Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.
A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.
Ndugu zangu Watanzania,
Rafiki wa Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Kamala Harris Ameweka Wazi nia yake ya kufikiria Uamuzi Wa Kugombea Urais wa Marekani Mwaka 2028.
Ambapo Mgombea huyo Mwanamama hodari ,Mahiri ,shupavu, Madhubuti na mwenye uwezo mzuri wa...
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Jimbo la Nasarawa, Keffi (NSUK), umemtunuku shahada ya heshima ya udaktari Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, kwa mchango wao mkubwa kwa ubinadamu na jamii kwa ujumla.
Akipokea Tuzo hiyo, Samia amesema
"Napokea utambuzi huu kwa unyenyekevu mkubwa na shukrani...
Hii imekaaje, rais kutangazia umma kwamba Tanzania ndio nchi yenye bei ndogo sana ya mafuta ya petroli na dizeli katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati.
Katika kutetea hoja yake hiyo rais amejaribu kunukuu bei ya bidhaa hiyo katika bara la Ulaya ambapo amesema ni Euro 6,000 kwa lita...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,nyota ya matumaini na nuru ya Wanyonge.
Ni Mama wa Vitendo ,ni Mama anayetimiza anachoahidi na...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema hayo leo, Aprili 10, 2026, alipokuwa akitoa maelekezo kwa Serikali katika hafla ya uzinduzi wa minara 758 pamoja na uunganishaji wa Mkongo wa Mawasiliano katika wilaya 85 ambapo ameelekeza kuwa serikali ihakikishe huduma ya mawasiliano inayotolewa nchini...
My Take
Wengine waliotangukia walijenga ila Samia amejenga na kujenga zaidi.
https://www.instagram.com/p/Cen-Vgxqcjl/?igsh=MTNsdnk1ZG1yNjd6YQ==
Kuna wale nyumbu na haters wake watakuja kubisha na kutukana hovyo huku wakiumia kuona mafanikio hayo makubwa yanayoacha rekodi ,alama na Kuandika...
Serikali kupitia Msemaji Mkuu wake, Gerson Msigwa, imetoa ufafanuzi wa kauli ya Rais Samia aliyotoa mchana wa leo Aprili 8, 2026, kuhusu bei za mafuta;
Soma: Rais Samia: Bei ya mafuta Marekani na Ulaya ni Dola 800 na Euro 400/600 lita 1, Sisi tuko vizuri, tuna uhakika wa miezi 3
UFAFANUZI
Leo...
Chuo Kikuu cha Jimbo la Nasarawa (NSUK) cha Nigeria, kinatarajia kumtunuku Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, shahada ya Udaktari wa Heshima, Aprili 11, 2026. Kulingana na taarifa iliyochapishwa kwenye gazeti la Premium Times la nchini humo, kiongozi huyo atatunukiwa shahada hiyo wakati wa...
Akizungumza Aprili 8, 2026 katika hafla ya uapisho wa viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, Rais Samia ametoa mchanganuo wa bei za mafuta kwa mataifa ya Ulaya na Marekani, akieleza kwa Tanzania ni nafuu na bado kuna uhakika wa Mafuta kwa miezi mitatu.
Soma pia Rais Samia: Naanza...
Rais Samia ametangaza hatua mpya ya kubana matumizi ya mafuta ndani ya serikali, akieleza kuwa matumizi hayo yamekuwa makubwa kutokana na wingi wa magari na safari za kikazi.
Akizungumza wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi katika Ikulu ya Chamwino, amesisitiza umuhimu wa taasisi za umma...
1. Wakala wa vipimo (WMA).
Wakala wa vipimo ulianzishwa ili kuleta usawa kwa mlaji na mtoa huduma lakini vituo vya mafuta vinadhulumu walaji.
Sasa hivi bei ya mafuta iko juu na vituo vya mafuta bila aibu wanatuibia huku wakala wa vipimo upo tu . Wakala hii ifutwe haraka na watumishi wake wote...
Katika miaka ya mwanzo ya uongozi wake, Rais Samia Suluhu Hassan alionekana kubadili upepo wa kisiasa kwa kuonesha utashi mpya uliogusa moja kwa moja masuala ya demokrasia, uhuru wa vyombo vya habari na mwelekeo wa kidiplomasia. Kauli na hatua zake za awali zilijenga taswira ya kufungua milango...
Yaani ni kuanzia mahakamani Hadi Time ya umwagiliaji
Ambulance za Wahonjwa Hadi pikipiki za maagisa ugani.
Mitambo ya kuchimbia visima na mabwawa Hadi baiskeli za wahudumu wa Afya.
Mitambo ya Ujenzi Hadi magari ya zimamato Kila Wilaya.
My Take
Sio tuu kwamba amenunua Vitendea Kazi lakini...
Kwa ujumla raisa Ameqakosea wananchi ambao wanalipa kodi ili kulipa mishahara ya Wabunge na posho zao.
Kama hili bunge lisingekuwa rubber stamp ilipaswa rais Samia aondolewe madarakani kupitia ibara ya 46A .
Huwezi kuteua mtu ambae aaliiba pesa za watanzania masikini ambao hawana maji, shule...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS, IKULU
Zanzibar
05 Aprili, 2026
Baruapepe: press@ikulu.go.tz
TAARIFA KWA UMMA
RAIS SAMIA ATOA POLE KWA WAATHIRIKA WA MOTO MAWASILIANO, AAGIZA UCHUNGUZI WA HARAKA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia...
Wakuu,
Njia iliyobaki kwa Rais Samia kuepuka kitanzi cha ICC na hasira ya wananchi kutokana na mauaji ya Oktoba 29, ni kuangusha lawama zote kwa vyombo vya ulinzi, kisha apishe kiti kuruhusu uchaguzi mwingine kufanyika.
Aseme vyombo vya ulinzi vilitenda mauaji yale kwa order zao, either kwa...
Wakuu,
Ikulu wawekea post kuwa Rais Samia ameitikia wito wa wagombea nafasi ya Urais kwa vyama 16. Kwa maneno mengine ni kwamba hawa wagombea ndio wameomba mkutano na Rais Samia ili wajadili pamoja kuhusu hali ya kisiasa na masuala ya maendeleo ya Taifa kwa ujumla.
Watu sio wajinga...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anaendelea kuonyesha na kudhihirisha kuwa yeye ni chaguo la Mungu Aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe na aliyepewa kibali na Mungu kuongoza Taifa letu.
Anaendelea kuonyesha kuwa yupo kwa ajili ya ustawi...
RAIS SAMIA AKUTANA NA WAGOMBEA URAIS WA TANZANIA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, jana tarehe 31 Machi, 2026, alikutana na wagombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka...