rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Iundwe tume nyingine ya kuchunguza matukio ya mauji ya October 29 baada ya Rais Samia kusema ripoti ya Jaji Chande ni ya kwake na mtu asiombe kuisoma

    Nchi imepoteza mabilioni kuunda tume ya kuchunguza matukio ya October 29. Leo Tume ya Chande imetoa ripoti na kumkabidhi Rais. Cha kushangaza ni Rais kusema ripoti ya Tume ni ya kwake yeye kama rais na haiwezi kuombwa na wanachi ili waisome! Wananchi tunahitaji kujua Tume imebaini mambo gani...
  2. JamiiForums Tanzania Hii ni ripoti ya Rais Samia akitoka ikulu atoke nayo, je akiwa nje ya ikulu itamsaidia Nini?zaidi ya laana?

    Mama shikamoo Je ripoti hii itakisaidia Nini? Sawa ni yako lakini tukubakiame imeandikwa vifo vya watu je itakisaidia Nini?
  3. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tusikubali kuchochewa na wanasiasa, wanaharakati, wahalifu, wenye maslahi binafsi kuvuruga tunu ya amani

    "...Watanzania tusikubali kurubuniwa kuharibu nchi yetu. Tusikubali kuchochewa, iwe na wanasiasa, wanaharakati, wahalifu au watu wenye chuki na wenye maslahi binafsi kwa njia yoyote ile kuvuruga tunu ya amani yetu. Tusimame imara na kwa umoja tulijenge taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ripoti hii ni ya Rais wasije wakatokea watu wengine wakadai ownesrhsip ya ripoti hii

    "Tumesikia masuala yaliyobainishwa na tume pamoja na mapendekezo kwa muhtasari. Lakini mmeshuhudia ripoti niliyokabidhiwa na mavitabu yale yaliyoko pale. Hii ni ripoti ya Rais. Aliyeunda tume ni Rais, na ripoti yote hii ni ya Rais. Kwa hiyo, wasitokee watu wengine wakadai ownership (umiliki) wa...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia: Nimesikia kuna statement imesema ‘Tunamtaka Samia wetu tunayemfahamu’. Mimi ni Samia yule yule wa 4R

    Wakuu, Rais Samia ameyasema baada ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam. "Ndugu wananchi, wakati nafuatilia uwasilishaji wa ripoti hii katika... nilisikia...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Sikutarajia Kadhia hii ingetokea nikiwa Rais, Jambo hili limenitwisha mzigo mzito mabegani kwangu

    Rais Samia amesema; "Waheshimiwa viongozi na Watanzania wenzangu, wakati nikielekea kuhitimisha nataka nikiri kwamba mimi binafsi sikutaraajia kadhia hii ingetokea kwenye nchi yetu kipindi hiki nikiwa kiongozi mkuu wa nchi. Jambo hili limenitwisha mzigo mzito mabegani kwangu. Lakini nataka...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tutagharamia matibabu ya majeruhi ya Oktoba 29. Wafanyabiashara tutaangalia namna 'tutawafariji'

    Wakuu, Samia ameyasema baada ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
  8. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: tumepanga kukamilisha mchakato huu (wa katiba mpya) katika kipindi hiki cha pili cha awamu ya sita

    "Pamoja na hayo, bado kuna mambo kadhaa ya kufanyiwa kazi katika mawanda ya siasa, ikiwemo suala la mabadiliko ya Katiba. Kama mnavyofahamu, na kama nilivyoahidi, tumepanga kukamilisha mchakato huu katika kipindi hiki cha pili cha awamu ya sita. Na ni suala la kipaumbele kwenye ilani ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Vurugu hazikuondoa changamoto, bali zimeongeza

    Rais Samia amesema kuwa yaliyotokea Oktoba 25 (29) hayakuondosha wala kupunguza changamoto tulizokuwa nazo, bali zimeongeza changamoto. kama ghasia zile zisingedhibitiwa nchi ingepata athari kubwa sana na ingetuchukua miaka mingi kuinuka tena. Amewasii watanzania kulinda amani ya nchi.
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tusimame dakika moja tuwaombee waliopoteza Maisha Oktoba 29

