rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Pesa hatuna, tunanyanyasika kwa mikopo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dr Samia Hassan amebainisha jambo hilo zito na pia kuelezea sababu za kumuondoa kigogo wa TRA Kigogo aliyeondolewa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Alphayo Kidata alikuwa anafanya kazi huku akipigiwa kelele nyingi hivyo...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso: Wizara ya Maji haina deni na Rais Samia

    Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso (Mb) ameweka bayana kuwa Wizara ya Maji haina deni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na uwekezaji mkubwa wa miradi ya Majisafi Nchini hususani Mkoa wa Dar es salaam. Mhe Aweso ameyasema hayo wakati akitoa mrejesho wa ziara yake ya siku tano...
  3. JamiiForums Tanzania Picha ya Rais vs Rais wa Picha

    Nimekaa nikatafakari nikajiuliza hivi aliyekamatwa na kuwekwa korokoroni kwa sababu ya kuchoma picha ya Rais ameonewa? Je, emetendewa haki? Kisha nikajiuliza je, Rais kwa kuchomwa picha yake ameonewa? Ametendewa haki? Kisha nikajiuliza je, kitendo cha kuchoma picha ya Rais ni sawa na kumchoma...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nilimwondoa Kidata TRA sababu niliona mwishoni atadata

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu ya Tunguu, Zanzibar, leo Julai 5, 2024 https://www.youtube.com/live/MSSEPF3ioMs?si=gBRTSs5sSflxcq9D Rais Samia amewapongeza wateule wote kwa kupata nafasi mpya. Amemtaka Jafo kurejea Ilani ya chama...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni nchi gan hiyo duniani uliambiwa kuwa ukinunua hata tu 'Bigi Jii' unapewa Risiti?

    wasaidizi wake au wale chawa gegedu wake tafadhali njooni hapa mumsaidie mtutajie hiyo nchi ili nasi pia tuijue ok?
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki kongamano la wanawake wa Kiislam Zanzibar, leo Julai 5, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki kongamano la Wanawake wa Kislamu Zanzibar, leo tarehe 05 Julai, 2024. Rais Samia ndie Mgeni Rasmi katika Kongamano hilo linalofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi AGM ya TLS: Wanasheria Tumweleze Ukweli Kuhusu Ubatili wa Katiba Yetu na Sheria Zetu, Turudishe Haki Kuu ya Msingi

    Wanabodi, Utambulisho Japo sisi wanabodi wa jf, tunaitana wanabodi, na kutambuana kwa majina yetu ya ki jf jf, sio mbaya kunapotokea hoja ya msingi kwa mustakabali mwema ya nchi yetu, watu tukajitambulisha tena humu who we real are, hivyo mimi mwana JF mwenzenu, Pascal Mayalla, (Pasco wa JF)...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ndani ya CCM hakuna anayeona udhaifu wa Rais Samia kwenye uongozi wake?

    Historia itakihukumu kizazi hiki kwa ubinafsi na umimi uliokithiri. Kila kiongozi analinda ugali wake, na hakuna anayejali maslahi ya taifa. Wako wapi akina Mkwawa na Nyerere wa kizazi hiki? Hawa waliwapinga wakoloni bila kujali madhara yatakayowapata. Kwann hivi sasa maslahi binafsi yanapewa...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya alichechoma picha ya Rais Samia kuhukumiwa Miaka miwili Jela, Wakili asema wanafikiria kukata rufaa

    Kijana Shadrack Chaula (24) mkazi wa Kijiji cha Ntokela, Kata ya Ndato, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya amehukumiwa faini ya Shilingi Milioni 5 au kifungo cha miaka miwili jela akishindwa kuilipa faini hiyo kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo mtandaoni. Kusoma hukumu hiyo, bofya hapa ~...
  10. JamiiForums Tanzania Kampeni ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia ni kielelezo kingine cha ujinga Tanzania

    Huduma za msaada wa Kisheria za Mama Samia ni aina nyingine ya kielelezo cha jinsi taifa lilivyo Huwa nasema siku zote CCM hawako tiyali kuona vitu vifuatavyo vinatoweka katika hili taifa; 1. Kuisha au kupungua kwa umasikini. 2. Ujinga 3. Mifumo imara ya uwajibikaji katika nchi. 4. Mifumo...
  11. JamiiForums Tanzania Timu ya benki ya uwekezaji Ulaya(EIB Global) kutembelea Tanzania, kukutana na Rais Samia na viongozi waandamizi. Ni mkopeshaji mkuu EU

