rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Hatimaye hamasa ya Tsh 1.4 Bilioni ya Serikali ya Rais Samia kwa Taifa Stars yafanikisha waende tu kutalii na Bombardier Madagascar wikiendi hii

    Tanzania ndio kwaheri World Cup 2022 atakaye songa mbele kwenye hili kundi ataamuliwa Kinshasa siku ya jumapili kati ya Congo DR na Benin. Atakayeshinda mechi hiyo ndio ataenda kwenye playoff na wakitoka sare Benin itafuzu kwenda playoff. Mechi ya Tanzania na Madagascar itakuwa ya kukamilisha...
  2. J

    Rais Samia atembelea ofisi za Arab Contractors nchini Misri wanaojenga Bwawa la Nyerere

    Rais Samia ametembelea ofisi za kampuni inayojenga bwawa la Nyerere iitwayo Arab Cintractors nchini Misri. Rais Samia pia amekutana na wawekezaji mbalimbali wa nchi hiyo. Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Arab Contractors kumbe ni kampuni kubwa sana inayiongoza barani Afrika katika...
  3. Stars iliyolipwa posho zote na Rais Samia imefungwa, Tujipange zaidi

    Cousin yangu anayechezea timu ya Taifa, alinieleza kwamba juzi baada ya kutembelewa na Waziri Mkuu, walilipwa posho zao zote ikiwemo malimbikizo ya nyuma. Posho ambazo walikuwa hawajalipwa zilikuwa zinashusha Morali kwenye kambi, lakini Waziri Mkuu aliyeagizwa na Rais Samia Suluhu kuitembelea...
  4. Rais Samia ametoa mashine za Dialysis kwenye Hospitali za Rufaa sita

    === Mtakumbuka kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ilikuokoa maisha ya watoto wa masikini alipunguza gharama za matibabu ya kuondoa uchafu kwenye damu (dialysis) hii ikiwa ni baada ya figo kushindwa kufanya kazi ya kuondoa maji na taka mwili kwenye damu vizuri === Rais Samia alipunguza bei ya...
  5. Rais Samia amefuta Tozo

    Bunge limepokea muswada kutoka kwa Rais Samia Suluhu unaopendekeza kufutwa kwa Sheria ya Tozo ya Kodi ya Mazao iliyokuwa ikitoza kodi ya zuio ya 2% mwananchi akiuza mazao ya kilimo, mifugo na uvuvi. Tozo hiyo ikiondolewa, fedha zitarudi mifukoni mwa wananchi. Hongera na Asante Rais Samia kwa...
  6. Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

    Habari za Kazi wana JamiiForums, Katika thread hii nategemea tutaangazia ziara mbalimbali(Za nje ya nchi) za Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan na manufaa kwa taifa. Leo tarehe 11 April 2021 Mhe Samia anafanya ziara yake ya kwanza nje ya Tanzania na ziara hii...
  7. M

    Rais Samia kwenye ziara yako huko Misri kuwa makini na ishu ya maji ya ziwa victoria

    Siku zote Misri imekuwa ikidai kuwa ina haki na maji ya mto na nile na chanzo chake kuliko nchi nyingine yoyote ya ukanda wa mto nile. Misri imekuwa ikirejea mkataba wa kikoloni unaoipa Misri share kubwa ya Maji hayo kwa kudai kuwa nchi ambazo mto nile na vyanzo vyake vipo havipaswi kutumia...
  8. Rais Samia awasilisha Hati ya dharura Bungeni

    Spika Ndugai ametangaza mabadiliko madogo ya ratiba ya vikao vya Bunge ambayo yametokana na Muswada wa Hati ya dharura kutoka kwa Rais Samia ambapo amepeleka mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ambayo mojawapo wataangalia sheria ya tozo ya kodi ya mazao ambayo anataka iondolewe. Kamati ya Bunge...
  9. Rais Samia, kama ulivyofanya kwenye vyumba vya madarasa, fanya kwenye Umeme Vijijini

    Kwako Mh Rais Samia Suluhu Hassan, Slaam Mh Rais, NAKUSALIMIA KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Binafsi nikupongeze kwa kazi kubwa sana na ya kipekee sana ya kusukuma mbele gurudumu la maendeleo kwa ajili ya Tanzania na watanzania, Mh Rais binafsi nikupongeze pia kwa kazi nzuri ya...
  10. Rais Samia Suluhu Hassan kufanya ziara ya siku 3 Nchini Misri

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kesho tarehe 10 Novemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Cairo nchini Misri kwa Ziara ya Kiserikali ya siku tatu. Ziara hiyo ya Kiserikali ya siku tatu inafuatia mwaliko wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Abdel Fattah Al Sisi...
  11. J

