rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Waziri Mkuu Majaliwa: Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuchochea uwekezaji na kukuza uchumi wa Tanzania

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuchochea uwekezaji na kukuza uchumi wa Tanzania. Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumanne Novemba 16, 2021) wakati akifungua kongamano la biashara na uwekezaji kati ya...
  2. PART 1: Hawa hapa watu wanaomchukia na kuchukia utawala wa Rais Samia

    Katika siasa ni kawaida kabisa kila Rais anayeingia madarakani kukubalika ama kutokukubalika na makundi mbali mbali ya watu. Kadhalika, Rais anapokuwepo madarakani huwa na mema yake na madhaifu yake pia, na huu ndio msingi wa kukubalika au kutokubalika kwake kwa wananchi anaowaongoza kulingana...
  3. Samia ndiye Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania

  4. Paul Makonda mtetezi mkubwa wa haki za akina mama aliyemtabiria makubwa Rais Samia Suluhu

    Alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda alihakikisha akina mama hawapotezi haki zao. Aliwatetea akina mama kwa kila namna hasa waliotelekezwa na kunyanyaswa na waume zao. Waliodhurumiwa mali zao na kuporwa. Alikusanya maelfu ya akina mama na kusikiliza kero zao na kuzitatua...
  5. K

    General Venance Mabeyo kakosea kusimama kulia kwa Rais Samia. Mwanajeshi senior anakaa kulia kwa junior

    Hakuna siku ya furaha kama leo ambapo kwa mara ya kwanza Amiri Jeshi Mkuu wetu, Samia Suluhu amevaa magwanda ya jeshi. Binafsi kwangu nimefurahi kumuona mama na magwanda yake. Hongera mama yetu Rais Samia. Zipo porojo za wasiofahamu wanahoji kwa nini kavaa wakati Kikwete, Mkapa na Mwinyi...
  6. I

    Rais Samia aiingiza Tanzania kwenye orodha ya nchi 10 tajiri Afrika 2021

    Kwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni , Kwa mujibu wa majarida maarufu ya "The Statistics Time " na "Briefly " yameitaja Tanzania kuwa...
  7. Rais Samia: Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi)

    Rais Samia amesema Dunia kwa sasa inakabiliwa na tatizo jipya la Usalama (Ugaidi). Ameeleza hayo katika Ufunguzi wa Kikao cha Mkuu wa Majeshi kinachofanyika Ngome ya Lugalo Ameeleza, "Kwa hulka ya Ugaidi, Mtu yeyote bila kujali Rangi, Dini, Umri, Itikadi, Kipato au Uraia anaweza kuwa mhanga wa...
  8. Marufuku kumhusisha Rais Samia na Mahakama, hana mamlaka nayo

    Waswahili walimenya kwamba mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Huu ndiyo ukweli wenyewe kwamba Mama anajitahidi tu kusimamia kua katika utawala wake haki inatendeka. Ikitokea wewe umetuhumiwa kufanya tukio flani hiyo ni juu yako wewe, serikali inachosimamia ni kusisitiza haki itendeke...
  9. Rais Samia kukuza uchumi kwa kasi kuliko kipindi cha miaka mitano iliyopita

    Kutokana na mkopo wa masharti nafuu uliotolewa na IMF wa trillion 1.3, Rasi Samia anakwenda kukusanya Kodi ya moja kwa moja waastani wa billion 234 kama VAT (18%) hadi billion 390 kama tender zitasambazwa kea Makampuni makubwa ambao watalipia corporate tax ya 30% lakini pia billion 910...
  10. Wanaotaka kumpangia Rais Samia someni hapa

    Nawaona kakikundi fulani wana underestimate uwezo wa Rais. Kila mara Rais akiteua wanakuja kusema JPM alimtumbua, je ni watu wangapi JPM aliwatumbua na baadae kuwarudisha ni watu wangapi ambao walilalamikiwa kuwa hawafai na kwa upendeleo wa moja kwa moja JPM aliwaacha. Rais Samia ana haki ya...
  11. Dar: Amiri Jeshi Mkuu rais Samia, Wananchi Waelimishwe umuhimu wa amani na madhara ya kujihusisha na vitendo vya kigaidi

    Rais Samia leo akiwa amevalia nguo za kijeshi amehudhuria ufunguzi wa kikao cha mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Lugalo, Dar es Salaam. Rais Samia anatarajiwa kuhutubia kwenye kikao hicho. ===== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 15...
  12. Wana CCM dhidi ya Rais Samia na Serikali yake ni akina nani?

