rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    PostGE2025 Mchambuzi wa Siasa Herman Manyora adai Rais Samia hatomaliza miaka 5 madarakani

    Mchambuzi maarufu wa siasa kutoka Kenya, Herman Manyora, amezua gumzo baada ya kudai kuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, hatoweza kumaliza kipindi chake cha miaka mitano madarakani. Akizungumza katika mahojiano na Tedd Agwa, Manyora alisema hali ya kisiasa nchini Tanzania inaashiria...
  2. R

    PostGE2025 Siku 100 za Rais Samia zimeanza na Mauaji, kesi za Uhaini kwa Vijana na kutaka maridhiano batili

    Wakuu, Tujikumbushe kidogo wakati Rais Samia akiwa Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika ufunguzi wa Kampeni kitaifa uliofanyika Jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Kawe, alizungumzia Sera zake na mambo atakayotimiza kwa wananchi ndani ya siku 100. Soma GE2025 - Ahadi za...
  3. LIVE BUNGENI: UTEUZI WA WAZIRI MKUU MPYA, RAIS SAMIA KUHUTUBIA LEO

    https://www.youtube.com/live/HC9UL5gBJzE?si=xsGjR6En5h3eFIvJ
  4. PostGE2025 Uteuzi wa Mawaziri na Viongozi wengine utakavyopunguza hasira za Watanzania na kurudisha imani hata robo kwa Rais Samia

    Inafahamika wazi kabisa watu wengi hawaitaki hata kuisikia Serikali iliyopatikana baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 na kumsimika Rais Samia hali iliyopelekea maandamano yaliyosababisha maumivu makubwa. Kama Rais Samia anataka utulivu hata wa asilimia 10 tu basi wafuatao asijaribu hata kwa...
  5. Je, Dkt. Nyansaho ndio Waziri wa Fedha ajaye? Mrithi wa Mwingulu Nchemba!

    Dkt. Rhimo Nyansaho, mchumi na aliyewahi kufanya kazi katika sekta ya benki, anatajwa kuwa miongoni mwa majina yanayopewa nafasi ya kuchukua uongozi wa Wizara ya Fedha, kufuatia uteuzi wake kuwa Mbunge na Rais Samia Suluhu Hassan. Taarifa kutoka Ikulu iliyotolewa jana imesema kuwa Dkt. Nyansaho...
  6. GE2025 Ukimya Unaoongea: Rais Samia hakutajwa wala kupongezwa kwenye Mkutano wa SADC ulioongozwa na Rais Ramaphosa

    Ni kwa kiwango gani Kiongozi lazima anatakiwa kuanguka hadi majirani zake waanze kujifanya kana kwamba hayupo? Hilo ndilo swali lenye ukakasi linaloizunguka Tanzania na Rais wake, Samia Suluhu Hassan, baada ya yeye na nchi yake kutotajwa kabisa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa SADC wiki hii —...
  7. GE2025 ACT Wazalendo: Serikali ya Rais Samia imekosa uhalali wa kisiasa kuendelea kuongoza Tanzania, uchaguzi wa Oktoba 29 ni pigo kwa Demokrasia na taifa

    MSIMAMO WA ACT WAZALENDO KUHUSU MWENENDO NA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU 2025 Chama cha ACT Wazalendo kupitia kikao cha Kamati ya Uongozi Taifa kilichoketi 7 Oktoba 2025 kimefanya tathmini ya kina kuhusu mwenendo na matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025 ambao umekuwa pigo kubwa...
  8. Kilichomharibia Rais Samia ni namna alivyoanza baada ya kifo cha Magufuli. Anaweza kurekebisha, anayo nafasi

    Utawala wa awamu ya 5 wa Mh. Magufuli ulijaa futuhi, propaganda na ukatili wa kila aina. Alipambwa na vyombo vyote vya habari kwa hofu kuu. Mpaka wakaiita serikali yake ni serikali ya viwanda ilhali ndiyo serikali iliyoua channel ya ukuaji wa viwanda. Upotevu wa fedha usio wa kawaida ulioonekana...
  9. Zaidi ya 90% Ya Marais Wote Duniani Wamegoma Kumpongeza Samia Kwa Ushindi Ukilinganisha Na Mtangulizi Wake

    Wengi tulizoea kuona Viongozi wa kidunia wakiwapongeza Marais wa Tanzania pale wanaposhinda chaguzi, na wengi mnakumbuka mwaka 2015 na 2020 tulishuhudia Viongozi wa kidunia wakiwemo Marais, Wawakilishi wa Marais, Wakuu wa Taasisi na mashirika ya kidunia wakitoa Pongezi zao kwa Rais wa Tanzania...
  10. Y

    Waraka wa amani kwa Rais Samia. Imefikia wakati wa kuponya Taifa na kujenga siasa mpya

