rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Hata dhahabu ilifichwa Kenya lakini ilirudishwa, Rais Samia rudisha hela zilizofichwa China

    Rais Kikwete alirudisha hela tuliyopigwa kwenye ununuzi wa rada na hela hiyo ikapelekwa kununua madawati. Rais Magufuli alirudisha dhahabu iliyokuwa imefichwa Kenya kwa miaka mingi. Rais Samia unashindwa nini kurudisha hela uliyodai wewe mwenyewe kuwa imefichwa China? Aliyekuwa DPP Biswalo...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Walinzi wa Rais Samia hawabebi mabegi kama wale wa JPM?

    Naombeni mnijuze wakuu
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia ampandisha cheo ACP Jumanne Muliro kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempandisha cheo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Muliro Jumanne Muliro, kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (Senior Assistant Commissioner of Police-SACP). Taarifa iliyotolea na Mkuu wa Jeshi la...
  4. K

    JamiiForums Tanzania TUCTA: Miaka miwili ya Rais Samia ameonyesha kuthamini wafanyakazi

    SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limesema katika miaka miwili ya uongozi wa Rais Dk Samia Suluhu Hassan amewafanyia mengi wafanyakazi ikiwa ni pamoja na kuongeza mishahara watumishi wa kima cha chini kwa asilimia 23.3. Katibu Mkuu wa Tucta, Hery Mkunda alisema hayo mjini...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Chamwino, Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 11 Machi, 2023
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia amuapisha Dkt. Charles Mahera kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - TAMISEMI

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Machi 2023 amemuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. Ikumbukwe kabla ya...
  7. JamiiForums Tanzania Tafiti: Rais Samia amepwaya kudhibiti rushwa, nidhamu ya watumishi wa umma

    Inasaidia nini kupiga soga na kina Mbowe na kuonyesha umma kuwa mnademokrasia wakati mali za umma zinaibiwa na wananchi wanateseka. Hizi ni demokrasia uchwara Sasa hivi akina mama wakienda kujifungua imekuwa biashara. Huko nyuma haya mambo yalikoma. Polisi wanamaliza kesi wanavyotaka...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Waziri mkuu, vijana wa TAESA wanateseka toka January hawajapokea mshahara, tusaidieni jamani

    Sio uzushi, sio kwa makusudi naandika hivi sababu ni mhanga, January, February hatujalipwa ukizingatia mshahara ni 150,000/= tu, je hii ni haki jamani, na sio mara ya kwanza hii mshahara inachelewa sana kutoka na sisi ni binadam jamani ukizingatia baadhi ya maofisi wanakaa kimya hata senti...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Wilaya kipindi cha Samia hawachapi kazi kabisaHawachapi kazi kama awamu ya 5

    Kipindi kirefu sana sasa sijasikia DC amemsweka mtu ndani kwa saa 24 au 48 Kipindi cha Magufuli ilikuwa ni kawaida kusikia DC kamsweka mtu ndani sababu kadhaa DC inakuita anakuhoji akiona umemzidi kwa hoja basi anaagiza uwekwe ndani..😂😂😂 Ilikuwa wafanyabishara, wanasiasa, viongozi wa dini...
  10. JamiiForums Tanzania Wakulima wa Parachichi kupata fursa ya kuuza bidhaa hiyo katika soko la China

    Wakulima wa Parachichi kupata fursa ya kuuza bidhaa hiyo katika soko la China kufuatia uamuzi wa Kampuni kubwa ya ununuzi wa mazao ya Yihai Kerry ya China kuanza kununua parachichi kuanzia msimo ujao. Kampuni hiyo hivi sasa inaongoza kwa kununua Ufuta unaoingia katika soko la China kutokea...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyovuta wawekezaji kwa uongozi wake mzuri

    Kutokana na uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, Tanzania sasa ipo kwenye nafasi nzuri ya kuimarika katika sekta za uwekezaji, biashara na utalii kutokana na maridhiano ya kisiasa. Miongoni mwa vitu vinavyovutia wawekezaji ni pamoja na sera za kudumu zisizobadilika pamoja na amani na utulivu wa...
  12. JamiiForums Tanzania Waraka kwa Rais Samia kuhusu vilio vyetu sisi Wahandisi tulioajiriwa kama Walimu

