800bn

    https://youtu.be/MQdQ5Sh0Yzw?si=ltQZuh2mTXdjErYc Kuna mambo tunaweza kubishana au kubishania ila sio kazi kubwa alizofanya Rais Samia ndani ya Miaka 4. Rais Samia kwa Ushirikiano na AfDB wanajenga Barabara yenye urefu wa kilometa 305 kutoka Kabingo–Kasulu–Manyovu hadi Burundi kwa thamni ya...
  15. GE2025 Samia Suluhu, tumia tu TV kunadi sera zako kuliko kutumia mabilioni kufanya kampeni. CCM haina mpinzani yeyote! Mpinzani yuko jela!

    Tayari mpaka Sasa tundu lissu akiwa jela na chadema ikiwa off kwa kubanwa mbavu Kila Kona na mahakama hakuna Tena matumaini ya chadema kuingia uchaguzini mwaka huu!!! Kwa maana hiyo ccm itaingia kupambana na hashimu rungwe pamoja na yule dada wa act, mpaka hapo ccm imemaliza uchaguzi...
  16. GE2025 Stephen Wasira: Rais Samia anakubalika kwa 70% kuliko hata Trump!

    Wanabodi Watch TBC live Akizungumza katika kipindi cha MIZANI, Stephen Wasira amesema alitembea kanda zote za Tanzania kupima joto la siasa. Aidha amesema kwa utafiti wa AfroBarometer uliofanyika mwaka 2024 umeonesha kuwa Rais Samia anakubalika kwa 70% wakati Rais wa Marekani, Donald Trump...
  17. Rais Samia: Madini ya Urani ni hazina ya Taifa, tuitumie kwa busara

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema uzinduzi wa kiwanda cha majaribio cha uchenjuaji wa madini ya urani kilichopo Namtumbo mkoani Ruvuma, ni hatua muhimu na ya kihistoria katika safari ya taifa kuelekea uchumi wa kisasa unaotegemea maarifa na rasilimali za...
  18. GE2025 Rais Samia aendelea kugawa Bahasha za Maokoto, Msaga Sumu aokota huko Namtumbo

    Wakuu! Bahasha zinatembea, beat likipigwa! :oops: Rais samia ameendelea na "desturi" ya kugawa bahasha za Maokoto kwa Wasanii kila wanapotumbuiza kwenye shughuli zake na leo Msaga Sumu hakusalimika, kapokea zake huko Namtumbo wakati wa uzinduzi wa Kiwanda cha majaribio cha uchenjuaji wa madini...
  19. F

    Yumkini kesi hii ni kati ya Lissu na Rais Samia

    Mbona kesi hii inaendelea kupigwa tarehe tu kila siku bila kikomo? Mbona Mahakama haitaki kuipeleka kesi hii panapohusika haswa, yaani Mahakama Kuu? Kwanini Mahakama Kuu inakuwa na kigugumizi na kushindwa kutoa uamuzi mara moja hadi mtuhumiwa mwenyewe anaomba kesi iende mbele kwenye Mahakama...
  20. R

    GE2025 Rais Samia awasili Ruvuma kuelekea Wilaya ya Namtumbo kwa Uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Uwanja wa Ndege wa Songea, mkoani Ruvuma tayari kwa safari ya kuelekea Wilayani Namtumbo kwa ajili ya Uzinduzi wa Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Madini ya Urani cha Mantra Tanzania Limited, tarehe 30 Julai...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…