    Rais Samia amesema "Katika kuwakumbuka na kutoa heshima kwa waliotangulia mbele ya haki, ninaomba tusimame kwa dakika moja. Tumwombe Mwenyezi Mungu azipumzishe roho zao mahali pema peponi. Kila mtu kwa imani yake."
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bila shaka, jitihada za vyombo kudhibiti ghasia na vurugu zile ndiyo imefanya Tanzania iwe leo ilivyo

  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia ndiyo imefanya Tanzania iwe ilivyo vinginevyo tungekuwa tunazungumza hadithi nyingine

    "Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia na vurugu zile ndio zimefanya Tanzania iwe leo ilivyo. Vyenginevyo tungelikuwa tunazungumza hadithi nyingine. Lakini hapa mwenyekiti haimaanishi kuwa kwa wale ambao tutabaini wamekiuka sheria na taratibu za kazi zao kwamba hatutawajibisha, tutawajibishana." -...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kulikuwa na upotoshaji mkubwa wa matukio ya Oktoba 29

  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Kulikuwa na upotoshaji mkubwa habari za Oktoba 29 hususani vyombo vya habari vya nje na vya kimataifa

    Wakuu, Anazungumza Rais samia wakati akipokea ripoti ya tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani uchaguzi mkuu 2025
  15. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uchunguzi wa Amani wakati na baada ya uchaguzi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 23 Aprili, 2026. #UmojaWetuNdiyoNguvuYetu...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia sisi watumishi, wakulima na wafanyabiashara hatukudai kitu tulikotoka kulikuwa kugumu kwelikweli

    Toka Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan aingie madarakani kwakweli tumeona mabadiliko makubwa sana kwenye masilahi ya kiutumishi, amekuwa akipandisha madaraja analipa arrears anapandisha mishahara ameongeza kima cha mshahara serikalini na kwenye private sectors. Niseme tu, Mh. Rais Dr Samia...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bila amani Hakuna kujenga Uchumi, hakuna shughuli za kijamii. Siku tatu zile hakukuwa na kuchezana wala harusi zilikuwa siku 3 nzito

    Nawapongeza kwa kauli mbiyu isemayo Shiriki kulinda maani na mshikamano wa kijamii amani ni hazina ya Mama na Baba lishe, ila mimi nataka niseme amani ni hazina ya shughuli zetu za kiuchumi na kijamii. Bila amani Hakuna kujenga Uchumi, hakuna shughuli za kijamii. Siku tatu zile hakukuwa na...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Mmeshuhudia siku tatu zile. Hakukuwa na harusi, kitchen party wala mikusanyiko kwenye mabaa. Zilikuwa siku tatu nzito

    Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Aprili 21, 2026, wakati akifungua Kongamano la Kitaifa la Mamalishe na Babalishe, Rais Samia wafanyabiashara wadogo wa chakula, maarufu kama Mamalishe na Babalishe, kutambua na kulinda amani ya nchi kama nguzo kuu ya kukuza uchumi na ustawi wa shughuli zao...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia Akifungua Kongamano La Kitaifa La Mamalishe Na Babalishe, Tarehe 21/04/2026, Dar

    Rais Samia Suluhu Hassan, akifungua Kongamano la Kitaifa la Mamalishe na Babalishe, Tarehe 21 Aprili, 2026, Dar es Salaam https://www.youtube.com/live/4nzMi7ttDsM
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea ugeni wa Mtandao wa Viongozi Wanawake wa Afrika. Wasisitiza kuimarisha utawala wa kidemokrasia

    Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo amepokea ugeni wa ngazi ya juu kutoka Mtandao wa Viongozi Wanawake wa Afrika (AFLN) katika Ikulu ya Dar es Salaam, ikiwa ni ziara ya kidiplomasia iliyolenga kuimarisha ushirikiano katika utawala bora, ujenzi wa amani, na uongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…