rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Serikali ya rais Samia yafanya makubwa jimboni Chalinze, mbunge na wananchi washukuru sana

    Serikali ya JMT leo imetimiza ahadi zake zilizotolewa na Rais wa JMT Mh. Samiah Suluhu Hassan kwa kupeleka Vifaa tiba Hospitali ya Wilaya ya Chalinze vyenye thamani ya Shilingi Milioni 480 ikiwemo mashine ya Kupiga picha za Mionzi yaani X-Ray, Jokofu la kuhifadhia maiti, mashine za kupimia damu...
  2. U

    Rais Samia Akutana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Tony Blair

    Mazungumzo ya Viongozi hao yamefanyika leo September 29,2021 Ikulu ya Chamwino Dodoma
  3. P

    Shukrani kwa Rais Samia na Serikali yako tukufu

    Tunashukuru Mh. Rais Samia na Serikali yako sasa tumeanza kuona ajira mpya. Ni jambo la kheri na inatia faraja kiasi. Lakini pamoja na hayo yote mema na mazuri, Mheshimiwa tunaomba usawa katika nafasi hizi kama ikikupendeza nikiwa na maana hii: 1. Kuna baadhi ya kada hazipati fursa ya kutoa...
  4. Rais Samia; Achana na hoja ya Haki Sawa inakupotezea Ushawishi ndani ya jamii

    RAIS SAMIA, ACHANA NA HOJA YA HAKI SAWA. INAKUPOTEZEA USHAWISHI NDANI YA JAMII. Na, Robert Heriel. Kwa maoni na mtazamo wangu ambao kimsingi nauamini, ninaona mbele zaidi miaka kadhaa ijayo. Naomba Mhe. Rais uachane na hoja ya Haki Sawa bhaina ya Mwanamke na Mwanaume. Hakunaga haki Sawa baina...
  5. Rais Samia, kwani wanaume tumekufanya nini?

    Nimekuwa nikifuatilia hotuba za Rais Samia, yaani muda mwingi anatumia kumpamba mwanamke na kutunyooshea vidole wanaume. Hii hali anayokuja nayo Rais siyo salama maana huko mbele itapelekea watanzania wasiwe na imani naye tena. Huwenda si yeye tu hata wanawake kwa ujumla atakuwa amewatia doa...
  6. T

    Kassim Gogo: Msukuma sio raia wa Tanzania, yeye na genge lake wanaandaa mtu wao kuwa rais 2025

    MSUKUMA ASHUKIWA NA MJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM TAIFA _____________________________________ Amwambia Lengo lake ni kugombanisha Machinga na Serikali. Atajwa kuratibu kundi la Kumkwamisha Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan 2025. Uraia wake wahojiwa Kwa kutumia jina la mama yake kama jina la baba...
  7. Usiyoyajua Kuhusu Samia UN: Kumbe alitaka kuhutubia Kiswahili! Baada ya Kiswahili kuwa Lugha ya Afrika, Rais Samia kukipaisha kuwa Lugha ya Dunia

    Wanabodi, Baada ya Rais Samia kuhutubia Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini New York nchini Marekani kwa kutumia lugha ya Kiingereza safi kilichonyooka, kuna wajinga fulani huku kwenye mitandao ya Kijamii, walimpongeza Rais Samia kwa kuhutubia kwa Kiingereza safi na huku wakimponda...
  8. M

    Hivi Rais Samia anavalishwa kweli Majoho ya Kimila au anafanyiwa tu Ushirikina uliochangamka kutoka Mwanza na Dodoma?

    Endeleeni tu kutufanya Watanzania wote ni hamnazo ( tuna Akili za Kipa Katoka ) hivyo mtatuzuga kwa kila namna wakati tuliobobea kwa Mambo hayo ( japo Juzi tulizidiwa na wa Yanga SC ) tumeshajua nini Kinaendelea. Naona kabla hajaiacha Ardhi ya Tanzania kwenda kwa Joe Biden Wasukuma kupitia Zuga...
  9. M

    Huko nyuma tulionya kuwa Rais Samia alindwe sana na Wanaume mkasema Wanawake wanaweza, mbona hivi sasa Wanaume mmewajaza tena?

