rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Kama Siyo Katiba Ilipaswa Rais Samia aendelee kuongoza Taifa hili Mpaka achoke mwenyewe. Ama Watanzania Tubadilishe Katiba Kumpa Nafasi ya kuendelea

    Ndugu zangu Watanzania, Kama Taifa tunachohitaji ni maendeleo pekee na ustawi wa Watanzania na Taifa kwa ujumla wake. Tunachohitaji ni kuona miundombinu ya barabara ikijengwa,huduma bora za afya ,Elimu ,ajira kwa vijana ,umeme wa uhakika mijini na vijijini,uwepo wa maji safi na salama...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi Baraza la Eid Machi 21, 2026

    Waislamu nchini na duniani kote kesho wataadhimisha Sikukuu ya Eid El-Fitri, huku Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) likisema Rais, Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi katika Baraza la Eid litakalofanyika kitaifa jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa awali na Katibu...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vurugu za Oktoba 29 zilifanywa na wanaCCM waliopinga rais Samia kupitishwa na mstaafu Kikwete bila mkutano mkuu, sio CHADEMA

    Ukweli ndio huu CHADEMA haujahusika na vurugu na wala haikushiriki kabisa. Lissu alikuwa jela hiyo Oktoba 29 na Heche alikiwa jela. Hawakuhamasisha mtu. WanaCCM ambao mpaka leo walishachukia mstaafu Kikwete kumpitisha rais Samia bila kufuata utaratibu wao wanaCCM ndio walihamasisha vurugu hiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Je, rais mstaafu Kikwete aombe radhi kwa kumbeba kwa mbelelo Rais Samia ambae WanaCCM 80% hawamkubali kama chaguo lao?

    Unaweza ukadhania ni utani au mdhaha. Lakini ukweli ni kwamba wanaCCM wengi hawamkubali Rais Samia kama kiongozi anayefaa kuwa rais wa taifa hili. Huu ukweli kutowekwa wazi ndio tatizo kwenye taifa hili. Na ni Matatizo ambayo yanaligharimu taifa letu. Sababu wanaCCM wanatamka hadharani Kikwete...
  5. JamiiForums Tanzania Sheikh Haruna: Rais Samia amevaa viatu vya Magufuli, miradi mikubwa iliyoanzishwa imekamilika

    Katibu Mkuu wa Taasisi ya Twariqa, Sheikh Haruna Hussein, amewaasa waumini wa dini ya Kiislamu kutumia kipindi cha baada ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kufanya dua na kuliombea taifa, serikali pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Akizungumza hii leo...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Serikali yapania kuziba mianya ya ukwepaji kodi, Rais Samia atoa msimamo

    SERIKALI YAPANIA KUZIBA MIANYA YA UKWEPAJI KODI, RAIS SAMIA ATOA MSISITIZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 18 Machi 2026 amepokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi katika hafla iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Kamwe tusione aibu au makusudi kuzungumzia haki, wala sauti za haki kusumbua masikio yetu

    Akizungumza leo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaofanyika Arusha katika ukumbi wa Centre House, amesisitiza suala la haki kuzungumzwa. "Ningetamani neno haki liingizwa katika wimbo wetu wa taifa, Naamini...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Siku hizi mabakuli hayaingizi kitu. Mikopo ipo lakini misaada safi imepungua

    Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza leo Machi 18, 2026 Ikulu Dar es Salaamakipokea ripoti ya tume ya rais ya kutathmini maboresho ya mfumo wa kodi nchini, amesema kwamba siku hizi misaada imepungua sana na kitu ambacho Serikali inapewa ni mikopo tu.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kukubalika, Kupendwa na Kuaminika kwa Rais Samia Ndani ya Serikali Yake na Kwa Wananchi Kumedhibiti Kabisa Uvujuja wa Siri za Serikali

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa ni Rais Wa Nchi , Kiongozi wa Serikali, Amiri Jeshi Mkuu Wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Unapanga Mipango yako sirini halafu kesho Mipango yote inavuja na kuwekwa hadharani ujue kuna shida sehemu. Ujue kuna kutokuaminika ,kupendwa , kukubalika kwa wasaidizi wako...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia amuasili mtoto mchanga aliyetelekezwa Nzega

    Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma. Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ngorongoro ni urithi wa dunia

    Ngorongoro ni urithi wa Dunia sio tu wa Tanzania lakini ni urithi wa dunia na upo kwenye vitabu vya dunia chini ya Shirika la UNESCO, ni lazima sisi ambao tumeshushiwa Ngorongoro na Mwenyezi Mungu tulinde urithi huu wa Dunia.
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia Akipokea Taarifa Ya Tume Za Rais Kuhusu Mgogoro Wa Ardhi Na Uhamaji Wa Hiari, Ngorongoro

    https://www.youtube.com/watch?v=kKU_Zsb_8bw
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea taarifa ya Tume za Rais kuhusu mgogoro wa ardhi na uhamaji wa hiari, Ngorongoro

    Rais Samia Suluhu, akipokea taarifa ya Tume za Rais alizoziunda kutathmini masuala ya mgogoro wa ardhi na utekelezaji wa zoezi la uhamaji wa hiari wa wakazi kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, Machi 12, 2026, Ikulu Chamwino, Dodoma. https://www.youtube.com/watch?v=kKU_Zsb_8bw Mwenyekiti wa...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia ampa Mzee Zahir Zorro Tsh. Milioni 10

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amemtembelea na kumjulia hali Mwanamuziki Mkongwe wa muziki wa dansi Zahir Ally Zorro nyumbani kwake Kigamboni Jijini Dar es salaam kwa lengo la kumpa pole kutokana na changamoto za kiafya anazopitia. Katika ziara...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mama Kanumba Alengwa Lengwa Na Machozi Mbele Ya Umati Wa Watu Baada Ya Kununuliwa Gari Mpyaaa Na Rais Samia . Amimina Shukurani Nzito Kwa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni Mkono Wa Mungu Uliopo Hapa Duniani, Mungu Anatenda Miujiza Yake Kupitia Rais Samia ,Rais Samia Ni chaguo la Mungu kuwafikia Watu na waja Wake. Kama Unasikiaga Mungu anatenda Miujiza Kupitia Watu basi Mtu Mwenyewe ni Rais Samia Aliyeinuliwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia amzawadia Gari Mama Kanumba

    Katika kilele cha Siku ya Wanawake Duniani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemzawadia mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba gari jipya aina ya Harrier New Model. Hatua hii imekuja kama ishara ya kuthamini mchango mkubwa wa marehemu Kanumba katika kukuza...
  17. JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 7, 2026

    Arusha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 7, 2026 https://www.youtube.com/live/3RbAlFDqO8o?si=HGGpUx5hggEDEQa6 Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti unaonyesha serikali ya CCM chini ya rais Samia imesababisha ugumu wa maisha. Wananchi wamegeuza chapati na maarage ndio chakula kikuu

    Hakuna economic measures ambazo zinawekwa kumsaida mtanzania kupata kipato kibachoweza kumsaidia kupata mlo kamili. Mikakati iliyopo ni kusaidia vijana watengeneza maudhui mitandaoni kuwa ndio sera kuu kuikoa CCM ipendwe. Wabeba Zege, wakulima wa Pamba? walima vitunguu huko vijijini? Leo hii...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumuombe Mungu Marekani na Iran wazungumze misukosuko iishe, dunia irudi katika hali ya kawaida

    Rais Samia, ameiagiza Wizara ya Nishati kuimarisha akiba ya kimkakati ya mafuta ya taifa ili kuilinda nchi dhidi ya misukosuko ya siasa za kidunia na kupanda kwa bei ya nishati. Akizungumza leo, Machi 3, 2026, jijini Dar es Salaam wakati wa kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa matanki ya...
  20. JamiiForums Tanzania John Mnyika: Jamii ya Kimataifa isisikilize upotoshaji wa Rais Samia, hali ya kisiasa nchini bado si shwari

    "Jana Samia Suluhu Hassan wakati anazungumza na Rais wa Ghana amesema hali ya kisiasa Tanzania ni shwari, anaiambia dunia hali ya kisiasa Tanzania ni shwari. Nataka kusema kwamba jamii ya kimataifa isisikilize upotoshaji huo, hali ya kisiasa Tanzania haiwezi kuwa shwari wakati kiongozi Mkuu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…