rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki, mpe Rais Samia maua yake kwanza

    Nimesikiliza wimbo wa Roma Mkatoliki, napenda ila Chorus hasa kwa kuwa ameimba ABIUD ambaye wengi wanapenda anavyoimba mitaani. Roma amefanya vyema kumopa nafasi kuimba Chorus japo kweli Chorus na anachoimba Roma havifanani. Katika wimbo huu Roma anaomba kupewa maua yake ayanuse kabla hajafa...
  2. JamiiForums Tanzania Picha za Rais Samia baada ya kuswali Sala ya Eid El-Fitri tarehe 22 Aprili, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa anatoka katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (Mfalme Mohamed VI wa Morocco) uliopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuswali Sala ya Eid El-Fitri tarehe 22 Aprili, 2023.
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia anawatakia Kheri ya sikukuu ya Eid Al Fitr Waislam wote

    Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, anawatakia Kheri ya sikukuu ya Eid al Fitr Waislamu wote, na kuwakumbusha kuendeleza misingi waliyoiishi katika siku 30 za mwezi mtukufu wa Ramadhani, kwa kutenda yaliyo mema, kuwajali wengine, sadaka shukrani na ibada kwa mwenyezi Mungu" . Kupitia Ukurasa wake wa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Samizi amshukuru Rais Samia kwa kuwapatia gari la kusimamia elimu Jimboni

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi ameishukuru Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia Jimbo lake la Muhambwe gari kwa ajili ya usimamizi wa maendeleo ya elimu ya sekondari. Gari hilo limeshakabidhiwa Jimboni tayali kwa usimamizi wa elimu...
  5. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia ateua Mshauri wa Sheria na Mshauri wa Mabadiliko ya Tabianchi na Mazingira

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- 1. Amemteua Jaji George Masaju kuwa Mshauri wa Rais, Masuala ya Sheria (Advisor to the President – Legal Affairs). Jaji Masaju ni Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma. Uteuzi huu umeanza tarehe 20...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amepambana kishujaa na kijasiri kulifikisha hapa taifa kimaendeleo

    Ndugu zangu watanzania, Kwa hakika Rais Samia Anastahili pongezi kutoka kwa kila mtanzania mzalendo, Rais wetu Ni mpambanaji na aliyepambana kishujaa na kijasiri Sana kwa ajili ya Taifa letu, Amepambana kwa nguvu zake zote kuhakikisha kuwa licha ya mdororo wa uchumi wa kidunia uliosababishwa...
  7. JamiiForums Tanzania EWURA, Utaratibu wa kujenga Vituo vya Gesi asilia kwaajili ya Magari upoje?

    Mwanzoni nlijua ni TPDC peke yake kumbe shida na EWURA ni Shida. Wanakwamisha vibali vya kufunga vituo vya kujazia Gesi asilia kwenye magari. Kwa sasa Tanzania nzima vituo vilikuwa viwili tu vya kujazia gesi yaani Ubungo na Tazara sasa kituo cha Tazara kikapata hitilafu wakaambiwa warekebishe...
  8. JamiiForums Tanzania Balozi Kagasheki ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya PAROLE

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Khamis Sued Kagasheki kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole kuanzia tarehe 18 Aprili, 2023.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mambo matatu kwa Rais Samia yatakayoimarisha utawala wa awamu ya 6

    Habari jf ,binafsi nimefanikiwa kuishi na wazanzibar wengi sana ,kitu kikubwa nlichokiona kwanza hawana tamaa ya Mali na ni wa aminifu sana. Hivyo basi binafsi Nina Imani kubwa sana na Rais Samia na kama atayashughulikia haya mambo matatu basi utawala wake utakuwa wa mafanikio sana :- 1.Kuacha...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Sauti inayomwambia Rais Samia akamilishe Miradi ni ya Mungu wa mbinguni akinena kupitia mtumishi wake Hayati Magufuli

