rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Angekuwepo shujaa wa Afrika hayati JPM leo taifa letu lisingekosa kama anavyohangaika Rais Samia sababu ya kukumbatia mafisadi

    Hayati Magufuli alikuwa smart hasa kwa kusimamia pesa za umma tangu akiwa Waziri mpaka anakuwa rais. Taifa lenye utajiri na rasilimali nyingi kama Tanzania sio la kukosa pesa za kujenga viwanja vya mpira likae vikao na na nchi kama Kenya ambayo haina uwezo hata wa kudhalisha mahindi ya ugali...
  2. JamiiForums Tanzania Ni miezi mitatu toka Rais Samia ateue Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29, nini matarajio yako? Je, tunaelekea pazuri?

    Wakuu, Ni miezi mitatu sasa (siku 92 tukiwa precise) toka Samia afanye uteuzi wa Tume ya Kuchunguza 'matukio' ya Oktoba 29, 2025, akisema hajui kwanini tuliandamana kugomea uchaguzi, wa kina nani waliua watu vile na kwa amri ya nani :BearLaugh::BearLaugh: Dunia ina mambo, anyhu.... Hii...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Na Barack Obama Wamlilia Na Kusikitishwa Na Kifo cha Jesse Jackson. Watuma Salamu Za Rambirambi kwa Familia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi pamoja na Rais Mstaafu wa 44 wa Taifa la Marekani kwa pamoja Wamlilia na wamesikitishwa kufuatia au kutokana na Kifo cha Jesse Jackson Mtetezi wa haki za binadamu,muhubiri na mpigania haki. Viongozi wetu hawa wawili kwa pamoja...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mageuzi sekta ya afya chini ya Rais Samia si ahadi za kisiasa tu ni mabadiliko yanayopimika kwa takwimu na yanayoonekana kwa macho

    ~ Yameipa heshima Tanzania Kimataifa kama kinara wa mageuzi ya Afya Afrika Katika kipindi cha miaka michache iliyopita, sekta ya afya nchini Tanzania imepitia mageuzi makubwa ya kihistoria. Chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Serikali imewekeza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameshusha heshima ya taifa letu kwenye mikutano ya AU

    Nasema hivyo kwa sababu miaka ya nyuma viongozi wa Taifa letu walikuwa wakismama kwenye mikutano ya AU ilikuwa ni heshima kubwa. Taifa letu lilikuwa na sifa kubwa ya kulinda haki za raia wake na hata kutoa misaada kwa raia wa kigeni ambao walikuwa na matatizo nchini mwao. Leo hii anasimama...
  6. JamiiForums Tanzania Machumu: Rais Samia ameteuliwa kuwa kinara wa Umoja wa Afrika katika masuala ya Afya ya Uzazi Mama na Mtoto

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari Machumu amezungumza na Vyombo vya Habari kuhusu Ziara ya Kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan Addis Ababa, Ethiopia, leo Februari 16, 2026. Machumu amesema sehemu ya mafanikio ni Rais Samia kuteuliwa kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia anza kuandaa mlio utakaolia baada ya kuachia Ikulu

    Rais Samia na mwanao andaeni mlio Rais Samia na mwanao Abdul andaeni mlio mtakaokuwa mkilia pale muda wa kukandwa kwenu utakapofika kwa madudu mnayoyafanya mkiwa Ikulu. 1. Kisiasa Kisiasa Rais Samia hukubaliki ndani ya CCM na nje CCM mbaya zaidi haukubaliki pia ndani ya nchi na nje ya nchi...
  8. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hivi ndivyo Rais Samia alivyotua na uso wa tabasamu Zanzibar akitokea Addis Ababa Ethiopia. Ni kama shujaa aliyetoka vitani na ushindi mkononi

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa amerejea kishujaa ,amerejea na ushindi wa kidiplomasia mkononi ,amerejea akiwa ameacha historia huko Addis Ababa Ethiopia,amerejea akiwa na nguvu ,ari na morali ya kuwatumikia watanzania,amerejea akiwa na kiu ya kulipeleka mbele Taifa letu na kuinua...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ateuliwa Kuwa Bingwa Wa Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika

