rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia Suluhu Hassan: Serikali kufanya mazungumzo kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa serikali ipo katika mazungumzo ili kuweza kuendeleza mradi wa bandari ya Bagamoyo. Hayo ameyasema leo Tarehe 26, 06. 2021 wakati wa hotuba yake katika mkutano wa 12 wa baraza la biashara. Rais Samia amesema pia hiyo itakwenda sambamba na mradi wa Mchumchuma...
  2. Ahsante Rais Samia, hatimaye HESLB wafuta VRF kwenye system yao

    Kama tunavyojua, kwa mujiba wa katiba yetu Mheshimiwa Rais halazimiki kufuata ushauri wa mtu yeyote yule. Hivyo basi tunapokuwa na rais msikivu tena anayefanyia kazi maoni na malalamiko ya watu wake ni baraka kubwa kwa taifa Kwa sasa ukiangalia statement ya deni lako kwenye mfumo wa bodi ya...
  3. K

    Rais Samia anafungua Uhuru wa habari Spika Ndugai anaziba mdomo watoa habari. Hii nchi ina Marais wangapi?

    Spika wa Bunge anapotumia Bunge kunyamazisha wanannchi nikinyume kabisa na Katiba. Anapoingilia Uhuru wa vyombo vya habari ni kinyume kabisa na sheria za nchi. Kitendo cha spika kuanza kuvifunga mdomo vyombo vya habari kwa kisingizio kwamba wanaandika na kuripoti habari zakupotosha Ni kinyume...
  4. Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kukutana na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) leo Juni 25, 2021 Rais atakutana nao katika Makao Makuu ya TEC, Kurasini ========== 5:30 Asubuhi: Rais Samia Suluhu ameshafika na kuimbwa wimbo wa Taifa, kinachoendelea kwa sasa ni utambulisho wa...
  5. Rais Samia Suluhu ajengewe mnara wa kumbukumbu

    Habarini, Kama katiba yetu inavyosema kuwa 'kila mtu anayo haki ya kutoa maoni yake kwa uhuru', Mimi pia nina maoni yangu. Pale posta kwenye mnara maarufu wa Askari ninashauri mnara wa Askari utolewe na uwekwe mnara wa Samia Suluhu (Rais wa Jamhuri ya Muungano). Maana wengi hatujui maana...
  6. B

    Watumishi wapata kicheko, Mhe. Rais Samia kaishafanya jambo lao - mishahara juu

    Jambo lililoshindikana kwa miaka mitano Mhe. Rais Samia ameliweza ndani ya siku 100. Ni usiku usiku miamala imesoma kwa madaraja mapya tena bila watumishi kupewa barua. Maisha marefu kwa Mhe. Rais Samia Suluhu. Hurrah Mhe. Rais Samia.
  7. Siku100 Ikulu: Rais Samia anavyotibu siasa za utapiamlo

    #Siku 100 za Samia: Rais Samia anavyotibu siasa za utapiamlo Deogratias Mutungi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatimiza siku mia moja hapo Juni, 26 tangu kuapishwa kwake tarehe 19 mwezi wa tatu, kufuatia kifo cha mtangulizi wake JPM, ndani ya siku hizi mia moja...
  8. T

    Muda muafaka wa kuanzisha tovuti ya ongea na Rais Samia

    Habari wakuu, Napenda kumshauri mama yetu Samia Hassan, ikimpendeza anzishe tovuti maalumu ya kuweza kupokea malalamiko, maoni na ushauri kutoka kwa wananch wake. Hii itasaidia kubaini tatendaji wabovu,manyanyaso na uonevu katika jamii moja kwa moja, tovuti hiyo ikishakusanya maoni, awepo mtu...
  9. J

    Chama cha Mapinduzi charidhishwa na kutambua juhudi kubwa zinazochukuliwa na Serikali ya Rais Samia katika Sekta ya Uwekezaji

    Chama cha Mapinduzi kimesema kinaridhishwa na kutambua jitihada kubwa zinazochukuliwa na serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya uwekezaji ambapo mazingira ya mazuri ya kuaminika na kuvutia ya uwekezaji nchini yamepelekea milango ya uchumi wa nchi kuanza kufunguka kwa kasi...
  10. Mishahara kuchelewa, kipimo kingine cha uwezo wa Rais Samia

    Leo tarehe 24 mishahara bado haijalipwa. Ieleweke kwamba vitu kama hivi ndivyo vitakavyopima uwezo wa Rais Samia kama anastahili Awamu ya Pili au la. Nachelea kusema kwamba kwa mwezi kama huu (mwisho wa mwaka wa fedha) kufika tarehe 24 mishahara haijalipwa si dalili njema huko tuendako.
  11. Unajua Mimi ni Nani? au Una mtu pale? Rais Samia hii ndio dawa yake, imepatikana