    Bilioni 11 za Rais Samia zamtetemesha RC Shinyanga, afanya maamuzi magumu

    TZS Bilioni 11 za Rais Samia Suluhu zamtetemesha RC Shinyanga Bi Sophia Edward Mjema, afanya maamuzi magumu Kishapu, " Hakuna kama Samia " Mkuu mpya wa Mkoa wa Shinyanga Bi Sophia Edward Mjema amefanya maamuzi magumu ya kumsimamisha kazi afisa manunuzi mzembe wa Wilaya ya Kishapu Ili kupisha...
  12. Rais Samia na busara ya kujua nini cha kuahidi kwa wakati gani

    Napenda namna ambavyo Rais Samia hakurupuki kwenye majibu. Mara kadhaa ameombwa vitu hadharani, hakujibu kwa mhemko kama wafanyavyo wanasiasa wasiojielewa. Mfano, watu wa Chato wamewahi kuweka ombi lao la Mkoa mara mbili hadharani. Askofu Shoo wa KKKT aliomba barabara na vitu vingine. na zipo...
  13. Rais Samia fanya mpango utupunguzie wakulima huu mzigo

    Pole na hongera kwa kutimiza majukumu ya nchi. Mheshimiwa rais kilio chetu wakulima ni kile kile. Pembejeo zipo juu sana mama hasa mbolea na inazidi kupanda kila kukicha mpaka kufikia sasa. Urea imefikia laki na elfu ishirini. Mama hii ni bei kubwa sana kwetu wakulima wadogo. Mheshimiwa...
  14. Rais Samia amewezaje kufanya haya yaliyowashinda Marais wote?

    Nipo jijini mwanza kiukweli mji unapendeza. Nimepita maeneo karibia yote makoroboi, nyasaka, nyamhongolo, buhongwa. Dah! Siamini machinga wote wamehama tena wenyewe kwa mikono Yao, wamebomoa wenyewe bila vurugu zozote. Mama Samia amewezaje ilihali watangulizi wake wote walishindwa na...
  15. Historia ya soko la Kariakoo

    Soko la Kariakoo ambalo Rais Samia Suluhu anakusudia kulifanyia mapinduzi makubwa kwa kukarabati jengo lake la zamani na kujenga lingine jipya ambalo litapokea machinga zaidi ya 2,000, lina historia ya kipekee. Soko Kuu hilo lipo katika kiwanja namba 32 eneo la Kariakoo, katikati ya makutano ya...
  16. Kwanini rais Samia havai barakoa akiwa nje ya nchi? Lakini akiwa ndani ya nchi anavaa?

    Nimemshuhudia akiwa huko Glasgow, Scotland na mwenyekiti wa mabenki ya standard chartered Lakini akiwa Tanzania anavaa kama kawaida
  17. Licha ya Tanzania kuwa na ndege 11, Rais Samia anatumia ndege za abiria

    Rais Hakainde Hichilema kutoka Zambia na Rais Samia Suluhu Hassan kutoka Tanzania ndio marais pekee kutoka Africa wanaokwenda ng'ambo kwa kutumia ndege za abiria|Umma. Rais Samia Suluhu wa Tanzania pamoja na kuwa na ndege mpya 11 zikiwemo zenye uwezo wa kuruka moja kwa moja kwa zaidi ya masaa...
  18. Serikali ya Rais Samia kukusanya TZS 1.6BL ili kuchagiza Stars ifuzu kombe la dunia 2022 Qatar,

    BILIONI 1.6 KUCHAGIZA TAIFA STARS KUFUZU KOMBE LA DUNIA QATAR 2022 === WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania pamoja na wadau wa soka nchini kuungana kwa pamoja na kuhakikisha timu ya Taifa ya Tanzania ya mpira wa Miguu (Taifa Stars) inafanya vizuri kwenye michezo yote...
  19. M

    Rais Samia aendelea kumuenzi Hayati Dk. John Joseph Pombe Magufuli

    Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaenzi wazee wetu Dk Jakaya Mrisho Kikwete na Hayari Dk John Pombe Magufuli tayari amefanikisha ujenzi wa daraja la Tanzanite|daraja la Salenda walioliasisi wao lenye urefu wa kilometa 1.03 lililogharimu Jumla ya TZS 243.7BL. Masaa machache tu Rais Samia...
  20. Rais Samia mpandishe cheo na umteue Meja Jenerali Suleiman Mzee kuwa CDF mara baada ya Mabeyo kustaafu

    Jambo Afande!! Kwa muda mchache aliokaa jeshi la Magereza kama Mkuu wa Jeshi hilo, tumeona uchapakazi wake uliotukuka. Kwasasa jeshi la magereza linaendeshwa kwa ufanisi mkubwa, hakuna urasimu uliokuwepo awali kama ule wa uniform pia kuna kuheshimiana baina ya maofisa na maaskari sio kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…