    Black mailing dhidi ya Rais Samia Kuna kundi wamedhamiria kufanya blackmailing. Ofcourse wako bado serikalini na wako na vyeo vyao. Rais Samia hakutaka kuwatoa wote tunajua hakutaka lawama lakini wedhamiria kumblack mail Mama Tumeona wanaprovoke kwenye baadhi ya mambo wakipinga ziara za nje...
  13. Kuhusu umeme: Kalemani alimdanganya Rais Samia

    Gazeti la Mwananchi la Machi 16,2021, lilikuwa na habari kwamba Samia Suluhu Hassan, ambaye wakati huo alikuwa Makamu wa Rais, amesema kwamba tatizo la kukatika kwa umeme litafikia mwisho siku hiyo. Ukienda kusoma taarifa hiyo, utaona Rais Samia (akiwa Makamu wa Rais0 alisema kwamba amezungumza...
  14. Q

    Balozi Tsere ataka Rais Samia kukaa na Wapinzani kama Kikwete ili kujadili Katiba Mpya

    Balozi mstaafu, Patrick Tsere amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kukutana na kufanya mazungumzo na wadau wanaotaka Katiba mpya ili kupata mwafaka wa kitaifa. Kauli ya Tsere, aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania nchini Malawi imekuja wakati kukiwa na harakati mbalimbali za madai ya Katiba, huku...
  15. Rais Samia anaweza kwenda Ivory Coast mwezi ujao

    Benki ya Maendeleo ya Afrika imemualika Rais Samia Suluhu kuhudhuria Jukwaa la Wawekezaji Afrika litakalotoa fursa ya kuwakutanisha na wawekezaji na kusaidia upatikanaji wa mitaji. Mualiko huo umetolewa leo na Rais wa Benki hiyo, Dkt Adesina Akinumwi alipozungumza na Rais Samia kwa njia ya simu...
  16. J

    Rais Samia apokea Kifimbo cha Malkia wa Uingereza kuashiria uzinduzi wa michezo ya Jumuiya ya Madola

    Rais Samia Suluhu Hassan anapokea kifimbo cha malkia wa Uingereza Ikulu jijini Dar es salaam kuashiria uzinduzi wa michezo ya Jumuiya ya Madola. Tukio liko mubashara TBC na Channel ten --- Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan apokea kifimbo cha malkia wa Uingereza kuashiria uzinduzi wa michezo...
  17. Kwanini Rais Samia alimuondoa Meja Jenerali Mbuge kama Mkuu wa JKT?

    Wote tunakumbuka jinsi Meja Jenerali Mbuge alivyokuwa injini ya ujenzi wa miradi mbalimbali katika awamu ya 5 mpaka kufikia hatua ya kupanda vyeo haraka haraka na kuwa Mkuu wa JKT. Soon mara baada ya awamu ya 6 kushika hatamu, Mbuge aliondolewa na kupelekwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, what a...
  18. Bosi wa benki ya dunia kuja kuonana na Rais Samia

    Bosi wa Benki ya Dunia (Managing Director of Development and Partenership), Raia wa Indonesia, Maria Pangestu, anatarajiwa kuja #Tanzania wiki ijayo. Ni katika jitihada za Rais Samia Suluhu kutuimarisha kidiplomasia. Rais Samia anafanya kazi nzuri sana katika eneo la Diplomasia ambalo bila...
  19. Rais Samia ahitimisha ziara yake Misri leo na anarejea na Air Tanzania

    Nimeangalia muda huu live coverage mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan amehitimisha ziara yake nchini Misri. Kilichonifurahisha kumbe this time mama amekwenda na air Tanzania, angalau hii mindege ifanye kazi zilizokusudiwa badala ya kupaki tu pale kipawa. Ni hayo tu.
  20. Ziara ya Rais Samia nchini Misri ni kete muhimu kwenye Diplomasia ya Uchumi Tanzania

    MISRI NI KETE MUHIMU KWENYE DIPLOMASIA YA UCHUMI TANZANIA Uhuru Na Umoja Ukitaka kwenda upesi nenda peke yako, lakini ukitaka kwenda mbali nenda na wenzako, msemo huu wa wahenga ndiyo unaoongoza falsafa ya Rais Samia Suluhu Hassan katika mahusiano na mataifa mengine duniani. Ziara ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…