rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohammed Issa: Rais Samia anabaguliwa kwa Uzanzibar wake

    Mbunge Khalifa Mohammed Issa (ACT) kutoka Jimbo la Mtambwe, Zanzibar amesema Rais Samia anabaguliwa kwa Uzanzibar wake. Amebainisha kuwa wanzanzibari hubaguliwa kwa uzanzibari wake na kauli zingine husema Rais Samia anatawala nchi isiyo yake, amekopeshwa kutoka Zanzibari aje kuwa Rais wa Jamhuri...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge Vuma Holle: Rais Samia Suluhu Hassan Atakumbukwa Kigoma

    Mbunge Vuma Holle: Rais Samia Suluhu Hassan Atakumbukwa Kigoma Mbunge wa Kasulu Vijijini mkoani Kigoma, Augustine Vuma amesema kazi kubwa ya kumtua mama ndoo kichwani inayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Maji imeleta mabadiliko makubwa ya upatikanaji wa huduma ya maji...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mkutano wa kwanza unaohusu Nishati Safi Jijini Paris, Ufaransa, Mei 14, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Kwanza unaohusu Nishati katika ukumbi wa Makao Makuu ya UNESCO jijini Paris, nchini Ufaransa leo tarehe 14 Mei, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika...
  4. JamiiForums Tanzania Nini umuhimu wa ziara ya Rais Samia Ufaransa?

    Rais Samia huyoo? Sasa hivi kaenda Ufaransa! Ufaransa, chini ya Macron, sasa hivi kimataifa haivumi upepo mzuri. Matukio ya uhusiano wa Ufaransa na nchi za Afrika Magharibi, kama Niger, Mali, Burkina Faso na nchi nyingine siyo mzuri kabisa. Nchi hizo za wenzetu zime experience ushenzi wa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amewasili salama nchini Ufaransa kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia

    Ndugu zangu Watanzania, Tunamshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema na Fadhili kwa kumsafirisha na kumfikisha Salama Nchini Ufaransa Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano wa Kimataifa Kujadili Nishati Safi utakaofanyika Ufaransa

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa mara nyingine tena Dunia imempatia heshima ya kipekee kabisa na ya hadhi ya juu kabisa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ndani ya ya Gari lililounganishwa Kiwanda kipya cha Kuunganisha Malori kigamboni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ndani ya mojawapo ya Gari lililounganishwa katika Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini Rais Samia anawafanyia wamasai haya mateso? Kwanini anauza Tanganyika yetu?

    Tumepiga kelele, tukamuomba, aache kuwaumiza wamasai kuwatoa kwenye ardhi yao. Kuuza rasilimali zetu kwa waarabu. CCM, watanganyika wenzetu kwa kutetea matumbo yao wamepitisha sheria za hovyo as long as wanashiba na familia zao. WANAMPA SAPOTI SAMIA AUZE TANGANYIKA WHILE ZANZIBAR REMAINS...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anayepingwa kwa uzanzibari wake ndiye amefanya makubwa kuliko hao Marais wa Tanganyika

    Chama cha Chadema kinazunguka nchi nzima kupoteza nguvu na gharama kulalamika kuwa Rais Samia ni mzanzibari hivyo na sisi tunataka Tanganyika yetu, hivi kweli chama kinachotaka kuleta maendeleo nchini ndio hoja kweli ya kuwaambia watanzania? Hatujui hata mnakosimamia, mara maandamano, mkitoka...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Mabango tuyatoe kwaajili ya kitu gani? Walimualika wenyewe kwenye baraza la wanawake kuonesha Rais Samia ni mwana demokrasia na mzalendo

    "Kuna clip moja mimi nimeipata, Rais Samia alipokuwa madarakani Lissu alisema Rais Samia amebadilisha upepo wa siasa, nilikuwa na kesi 6 za hovyo hovyo zimefutwa na mama anafanya kazi nzuri. Sasa leo anasema mambo yote hayajafanyika, leo anahoji nani alimwalikwa kwenye baraza la wanawake la...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge Fyandomo: Rais Samia Alitoa Ruzuku ya Mbolea Bei Ikashuka Kutoka 150,000 Mpaka 60,000 kwa Kilo Moja

