rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia, wanakudanganya kuwa wapinzani wanakudharau kwa kuwa ni mwanamke

    Kwa kuangalia siku 100 za kwanza za Rais Samia Suluhu Hassan zilivyokuwa zimeleta matumaini makubwa kwa watanzania, katika kuijenga demokrasia na kuheshimu haki za binadamu, kwa namna alivyopiga U turn, katika siku chache zilizopita, ndipo hapo wananchi wanajiuliza, kimetokea nini tena kwa Rais...
  2. Mambo 5 yanayotajwa kuporomosha umaarufu wa Rais Samia

    Rais wa Jamhuri wa Muungano, Samia Suluhu Hassan, anakabiliwa na kibarua kigumu cha kujisafisha kwenye mioyo ya wananchi na jumuiya ya kimataifa, kufuatia utawala wake kugubikwa na mambo matano yanayoutia doa katika siku za hivi karibuni. Anaripoti mwandishi wa gazeti la Mwanahalisi Online na...
  3. Rais Samia apokea Ndege ya Mizigo, aeleza nia ya Serikali kuboresha Sekta ya Anga kwa miaka mitano ijayo

    Rais anapokea ndege ya Tisa Taarifa zaidi kukujia RAIS SAMIA: MIAKA MITANO IJAYO TUMEJIPANGA KUIMARISHA SEKTA YA ANGA Rais Samia Suluhu Hassan amesema wamejipanga kuimarisha Shirika la Ndege na Usafiri wa Anga Amesema hayo katika mapokezi ya ndege mpya ambayo itafanya Tanzania iwe na...
  4. N

    Askofu Gwajima ana chuki binafsi dhidi ya Rais Samia, hili la chanjo ni kupitishia tu chuki yake

    Leo nimekaa nikaiskiliza video nzima ya Askofu Gwajima Youtube kitu nilichogundua ni kwamba Gwajima ana chuki binafsi kwa Rais Samia but ametumia kigezo tu cha chanjo kupitisha chuki zake. Point kubwa aliyozungumza Gwajima ni kwamba tukichanjwa tunaweza kuwa tumewekewa chip na wazungu wakawa...
  5. J

    Dkt. Mollel: Chanjo ya Corona ni salama, ndio maana Rais Samia baada ya kuchanja akaenda Lugalo kuendelea na majukumu yake

    Naibu Waziri wa afya Dkt. Mollel amesema chanjo ya Corona ni salama ndio maana Rais Samia mara tu baada ya kuchanjwa aliweza kuendelea na shughuli zake kama kawaida. Mollel amesema Rais Samia alitoka Ikulu baada ya kuchanjwa na kwenda Lugalo Hospital ambako alifanya ukaguzi na kufungua mradi...
  6. J

    Rais Samia kupokea ndege mpya ya ATCL Julai 30, 2021

    Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan kesho atapokea ndege mpya ya ATCL. Ndege hiyo ni miongoni mwa zile 11 zilizoagizwa na serikali yy awamu ya 5 chini ya hayati Magufuli Mtanikumbuka - JPJM Mungu ni mwema wakati wote! === Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho Julai 30, 2021 anatarajiwa...
  7. Watanzania msikilizeni Rais Samia kuhusu chanjo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewahakikishia Watanzania kuwa chanjo ni salama na kamwe hawezi kuwaletea chanjo ambayo ina madhara kwa kuwa yeye ni Kiongozi Mkuu wa Nchi anayejali afya za wananchi wake. Rais Samia ameyasema hayo wakati akipata chanjo ya...
  8. UVCCM: CCM imchukulie hatua Askofu Gwajima kwa kuhamasisha Watanzania kukataa chanjo ya Uviko-19

    Dodoma. Umoja wa Vijana wa CCM ( UVCCM) umekitaka chama chao kumchukulia hatua Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima kwa kitendo chake cha kuhamasisha watanzania wakatae chanjo ya Uviko-19. Katibu Mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi ameyasema hayo leo Jumanne Julai 28 2021 mara baada kumalizika kwa...
  9. Ufafanuzi: Muuguzi aliyemchoma chanjo Mhe. Rais Samia na viongozi wengine kutovaa mipira ya mikono (gloves)

    Kwa mujibu wa taarifa hapo juu, Gloves sio lazima kuvaliwa wakati wa kuchoma chanjo ya COVID-19. Hivyo tunapenda kuwatoa hofu wananchi kuwa Mhudumu aliyewachoma chanjo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na viongozi wengine alikuwa anatekeleza majukumu yake kwa kufuata taratibu zote ikiwemo...
  10. Rais Samia na Serikali, chanjo ya Johnson & Johnson inahitaji mtu apate tena booster

    Kuhusu chanjo ya Johnson and Johnson, Leo nimesikiliza vizuri Serikali ikizungumzia hili suala na Mh. Raisi amezungumza kuwa unapata chanjo moja tu. Hapa kuna jambo halipo sawa, kwa taarifa zinazotolewa na vyombo vya habari ambavyo ni credible Kama New York Times, Reuters, daily mail vinasema...
  11. Rais Samia azindua Chanjo ya COVID-19 na kuchanjwa. Asema hawezi kujipeleka kwenye Kifo

    Mzee wa upako, Athony Lusekelo ameitwa kufungua kwa sala na kabla anatoa maneno machache ikiwemo kutaka watanzania kuiamini chanjo kwani Serikali imejiridhisha. Pia ameongelea kauli ya Magufuli na kusema hakukataa bali alitaka tahadhari, Mwisho amesema wakristo kuna mambo wanakubaliana wote kwa...
  12. Rais Samia, uongozi si hotuba zenye maneno matupu. Uongozi ni matendo yenye matokeo ya ulichotamka

    Mwendazake Rais John P. Magufuli alikuwa na sifa moja nzuri kwa kiongozi yeyote. Kusimamia utekelezaji wa kile alichoamini na kukiamua bila kujali matokeo yake yaani yawe wazuri au mabaya, hasi au chanya. Alikuwa ni aina ya viongozi "risk takers". Hakuogopa matokeo ya kushindwa. Nadhani ndiyo...
  13. Rais Samia Suluhu awaapisha Mabalozi Ikulu. Asema Tozo za Miamala zitaendelea ila zitarekebishwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan awaapisha Mabalozi 13, Ikulu Dar es Salaam ========== Anaeongea kwa sasa ni waziri wa mambo ya nje, balozi Mulamula ambae anamshukuru kwa Imani kubwa ambayo amewekeza kwao na wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki...
  14. J

    Kwa Kasi Hii Rais Samia Suluhu Hassan lazima Upinzani upoteane nchini

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango leo ameweka jiwe la msingi katika Jengo la Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini - Mtwara lililopo Manispaa ya Mtwara Mikindani eneo la Mitengo Mkoa wa Mtwara. #KaziIendelee Source: Wizara ya Afya
  15. Huyu dereva wa gari sio Rais Samia kweli?

    Tafasiri yangu inasema huyu ni Rais Samia. Amechonga barabara inayompeleka shimoni. Naye katika kuendesha gari lake anataka kulitumbukiza gari shimoni.
  16. C

    Ushauri: Rais Samia Suluhu na timu ya Corona fanyeni haya kuboresha mapambano dhidi ya COVID19

    Mheshimiwa Rais, naomba nikupongeze kwa nia yako nzuri ya kuleta mbadiliko chanya katika ustawi wa taifa. Ama nikupongeze kwa juhudi kubwa unazofanya katika kuendeleza juhudi na upekee wa aliyekuwa rais wa JMT wa awamu ya 5 Rais John Pombe Magufuli. Muendelezo huu ni pamoja na kuboresha pale...
  17. Rais Samia vunja Serikali ya Magufuli, unda ya kwako kabla hujachelewa

    Mheshimiwa sana rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan, naomba nikushauri kwa heshima na taadhima. Acha kuweka viraka kwenye serikali ya awamu ya tano na kuifanya iwe ya awamu ya sita. Badala yake ivunje serikali ya awamu ya Magufuli na uunde ya kwako. Kwani si umeshashika hatamu kwenye chama, au...
  18. Rais hakuwatuma Polisi wamkamate Mbowe na kumpa kesi ya ugaidi

    Friends and Enemies, Miez kadhaa iliyopita enz za uongoz wa Magufuli,the so called constitution reform heroes walipewa jibu MOJA tuh na mwendazake,nalo ni siyo kipaombele chake, Walikaaa kimya,na wengine walikimbilia Dubai na wengine Canada wengine wakahama chama na kumfuata kwenda kuunga...
  19. Prof. Lipumba: Rais Samia hawezi kukwepa lawama kuhusu kukamatwa kwa Mbowe

    Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amesema Rais Samia Suluhu Hassan hawezi kukwepa lawama kufuatia tukio la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe. "Jeshi la Polisi lingeweza kumkamata Freeman Mbowe popote hata alipokuwa msibani, kama kweli kuna tuhuma...
  20. Watanzania tuwe makini na vyombo vya habari vya Kibeberu. CNN wazusha kukamatwa kwa Freeman Mbowe ni amri ya Rais Samia!

    Wanabodi, Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa". Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…