    Ndugu zangu Watanzania, Usishindane na aliyebarikiwa na Mungu, huwezi kumshusha aliyeinuliwa kwa mkono wa Mungu,Huwezi Kumpaka matope na kumchafua aliyepewa kibali na Mungu . Rais Samia kwa hakika ni chaguo la Mungu,ni Mpango wa Mungu. Alizaliwa kwa makusudi maalumu katika Ardhi hii.. ni Rais...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ashiriki Mkutano Wa Umoja Wa Afrika Kuhusu G20. Hoja Zake Nzito Zaendelea Kuing'arisha Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Tumepata Rais Sasa. Kwa hakika Tumepata nahodha hodari ,kwa hakika tumepata Jemedari hodari. Kwa hakika watanzania tuna kiongozi mbele yetu tunayepaswa kujivunia. Tuna kila sababu ya kusema asante Mungu kwa kutupatia Rais Samia . Leo Rais wetu Mpendwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba wamlilia Rais Samia awezeshe mchakato wa mabadiliko

  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia aidhinisha fedha za ujenzi wa jengo la ICU Handeni Mkoani Tanga

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kujenga jengo la Wagonjwa Mahututi (ICU) katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Handeni ili kuokoa maisha ya wananchi wa Handeni, kitendo...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ashusha Hotuba Nzito Huko Ethiopia. Waandishi Wa Habari Wapigana Vikumbo kutafuta Nafasi ya Kumuona

    Ndugu zangu Watanzania, Tuna kila sababu ya kutembea vifua mbele. Tuna kila sababu ya kujivunia Utanzania wetu,tuna kila sababu ya Kujivunia kuzaliwa Tanzania. Rais Samia katuheshimisha ,Rais Samia kaliheshimisha Taifa letu. Rais Samia kaliweka Taifa letu midomoni Mwa Watu Duniani Kwote. Rais...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Atua Kwa Kishindo Adis Ababa Ethiopia Kushiriki Mkutano Wa Wakuu wa Nchi na Serikali

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ametua kwa kishindo kikuu kilicho itetemesha Ardhi ya Adis Ababa Ethiopia katika kushiriki na kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali. Lakini pia Rais wetu...
  15. JamiiForums Tanzania Kasi ya mabadiliko chini ya Rais Samia ni kubwa sana ipo siku tutamkumbuka!

    Anatenda kama hatendi,... Matendo yake yanafunikwa sana na kelele za mitandaoni lakini namuona ni kiongozi aliyeamua kutizama lengo na adhma yake kwa nguvu ya pekee. Kwa mawimbi anayopigwa nayo hakika unatambua kwa nini Mamlaka ya Uongozi ilimsaka na hatimaye kumpa hatamu. Tumuombee,Tumtie...
  16. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Anne Makinda ateuliwa Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu , leo Februari 11, 2026

    YAH: UTEUZI WA WENYEVITI WA BODI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, walioteuliwa ni kama ifuatavyo:- (i) Mhe. Anne Samamba...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia apiga marufuku hospitali kuzuilia miili ya marehemu kwa sababu ya madeni ya matibabu

    Hakuna maumivu makubwa zaidi kuliko kumpoteza mpendwa baada ya wiki au miezi kadhaa hospitalini, ukiendelea kuishi kwa tumaini dhaifu, halafu kifo kinakuja mwishoni mwa kipindi hicho kirefu cha kusubiri. TANGAZO Kwa familia nyingi, huzuni haimaliziki kando ya kitanda cha mgonjwa. Inaendelea...
  18. JamiiForums Tanzania Wachambuzi: Rais Samia kuitwa Daktari wa Tanzania tunajifurahisha tu, ila hana sifa za kuwa DAKTARI Kitaaluma

    "You deserve to be in the market but don't call yourself I am a certified professional. No, huna cheti, usiseme unacheti. Kama mimi ‘trainers’ wangu wamesafiri hadi Uturuki nagharamika ili niwasomeshe. Kwanini? Kwasababu mimi I am responsible for afya ya watu, tayari nimeshaingia kwenye kile...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Siku 100 za Rais Samia vingapi ametekeleza?

    Leo, Februari 10, 2026, ni siku ya 100 tangu Rais Samia Suluhu Hassan aapishwe kuanza awamu yake ya pili ya uongozi wake Novemba 03, 2025. Siku 100 ni muda mfupi katika uongozi wa taifa, lakini mara nyingi ndiyo kioo cha kwanza cha mwelekeo wa mamlaka. Kwa Rais Samia, siku hizi hazikupita...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa leo: Sikiliza pande zote mbili za mtu, ubaya na uzuri. Usisikilize Ubaya peke yake. Ungelisikiliza ubaya na uzuri wa Lissu

    Rais SAMIA ungelisikiliza pande mbili za Lisu. Waliokuletea upande mbaya ungeliwarudisha wakakuletee na upande wa Uzuri wake, maana mtu hawezi kuwa ana mabaya peke yake. Clip inajitosheleza.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…