Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.
A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda Niwafungueni Akili kidogo wale Vipofu wa akili na macho na waliojaa chuki Binafsi kwa Rais wetu Mpendwa. Napenda kuwaambieni Ya Kuwa Rais wetu Mpendwa Mama Samia Suluhu Hasssan ataendelea kuhudumiwa kwa Kodi za Watanzania Mpaka Mwisho Wa Maisha yake Hapa Duniani...
Mtoto wa miaka wa miaka 9 wa kituo cha watoto Yatima wenye Mahitaji Malum Kisweru Kilosa, aongoza Sala ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan baada kukabidhiwa zawadi ya Edi ( vyhakula na Ngo'mbe 3) vilivyotolewa na Mhe Rais*
Awaliza viongozi na wazazi...
Kesi ya uongo ya mgogoro fake wa mali, ni kesi ya Msajili wa vyama..
Kesi husika ipo hapa>> Mahakama yafuta kesi ya mgawanyo wa mali CHADEMA
Marehemu mama Komu alituelezea namna ambavyo Sisty Nyahoza, Msajili msaidizi akiwa na mtu anaitwa Salehe Bohora, walivyomfuata nyumbani kwake na kuomba...
Wakuu
Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi anawabatiza watu wenye mitazamo mbadala kama "wasaliti" na "choroko zisizoiva," huku akitumia mifano ya kidini kumweka Rais kwenye nafasi ya asiyekosea.
Waziri Katambi ameyasema hayo katika hafla ya kuhitimisha Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi...
Pamoja na kuwa bado utakuwa na kibarua kigumu kuhusu yaliyotokea October 29th 2025, bado unaweza kuonesha remorse and a road to a fresh start kwa yaliyotokea 29th October 2025 kwa kumwachia Lisu as a good gesture to a road to truth, accountability and finally reconciliation.
Hao wanaokushauri...
Wanabodi
Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo ni makala ya kuhimiza uzalendo kwa kutanguliza maslahi ya Taifa mbeli, kwa kumtia Moyo Rais Samia, na Watanzania, tusikubali vitisho vyoyote kutoka kwa nchi yoyote, kuingilia sovereignity yetu, na kutolea mfano Rais...
Kama Mafwele, Makonda nk wamepigwa ban kukanyaga baadhi ya nchi na ukiangalia ni viongozi wakubwa tu je, unadhani image ya nchi inaonekanaje?
Je, na Samia naye akipigwa ban itakuwaje?
Lilikuwa kosa mno ki-mkakati kwa Rais Samia kuwahoji wa Manga eti ni kinanani?! Ki ukweli hakika, washauri wa Rais wetu hawaku-mtendea haki kumsaidia kujizuia kutoa kauli kama ile
Ndugu zangu, kwa kauli ile, siyo rahisi tena mambo kuendelea kuwa kama awali. Wazungu kwa mfano, huwa na nongwa...
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anataka haki na uadilifu.
■Aapisha majaji wa rufaa, awakumbusha pia uzalendo
■Asisitiza kuepuka upendeleo, kuwa na hofu ya Mungu
■Asema duniani ukiacha Mungu, dhamana kubwa ni yao
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiona na Unapoona Rais wetu Mpendwa anaunda Tume Kuchunguza Kila Tukiona linalohusu Kupoteza Uhai wa Mtanzania yeyote yule ni kwa sababu Rais wetu anajali Maisha ya watanzania na Mtanzania mmoja mmoja. Ni kwa sababu Anataka kila mmoja Aishi Mpaka pale Mungu atakapoamua...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassana akiapisha Majaji 9 wa Mahakama ya Rufani aliowateua leo Mei 26, 2026, amesema Serikali itaendelea kuchukua hatua kuimarisha uwezo wa Mahakama za Tanzania ili kusimamia ufanisi wa utoaji haki
"Tumefanya mengine mengi na nyinyi ni...
"Kwa kutambua umuhimu wa haki kama misingi ya amani, utulivu, lakini pia maendeleo ya taifa letu, na ustawi wa wananchi kwa ujumla. Haki ndiyo inayo-prevail katika hayo yote hayo. Nendeni mkae"
Hayo yamesemwa na Rais Samia Leo, Mei 26,2026 wakati akiwaapisha Majaji aliowateua hivi karibuni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 26 Mei, 2026, amewaapisha Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania aliowateua hivi karibuni kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani.
Majaji walioapishwa ni
(i) Mhe. Imani Daud Aboud;
(ii) Mhe. Rabia Hussein Mohamed...
Nilikuwa napitia miradi ya kusini ambapo serikali imetenga zaidi ya bilioni 600. Hivi sasa mkandarasi yupo kazini, na madaraja yanaendelea kujengwa. Mheshimiwa Waziri Mkuu, ukipata nafasi ya kwenda huko na mimi nitakwenda pia, kwa sababu eneo hilo la Muhoro kule ndiyo nyumbani kwetu.
Kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni Lazima Sote kwa Pamoja bila kujali itikadi za vyama vyetu ,Dini zetu ,Makabila Yetu ,ukanda ,jinsia zetu ni lazima tukubali Ukweli wa Kuwa Rais Samia Uongozi wa Rais Samia Tangia kuingia Kwake Madarakani Umebadilisha Maisha ya watanzania. Umeleta Matumaini kwa watu na...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa anakubalika Duniani kote kuanzia Marekani mpaka Ulaya, Anaaminika kuanzia Ulaya mpaka Asia ,Anaungwa Mkono kuanzia Asia mpaka Afrika. Anafanya kazi na kushirikiana na serikali zote Duniani kote.
Hii ndio sababu ya kuona Mataifa mbalimbali kutoka kila...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka,shujaa wa Afrika na jasiri muongoza njia.
amesikitishwa sana na kuhuzunishwa sana kufuatia kifo cha Mtangazaji wa kwanza Mwanamke Nchini Tanzania Bi...
Watanganyika tunaonewa sana. Kwanza kabisa taifa letu lilimezwa na sasa halijulikani lilipo. Tanganyika imemezwa. Tunadanganywa eti kuna Tanzania bara na Zanzibar.
Alafu tunaumizwa sana. Maana utekaji umekuwa ukiumiza amani ya mioyo ya watu.
Angalia tukio la Sativa. Kwenda kutupwa porini na...