    Wakuu wa nchi huwekwa madarakani na Mungu wa mbinguni na ndio sababu Huapa kwa kutumia Vitabu Vitakatifu. Ukitegemea waganga kama Pakipande au Mandondo Ikulu utaendelea kuisikia tu hadi uzeeni na mkongojo. Sauti inayomwambia Rais Samia akamilishe Miradi iliyoanzishwa na mtangulizi wake hayati...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Dar: Maandamano ya ACT Wazalendo kuelekea Ikulu kushinikiza waliotajwa wizi kwenye ripoti ya CAG kuchukuliwa hatua

    Maandamano makubwa yameanza eneo la Fire Kariakoo yakiwa yameandaliwa na ACT-Wazalendo kushinikiza wezi wote walionaswa na Ripoti ya CAG waondolke maofisini kwenda magerezani. Maandamano yanaongozwa na viongozi waandamizi wa chama hicho Cha upinzani na yataishia lango Kuu la Ikulu ya Magogoni...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Sekiete Selemani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Bw. Sekiete Yahaya Selemani, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuanzia tarehe 16 Aprili, 2023. IKUMBUKWE KUWA: Mwanzoni mwa mwaka Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima 'alimshtaki' Mkurugenzi huyo kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia atarajiwa kuwa mgeni rasmi Mei Mosi 2023

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi yatakayofanyika kitaifa mkoani Morogoro. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (Tucta) imesema maadhimisho hayo yatakayofanyika katika Uwanja wa Jamhuri mkoani...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea ujumbe maalum wa Rais wa DRC

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi, uliowasilishwa na Mjumbe Maalum Profesa Serge Tshibangu Ikulu Chamwino-Dodoma Aprili 17, 2023. Wanajamvi naamini hii ni “move” nzuri...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Juhudi za Rais Samia zimesaidia kukuza mchango wa sekta ya madini kwenye pato la taifa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aliitaka wizara ya madini kuhakikisha wanafanya kazi kubwa kuongeza mchango wa sekta hiyo kwenye pato la Taifa kutoka kutoka 6.7% mwaka 2020 hadi kufikia 10% mwaka 2025. Hadi sasa sekta hiyo inachyangia 9.7 ya pato la taifa...
  16. JamiiForums Tanzania Mbowe: CHADEMA haipo kumbeba Rais Samia, atabebwa na chama chake

    Dodoma/ Dar. Kufuatia kauli ya mbunge wa Makambako, Deo Sanga ya kuitaka Chadema kutosimamisha mgombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amesema watasimamisha wagombea ngazi zote kwa kuwa bado wanapambana na CCM. Mbali na ombi la Chadema...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia elewa wapiga kura wa nchi hii wanahitaji nini kwa sasa

    Nimesoma kitabu cha "Will Propaganda Work in Modern World?" Mwandishi pamoja na mambo yote anasema, "moja ya sifa chanya na bora kwa kiongozi makini ni kujua watu wake wanahitaji nini kwa wakati gani na kwa sababu gani naye huenda na matakwa yao ili kukidhi na kukata kiu yao. Anasema kiongozi...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia, usidanganywe na wanaokushauri kuhusu utoaji vibali vya wageni

    Wasaidizi wako wanakudanganya kwa sababu wanafaidika na “kitu kidogo” Usidanganywe na hao wanaokushauri kuhusu utoaji vibali vya wageni. Kwanza kazi nyingi humu nchini zinaweza kufanywa na wazawa. Kuna umuhimu wa kua na limit ya wageni ambao kampuni inaruhusiwa kuwaingiza humu nchini...
  19. JamiiForums Tanzania Rais samia aahirisha tena sherehe za muungano, aagiza mikoa ifanye shughuli za maendeleo siku hiyo

    Wakati maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yakisubiriwa hapo Aprili 26 mwaka huu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameahirisha sherehe za gwaride na badala ameelekeza kufanyika kwa shughuli za maendeleo katika ngazi za mikoa. Hii ni...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Mama Janeth Magufuli, picha bora ya wiki

    Katika majukwaa ya kisiasa Tanzania wiki hii pengine picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli wakati wakitoka kwenye Futari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Aprili. 2023 inaweza kuwa picha bora zaidi ya wiki. Mbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…