    Siongei mengi. Pakua pdf Jisomee mwenyewe! Halafu toa maoni yako, ni nini mtazamo wako katika hili. Mimi nampa kongole, kapiga mwingi sana.
  12. Siku 100 za Rais Samia madarakani

    #Siku100zaSamia: Rais Samia anavyotibu siasa za utapiamlo THURSDAY JUNE 24 2021 Summary Rais Samia Suluhu Hassan anaelekea kutimiza siku 100 tangu kuapishwa kushika wadhifa huo Machi 19, mwaka huu, baada ya kifo cha mtangulizi wake, John Magufuli. Rais Samia Suluhu Hassan anaelekea kutimiza...
  13. Rais Samia, tumia ARDHI kwa njia hii kukabiliana na changamoto ya ajira nchini

    Haka kajamaa kakajengewa hata sanamu DSM kule city centre ama hata Dom. Yupo vizuri, sema nimegundua sio muandishi mzuri lakini ana vision. Halafu ukute ni jobless hahahahahaha ndio atajua hajui. Am joking guys! Ametoa madini si mchezo yaani. Kila mtu ajisomee PDF hapo down. Nina wasiwasi...
  14. Rais Samia, hivi ndivyo ambavyo unaweza kutumia BAHARI kuondoa tatizo la ukosefu wa Ajira nchini

    Sina maelezo mengi, PDF ya jamaa inajieleza zaidi. Sijui huyu ndio Kigogo au sijui ni nani. 1/10SHIRIKA LA KAZI TANZANIA (TANZANIA LABOUR CO-OPERATION) (Kumradhi Mama, naomba niandike kwa lugha za vijana wa mitandaoni)Mama Shikamoo!Mama, nilifurahi uliposema unataka kufungua nchi...
  15. BAVICHA wanajipendekeza sana kwa Rais Samia pamoja na viashiria ambavyo mama anawaambia kuwa mind your own business

    BAVICHA wamekuwa wapiga soga wapiga ramli waigizaji wapika majungu wametoka kwenye siasa ziwe za kujenga hoja au za kiunaharakati wamekuwa wapiga majungu ambao wanashindwa kutambua kwamba uimara wa Chama Chao hautokani na madhaifu ya CCM bali unatokana na Sera dhabiti zenye kuunganisha makundi...
  16. Rais Samia awaapisha Balozi Batilda kuwa RC Tabora na Zuwena Omari kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Balozi Batilda Salha Burian kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Zuwena Omari Jiri kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga.
  17. C

    Rais Samia, tunaomba Wakuu wa Wilaya wa Tarime na Rorya watoke vyombo vya ulinzi na usalama

    Mh Rais kwa asili ya watu wa haya maeneo fujo, ubabe na kulindana pia hizi wilaya kuna baadhi ya wakulima wa bangi ,watumiaji na wasafirishaji na wizi wa mifugo, uvamizi na unyang'anyi wa kutumia silaha na ikizangatia haya mambo yanahusisha na nchi jirani (mpakani) Naomba ubadilishe mkuu wa...
  18. Hivi kweli Rais Samia umedhamiria kuleta maendeleo nchini?

    Kwa namna ulivyoteua ma-DC sioni kama uko serious. Nafasi ya u-DC inashuka hadhi kila kukicha, kwa sababu inaonyesha kila mtu anaweza kitu ambacho si kweli. DC ni mtu ambaye anatakiwa atoe dira ya maendeleo ya wilaya yake lakini kwa baadhi ya hawa uliowateua ni sawa na wapiga debe wa daladala...
  19. Nape Nnauye: Kwa bajeti hii ya Rais Samia hela zitamwagika mtaani watanzania tujiandae kuzichota

    bunge wa Mtama, Nape Nnauye ameisifia bajeti ya mwaka huu ambayo ni yakwanza kwa Rais Samia Suluhu akisema ni bajeti ya watu kwa kuwa imegusa maisha ya watu moja kwa moja na kwamba vyuma vilivyokaza sasa vitaachia. Nape amesema bajeti ya Samia imekamika kila idara na ni bajeti bora sana...
  20. T

    Rais Samia tunakuomba uingilie kati swala PSSSF na NSSF

    Wakuu napenda kufahamu kama PSSSF & NSSF wamefanya mabadiliko ya kuwalipa wanufaika kwa wakati, vijana wapo mtaani hawana ajira. Mama Samia Rais wetu, yunakuomba uingilie kati hili swala, vijana wengi wanadai mafao yao ambao wangepata hizo pesa wangejiajiri wakati wakiendelea kutafuta kazi ama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…