    Nimefurahishwa Sana na kusikia rais wetu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dr Samia Suluhu Hassan ni mtembeleaji mzuri wa jukwaa hili la JamiiForums na tunaamini atatusikia juu ya hiki kilio chetu. Sisi Wahandisi tulioajiriwa kama walimu katika shule za ufundi Tanzania. Bwiru Boys...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Demokrasia ya utawala kwa majadiliano na maafikiano

    Utawala wa demokrasia ni utawala wa majadiliano na maafikiano, sio utawala wa amri.na sio utawala wa imla, sisi sote tunajua watu wamegawanyika au wametofautiana katika mawazo na fikira.hakuna kisima cha jumuiya cha kuchota mawazo na fikira za jumuiya. Hwa hiyo mgawanyiko wa fikira ni lazima...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali: Wanaoanza Biashara kutolipa Kodi ya Mapato kwa muda hadi wa mwaka mmoja

    Hello Wadau, Naioongeza Serikali kwa kuchukua uamuzi huu utakaosaidia sana kutatua shida ya ajira na pia kuchochea vijana kujiajiri. Tulikuwa wapi kumpata Rais kama Samia? Mungu ambariki. ==== Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ulipofikia Ujenzi wa daraja la Kigongo - Busisi

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu inaendelea na ujenzi wa miradi ya kimkakati iloachwa na awamu ya sita ikiwemo ujenzi wa Daraja la Magufuli lililopo maeneo ya Kigongo Busisi mkoani Mwanza. Ujenzi wa daraja la Kigongo Busisi umefika 67% na linatarajiwa kukamilika...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia kwa hotuba nzuri Siku ya Wanawake Duniani

    Mimi binafsi namshukuru sana Mheshimiwa Dk. Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania kutokana na yale yaliyojiri jana tarehe 8.3.2023 alipokuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa kina mama wa Chadema (BAWACHA). 1. Kwanza kabisa namshukuru sana kwa kusema HATA YEYE anasoma Jamii Forums. Hii ni tofauti...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa shangwe za wafuasi wa CHADEMA jana Rais Samia njia ni nyeupe 2025

    Siku ya jana inamwingiza tena kwenye historia ya Tanzania na Dunia Mama yetu kipenzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kudhihirisha ujasiri, utu na upendo wake kwa Watanzania wote kwa kile kitendo cha kuhudhuria kama Mgeni Rasmi sherehe za Siku ya Wanawake...
  18. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri Angela Kairuki hili la Kilwa litakuondoa madarakani Rais Samia akijua

    Rais Samia Suluhu Hassan amejipambanua kuwa ni msikivu kwa watu anaowaongoza. Samia amerejesha uongozi shirikishi. Kwamba unapotaka kuwaletea maendeleo wananchi basi uwashirikishe Ili kujua nini kipaumbele chao. Usilazimishe kuwajengea daraja kumbe shida yao ni kisima cha maji nakadhalika. Sasa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe ameamua kuwakabidhi Wanawake wa CHADEMA kwa Rais Samia

    Kwa tunaojua mbinu za siasa ni dhahiri kabisa ushindi wa Mama Samia umeshikiliwa na Block votes kubwa mbili yaani Uislam na Uwanawake basi. Kitendo Cha Mbowe kumkaribisha Mama Samia kwenye siku ya Wanawake wa Chadema nikutaka na kupandikiza kwenye akili za Bawacha kuwa Mama Samia ni Mwenzao...
  20. JamiiForums Tanzania Tusimlaumu Rais Samia, tukumbuke tulikotoka

    Tafakuri ya Askofu Benson Kalikawe Bagonza Rais Samia ameweka rekodi. Tutasahau barabara, madaraja, madarasa na teuzi anazofanya. Lakini hili la kukutana na Chadema katika maadhimisho ya BAWACHA hatutalisahau kirahisi. Wapo walionuna pande zote mbili za CCM na Upinzani. Ni budi wawepo ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…