    Nianze kwa kumshukuru Mwenyezimungu mwingi wa Rehma kwa kutupatia nafasi nyingine ya pumzi kiasi cha kuweza kutoa maoni haya. Pili nitoe pole, kwa watanzania wenzangu wote ambao kwa namna zote wamepotelewa na wapendwa wao, ama kusababishiwa ulemavu kufuatia yaliyotokea siku ya uchaguzi katika...
  11. R

    GE2025 Dkt. Godwin Mollel: Wanaovuruga amani wanataka kutusahaulisha makubwa aliyofanya Rais Samia

    Dkt Mollel ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari ambapo ameleleza kuwa watu wanaotaka kuvuruga Amani wanataka kutusahaulisha mambo matatu muhimu makubwa ikiwemo kazi kubwa iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu ndani ya miaka minne ya...
  12. L

    Huyu Hapa Ndiye Waziri Mkuu Mpya Atakayeteuliwa Na Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Najua wengi wenu mnajiuliza maswali juu ya nani atakuwa waziri Mkuu Mpya wa Tanzania. Najua mna kiu kubwa sana kutokana na umuhimu na unyeti wa nafasi hiyo kiutendaji na kiutawala ndani ya serikali yoyote ile Duniani. Kwanza ifahamike ya Kuwa waziri Mkuu kikatiba...
  13. Umekutana na hizi taarifa? 'Ujumbe kutoka kwa Vladmir Putin watua ikulu Chamwino'

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi, Mhe. Vladimir Putin, uliowasilishwa kwake na Mhe. Sergei Kiriyenko, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 06 Novemba, 2025.
  14. 🧐Magari ya Rais Samia: Msaada JamiiForums! Hizi Range Rover za Misafara Zina Sifa Gani Hasa?

    Ndugu Zangu Wanajukwaa! Mimi si mtaalamu wa magari kabisa, nimeona Range Rover hizi nyeusi, ndefu katika misafara ya Rais Samia Suluhu Hassan hasa baada ya kuapishwa kwake. Nimejaribu "ku-Google" (gugo huko!) na nimejifunza mambo machache. Ninaomba mnisaidie kufafanua kwa wale wenye ufahamu...
  15. L

    Rais Samia aongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu. CCM yaazimia kujitathmini na kujipanga vyema kubeba dhima ya kuliongoza Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Ameongoza kwa...
  16. Uchaguzi wa Spika wa Bunge na uthibitisho wa Waziri Mkuu mpya kufanyika Novemba 11, 2025

    Kufuatia Tangazo la Rais la kuitisha Bunge lililotolewa kwenye Gazeti la Serikali, Toleo Maalum Na. 11 (Special Supplement) la tarehe 4 Novemba, 2025 Tangazo Na. 647A Wabunge Wateule wote wanafahamishwa kwamba shughuli za usajili na taratibu nyingine za kiutawala zitafanyika Ofisi ya Bunge...
  17. N

    Kwako Rais Samia: Tafadhali naomba utathmini mpango wa kupeleka vijana wa form six jeshini (JKT) na uufute

    Mheshimiwa Rais, ninatambua mpango huu ULIKUWA na nia nzuri, nia thabiti na njema ya kuwapeleka vijana wetu jkt kwa mujibu wa SHERIA na huko wamefunzwa ukakamavu na uzalendo kwa nchi yao. Mheshimiwa Rais natambua pia serikali inawapeleka vijana kule ikiwa ni njia mojawapo ya kujilinda na kuwa...
  18. GE2025 Taasisi ya Mo Ibrahim: Rais Samia, kufunga intaneti na kupiga risasi waandamaji haikubaliki

    Taasisi ya Mo Ibrahim imetoa kauli kali dhidi ya hatua za serikali ya Tanzania kutumia nguvu dhidi ya waandamanaji kufuatia uchaguzi wa Oktoba 2025, ikionya kuwa nchi hiyo inarejea katika mwenendo wa kiimla. Katika taarifa iliyotolewa Jumanne, taasisi hiyo ilieleza “wasiwasi na masikitiko...
  19. Kati ya walio tuma ujumbe wa moja kwa moja ni huyu padre siku ya kuapishwa rais Samia

    Wakati wa sherehe za kiapo cha rais zilizofanyika jana, Padre huyu wa Kanisa Katoliki alionekana kuvaa stola ya rangi ya zambarau badala ya nyeupe au dhahabu kama inavyozoeleka kwenye matukio ya furaha. Kwa mujibu wa utaratibu wa Kanisa, rangi ya zambarau huashiria toba, maombolezo, na...
  20. Rais Samia achana na Mchengerwa kwenye baraza jipya, anakuharibia sana

    Najuwa kuwa ni mkwe wako na una msifu kuwa ana kifua kikubwa lakini uwezo wake kiakili (IQ) ni mdogo. Mwaka jana alitumia mbinu zile zile za Magufuli za mwaka 2019 kuharibu uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Na huo uchaguzi ndiyo uliozaa No Reforms No Elections. Kama CHADEMA wangetendewa haki basi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…