    Siwadharau na wala siwapuuzi Walinzi wa Kike ila tuacheni Masihara kuwaweka mbali Walinzi wa Kiume mwanzoni ilikuwa ni Hatari japo wengi tuliohoji na kulipinga hilo hapa JamiiForums tulipuuzwa. Asanteni sana USP kwa Kuuimarisha zaidi Ulinzi wa Bi. Hangaya n hasa hasa kwa Kuamua Kuwarudisha...
  10. J

    Askofu Konki aiombea nchi na Rais Samia

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Elim Pentekoste Tanzania, Peter Konki amewaomba Watanzania kila mmoja kwa nafasi yake kufanya maombi kwa ajili ya taifa la Tanzania na rais Samia Suluhu Hassan Mungu aweke walinzi juu ya ufahamu wake ili uamuzi atakaoufanya katika nchi uwe wa busara na wenye tija kwa...
  11. C

    Rais Samia ataka vikundi vipewe milioni 100 badala ya vijipesa

    Rais Samia: Jingine ni lile la asilimia kumi, Dodoma wamesema vizuri hapa, hongera mstahiki meya na mkuu wa mkoa. Wamesema vizuri kwamba wanajipanga sasa kwa ajili ya kutoa visenti vichache kwa kila kundi na mimi huwa nasema, fungu lile lilikuwa linatumika kama mfuko wa kisiasa wa madiwani, kila...
  12. T

    Serikali ya Rais Samia inatekeleza miradi yenye thamani ya TZS 53bl mkoani Singida

    Anyampanda isomeni hii polepole kwa kutulia mtajua ni kwa kiasi gani Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan anawapenda watu wa Singinda, _________________________________________ SERIKALI imetoa Sh.Bilioni 52.975 mkoani Singida kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo...
  13. B

    Rais Samia ni mtu mzuri

    Ni ukweli usio pingika kuwa Samia ni mtu mzuri ukiyatazama haya:- Ni mwenye heshima na anajiheshimu mwenyewe mfano utumia kauli za staha, Uongozi ni mzuri zaidi ya mmoja analizingatia ilo mfano amewaagiza viongozi kuwajibika. Anaheshimu sheria na anazifuata mfano ameagiza mara kadhaa polisi...
  14. Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...

    Wanabodi, Moja ya topic ngumu sana humu JF, ni topic za kitu kinachoitwa Trends Readings za psychoanalysis trends, kinacho tokana na ku Psychoanalyse Trends kisaikolojia kwa kutumia tabia za mtu za nyuma, tabia zake za sasa kuweza ku détermine tabia zake za huko tunakwenda na ni nini...
  15. Aliyoyazungumza Rais Samia baada ya kuwasili nchini akitokea New York - Marekani

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Samia Suluhu Hassan amerejea nchini na kupokelewa na watanzania wakiongozwa na Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango katika Uwanja wa Ndege wa...
  16. Rais Samia atoa rai kwa Umoja wa Mataifa kusaidia Serikali ya Tanzania

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Tanzania ingependa Umoja wa Mataifa uwasaidie ili waweze kujenga yanayotakiwa na wananchi ikiwemo Elimu, Afya, Maji, Umeme na Pembejeo za Kilimo Ameeleza hayo Septemba 24, 2021 katika Mahojiano Maalum na Habari za UN huko New York Nchini Marekani...
  17. Diaspora Marekani mmetenda haki kwa Rais Samia, dunia imeona

    Wanaukumbi. Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN. Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu...
  18. New York: Rais Samia akutana na Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres

    Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Antonio Guterres‬ Wawili hao wamejadili masuala mbalimbali ikiwemo athari za kiuchumi na kijamii za COVID-19, utekelezaji ya Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) pamoja na Ulinzi na Usalama Barani Afrika Rais wa...
  19. Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye Baraza la Umoja wa Mataifa (UN) - Septemba 23, 2021

    VIDEO: Hotuba ya Rais Samia Suluhu Umoja wa Mataifa (UN) Rais Samia: Tanzania itaendelea kuwa mwanachama kindakindaki wa Umoja wa Mataifa. Tuko tayari kushirikiana na wanaotaka kushirikiana nasi, tutendelea kuwa Tanzania iliyokuwa ikishirikiana na nchi zote Rais Samia: Virusi vya Corona...
  20. Babu Tale: Nashauri itengenezwe Fedha yenye sura ya Rais Samia

    Nashauri itengenezwa hela yenye picha ya Rais Samia, sababu itachukua miaka mingine hata 50 kuja kutokea Tena kuongozwa na Rais mwanamke kwenye Taifa letu, hii Ni bahati kubwa Sana Sana, nashauri waziri wa fedha alifanyie kazi hili, #Twende na Samia Had 2035#inshallah"
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…