    Kundi la maafisa wa juu kutoka Benki ya Uwekezaji ya Ulaya, likiongozwa na Makamu wa Rais Thomas Östros, linatembelea Tanzania kuongeza uwekezaji wao nchini. Wakati wa ziara hiyo, watakutana na Rais Samia Suluhu Hassan, Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, na maafisa wengine wa serikali...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri: Familia ya Sativa ikatae Msaada wa Matibabu uliotolewa na Rais Samia, msaada huo ni kejeli

    Ni kweli kwamba Watanzania kutokana na hali zao duni za kipato wanahitaji msaada wa hali na mali, lakini uduni huo usiwapelekee kudhalilishwa Naishauri familia ya Sativa kukataa kabisa msaada wa matibabu ya kijana wao uliotolewa na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, Hii ni kwa sababu...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kugharamia matibabu ya Sativa hadi apone, aagiza uchunguzi wa tukio hilo

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema yeye binafsi atabeba gharama zote za matibabu ya Kijana Edgar Mwakabela (27) maarufu Sativa, kuanzia sasa mpaka atakapopona kabisa pamoja na kuhakikisha unafanyika uchunguzi wa tukio lililomtokea Kijana huyo ambaye hivi karibuni alikiri kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia akimpokea Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi, Ikulu ya Dar, leo Julai 2, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=1ukeVgqCvHo https://www.youtube.com/watch?v=_bs_27YOIos RAIS SAMIA: TUMEKUBALIANA KUUNDA UMOJA WA WAZALISHAJI WA KOROSHO AFRIKA Rais Samia Suluhu Hassan amesema Nchi zinazozalisha Korosho Barani Afrika ikiwemo Tanzania zinatarajiwa kuwa na umoja wao ili kuwa na...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya: RC Homera aagiza kukamatwa kwa kijana aliyemkashifu Rais Samia na kuichoma picha yake

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ametoa masaa 24 kutiwa mbaroni Kwa Kijana mmja huko Wilayani Rungwe ambae inadaiwa amemkashifu Rais Samia na Kuichoma Picha yake. My Take Naunga mkono hoja, upumbavu wa tabia za kihuni za kuiga ukomeshwe na usiruhusiwe hapa Tanzania. Mnaweza kupinga Kila kitu kadiri...
  16. JamiiForums Tanzania Taasisi ya goodwill foundation waungana na Rais Samia kuponya maisha ya watanzania

    Zaidi ya vijana 70 wanaounda Taasisi ya GoodWill Foundation wamemuunga mkono Rais Samia suluhu Hassan kwa kujitokeza kujitolea damu kwenye Kituo cha damu salama kilichopo Muhimbili jijini Dar es Salaam. Wanafunzi walijumuika kutoka Vyuo mbalimbali vya Dar es salaam, wamefika uamuzi huo baada ya...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na wewe unafanya ya Magufuli kuwanunua wapinzani?

    It is a pity! sasa 4R zipo wapi? Kama umefanya hili, kwanini mtu asiseme kwa uhakika kuwa ume sanction matendo mengine ya magufuli kuwateka/kuwaua/na kuwapoteza wapinzani yanayoendelea sasa hivi?
  18. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Taifa, Juni 30, 2024

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), kilichokutana jijini Dar Es Salaam leo tarehe 30 Juni 2024. CCM Imara Vitendo Vina Sauti Tunaendelea na Mama Kazi Iendelee
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

    RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kilichokutana Jijini Dar es Salaam leo...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Nilitetemeka kwa hofu siku niliposikia rais Samia akisema kuwa yeye na Magufuli ni wamoja!

    Rais Samia alipoingia madarakani mwaka 2021 katika hotuba zake za mwanzoni kabisa aliwahi kusema kuwa yeye na Magufuli ni kitu kimoja. Nakumbuka siku ile niliposikia matamshi hayo nilipatwa na hofu ndani yangu kwani kwanza sikutegemea angesema hayo na pili mimi nilielewa maneno hayo yalimaanisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…