    MBUNGE SUMA FYANDOMO: RAIS SAMIA ALITOA RUZUKU NA BEI YA MBOLEA IKASHUKA KUTOKA TSH. 150,000 MPAKA TSH. 60,000/KILO "Nampongeza sana Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan na Amir Jeshi Mkuu kwa kazi kubwa nzuri ambayo aliwaona wakulima maana walikuwa kwenye kipindi kigumu sana ambapo Mbolea...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 KITETO: Kata ya Engusero yapokea ambulance mpya, wananchi wamshukuru Rais Samia

    Wananchi wa Kata ya Engusero Jimbo la Kiteto wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia Gari jipya la wagonjwa ambalo litawaondolea adha ya Usafiri wa wagonjwa katika Kata hiyo na Tarafa nzima ya Matui. Pia, Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali imeshindwa kuendesha NHIF

    Wapo watu (Space Brothers) wanasema value system ya NHIF yetu ni all wrong. "It does not follow the value system of National Insurance in general". Kwa hiyo there is the suggestion kwamba NHIF is being mishandled. Tatizo moja nimeona NHIF ni kwamba mtu anaweza kuondoka na dawa nyingi (far more...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Kwagilwa Nhamanilo: Rais Samia ndio aliruhusu shughuli za kisiasa kuendelea, kwanini hamkuhoji wakati ule huyu ni Mzanzibari?

    "Jambo hili watu wengi wamelizungumzia huko nje, wapo waliolipotosha na wapo waliokwenda mbali zaidi na kuzungumza yale ambayo ni hatari kwa Umoja wa nchi yetu na mshikamano wa Taifa letu. Nataka niwakumbushe wakati nchi yetu ilipopita kipindi kigumu cha COVID-19 wakati Dunia yote ilijifungia...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia, CHADEMA wakikashifu mamlaka waonywe, wakiachwa wanajenga usugu, watasumbua

    Rais wetu na vyombo vya ulinzi na usalama nchini, Salaàm! Nimefuatilia mienendo ya kukijenga chama cha CDM hapa nchini - iko wazi kuwa CDM wanatumia njia hiyo kama sehemu ya haki yao ya kukusanyika, kuandamana, kuongea na kutoa maoni. Kinachonipa mashaka ni iwapo wanatumia forum HIYO...
  16. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul

    Kuna fedha za ajabu ndani ya Chadema ambazo chanzo chake hakijulikani. Hizi hela kama siyo za Abdul na mama yake, ni za nani? Kuna fedha za ajabu, Iringa, njombe na kwingineko. Pesa za Abdul na mamake zitatuangamiza. Chagueni viongozi ambao hawatatuangamiza. Kuweni macho na hizo pesa...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Rais Samia anatumia picha zetu kujinufaisha kisiasa, tunamtaka ashushe mabango yote la sivyo tutamshtaki Mahakamani

    Akizungumza na wananchi wa Iringa, leo Mei 2, 2024, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Rais Samia anatumia picha za viongozi waandamizi wa Chama chake akiwemo yeye kuweka mabango nchi nzima ili aoneshe kuwa wao na yeye wapo sawa, kitu ambacho mwanasiasa huyu amekikataa hadharani...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tumshauri Rais Samia aachie madaraka 2025 au agombee?

    Wana JF, wasalaam. Naenda moja kwa moja kwenye mada. Kila nikiangalia siasa zinavyokwenda, ni hakika Samia hataweza kutoboa ila kwa njia ya kumwaga damu. Atatumia nguvu sana ili kurudi ikulu. Kuna vielementi vingi sana ninavyo viona vitakavyo mnyima kura. 1. Hana kambi ya kumpigania kufa...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia mpaka sasa hujaanzisha mradi wowote wa kimkakati. Je, tuendelee kusubiri?

    Nawatakia heri wafanyakazi wote. Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi inaendelea kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa na marehemu Magufuli ambayo ni...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hajaonekana kwenye Sherehe za Mei Mosi, yuko wapi?

    Hili ni tukio kubwa na yeye ndio muhusika mkuu na ndio mwajiri mkuu kama sikosei kwa watumishi wa umma. Swali ni je, yuko wapi na anafanya nini au nini kimemsibu? === Pia soma: Dkt. Mpango: Serikali imepokea hoja ya kuboresha kikokotoo kwakuwa wafanyakazi hawaridhishwi na kanuni zake
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…