rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Itachukua miongo mingi sana kuipata tena hotuba hii iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan

    Hakika Uongozi huwekwa na Mungu. Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongea na wazee wa Dar Es Salaam. Hii ni Hotuba nzito sana iliyoonesha Upole, Ukweli na dhamira njema. Hotuba hii imeonesha kuwa Rais yupo well informed. Hotuba hii imetambulisha adui ni nani...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Vijana wa Tanzania hawana uzalendo, wanatumwa na kuyumbishwa mambo yasiyowahusu

    Rais Samia ameyaongea hayo leo Disemba 2, 2025 wakati akiongea na Wazee wa Dar es Salaam akiongelea yaliyotokea siku ya Uchaguzi na yanayoendelea mitandaoni na mitaani akisema matukio hayo yamewapa Serikali funzo kuwa vijana wa Tanzania hawana elimu ya uzalendo na ndiyo maana serikali imeamua...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia to Western Countries: Who are You? They think they are still our masters?

    Rais Samia amesema katika visingizio vya upinzani kuepuka kushindwa na uchaguzi wanaweka visingizio, ambavyo vyote vinaungwa mkono na nchi za nje. Nje hawana aibu wanakaa wanasema Tanzania ifanye moja, mbili tatu halafu ndio itakuwa hivi, WHO ARE YOU? Niawaulize kwao hayatokei? Tumenyanyua...
  4. JamiiForums Tanzania Kwisha! Rais Samia amelitia taifa kwenye tanuru la moto tujilinde wenyewe

    Kwisha! Rais Samia amelitia taifa kwenye tanuru la moto tujilinde wenyewe
  5. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia: Serikali tumejipanga, waje siku yoyote tunawasubiri (kuhusu Maandamano ya Disemba 9)

    Hii statement siyo nzuri kwa kipindi hiki inaweza kum cost. Kwamba waje 9 Disema au 25 Disemba au siku yeyote tumejipanga. Who are You. Ameyasema haya leo akinukuu clips za Mange Kimambi za mitandaoni.
  6. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Serikali hii si ya kuamrishwa wala kupewa maelekezo

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akihutubia taifa katika Mkutano na wazee wa Dar es Salaam leo Desemba 2, 2025 amesema serikali yake si ya kuamrishwa wala kuyumbishwa "Nimepata salamu wanasema tutakubali tu kukaa na serikali ikiwa watafanya moja, watafanya mbili...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Maumbile yetu na utajiri wetu isiwe laana tukauana kwa kushawishiwa na wanaotolea macho nchi yetu

    Rais Samia amesepa, Tanzania inapigwa na kulembewa mawe kwa vile Mungu alivyotuumba kuwa nchi yenye utajiri na rasilimali nyingi. Ameongeza kuwa Maumbile yetu na utajiri wetu visisababishe watanzania wakauana kwa kushawishiwa na wale wanaotolea macho nchi yetu. Huu ni wakati wa watanzania...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

    Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu". Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8 Pia Soma: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kumbe Rais Samia ndiye alitoa ruhusa ya kufanya siasa?

    Miaka yote nilifikiri suala la kufanya shughuli za kisiasa hapa nchini ni takwa la kikatiba kumbe ni ruhusa ya Rais. Amesema mwenyewe huko kwenye mkutano na wazee wa Dar es Salaam.
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Waratibu wa maandamano wanatoka nje, wachache wa ndani ni kwa sababu ya njaa na kukosa uzalendo

  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vurugu zilipangwa siku ya uchaguzi kwa sababu walishajua CCM inaenda kupata ushindi mkubwa.

  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia anahutubia Taifa kupitia Mkutano wa Wazee wa Dar es Salaam, ukumbi wa JNICC

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano maalum ulioandaliwa na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2025...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo. Ilikuwa tuwaangalie waandamanaji waliojiandaa kufanya mapinduzi mpaka wafanikiwe?

    “Tunaapa kuilinda nchi hii na mipaka yake, kulinda usalama wa raia na mali zao. Na katika hali hiyo, nguvu inayotumika inaendana na tukio lililopo.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Kilichotokea kilipangwa, lengo lilikuwa kuangusha dola. Yale hayakuwa maandamano bali vurugu za uharibifu

    Akizungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam Dec 2, 2025 Rais Samia ameeleza kuwa watu walioingia barabarana walikuwa na lengo la kuiondoa dola madarakani na tukio hilo lilikuwa ni la kutengeezwa. Anasisitiza vijana walifanywa makasukua na kuimbishwa kuwa wafanye ili yatokee yaliyotokea Madagascar
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Poleni mliofiwa na ndugu zenu. Msiba huu ni wetu sote

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewapa pole wale waliofiwa na ndugu zao katika maandamano ya Oktoba 29, ingawa yeye ameeleza kuwa maandamano hayo yalijumuisha vurugu. Rais Samia Suluhu Hassan aliyasema haya wakati akizungumza katika mkutano maalum...
  16. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Walioratibu fujo Oktoba 29 walitaka watanzania kuwa makafara kwa malengo yao ya kisiasa yaliyojaa ubinafsi

    Rais Samia amesema vurugu zilizotokea Desemba 29 na kuendelea siyo desturi wala utamaduni wa Watanzania. Ameongea kuwa inatia uchungu kuona wachache walioratibu fujo zile wakitaka watanzania wenzao kuwa makafara kwa malengo yao ya kisiasa yaliyojaa ubinafsi tofauti na siasa zilizopo, lakini kwa...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Lililotokea ni tukio la kutengenezwa, ni mradi wenye nia ovu kuangusha dola ya nchi yetu

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema matukio yaliyotokea kuanzia Oktoba 29, 2025 na kuendelea yalikuwa matukio ya kutengenezwa ambayo yalikuwa na lengo la kuangusha dola ya nchi yetu. Ameyasema hayo leo Disemba 02, 2025 akizungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam katika ukumbi wa mikutano wa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Sifa yetu inaporomoka, wasiotutakia mema wanakerekwa kuwa Tanzania ni nchi ya amani

    Rais Samia akihutubia Taifa leo desemba , 2025 katika Mkutano na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam uliofanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa ya Mwl. Julius Nyerere JNICC amesmea kuwa Sifa ya utamaduni wa amani ya Tanzania unaporomoka kadri siku zinavyozidi kusonga kufuatia baadhi ya watu kureketwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Dar es Salaam tulionja joto ya jiwe

  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wazee wa Dar es Salaam wampongeza Rais Samia kwa ushindi mkubwa

    Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Salum Matimbwa amesema Wazee wa mkoa huo wanaungana na Watanzania lkumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ushindi wa kishindo alioupata katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2025. Mzee Matimbwa akizungumza katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…