rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa Rais Samia akapita bila kupingwa uchaguzi wa mwakani

    Ndugu zangu Watanzania, Dalili zote zinaonyesha wazi kabisa Kuwa Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan atapita bila kupingwa uchaguzi wa Hapo Mwakani. Hii ni kwa kuwa inaonyesha vyama vya Upinzani hususani CHADEMA kukosa mgombea...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia alikuwa sahihi kuhusu mahitaji ya Kabisa Mpya

    Ukiangalia mambo ya kisiasa yanayoendelea hapa nchini nafikiri utakubaliana na Rais Samia kuwa waTanganyika hawahitaji KATIBA MPYA Wanachotaka ni kuwepo kwa Uhakika wa chakula uwepo wa ajira pamoja na gharama za maisha kuwa chini... Wengi wao wanaotaka katiba mpya ni wale waliopo kwenye siasa...
  3. JamiiForums Tanzania PUBLIC RELATIONS: Rais Samia anaweza kutumia busara tu. Ijumaa (December 27, 2024) iwe siku ya mapumziko.

    Kwa kuwa Xmas ni Jumatano na Boxing Day ni Alhamisi, Rais Samia anaweza kutumia busara tu ya ukuu wa nchi Kwa kusema tu, Ijumaa watu wapumzike na kazi zianze rasmi Jumatatu ya December 30. Hata kama sikuu ya Idd mosi ikiangukia Jumatano na Idd Pili Alhamisi, still Ijumaa watu wanaweza...
  4. JamiiForums Tanzania Askofu Mwanamapinduzi: Hezekia Wenje ndie alikuwa wakala wa Abdul kumpelekea rushwa Tundu Lissu nyumbani kwake

    Courtesy: MwanaHalisi Online TV Duuh, sasa mambo yameanza kufumuka na kunoga. Siri siyo siri tena... Wote tunakumbuka tuhuma za Tundu Lissu kwa mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan aitwaye Abdul kwenda nyumbani kwake mwanzoni mwa mwaka huu 2024 kumshawishi apunguze kasi ya mashambulizi dhidi ya...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awa gumzo Duniani. Ripoti ya uchumi Duniani yaipa Tanzania ya Rais Samia Alama B+ ukuaji wa Uchumi

    Ndugu zangu Watanzania, DUNIA inaendelea kuchangazwa na Maajabu yanayoendelea kufanywa Na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Katika kukuza na kuupaisha Uchumi wa Tanzania utafikiri ndege za kivita. Rais Samia anaendelea kuteka...
  6. JamiiForums Tanzania Mama mwenye watoto mapacha walioungana kifua, amshukuru Rais Samia kwa kumgharamia matibabu

    AHSANTE RAIS SAMIA Huyu ni Hadija Shaban Omar, mama mwenye watoto mapacha walioungana kifua, tumbo na nyonga wenye umri wa miaka Mitatu anapenda kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumgharamia kipindi cha miaka mwaka mmoja wallivyokuwa wanapata...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Uchumi Duniani yaonyesha matokeo makubwa Uchumi wa Tanzania chini ya Rais Samia

    Uthibitisho wa ripoti ya Fitch Ratings umeipa Tanzania kiwango cha alama B+ kuwa na Uchumi unaokua kwa kasi na uwezo wa Kulipa Madeni ya Nje kwa Muda Mrefu (IDR). Ripoti hiyo imeonyesha mtazamo thabiti wa mafanikio makubwa yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Sera...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia awapongeza Simba kwa kuichapa CS Sfaxien, "Simba mnaendelea kutupa furaha"

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Simba kwa ushindi wake dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia katika Kombe la Shirikisho barani Afrika. Mechi hiyo imechezwa leo Jumapili Desemba 15, 2024 jijini Dar es Salaam ambapo Simba imeshinda kwa mabao 2-1. Pia, Soma: Full Time: Simba...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Uhusiano wa Mbowe na Serikali ya Rais Samia umetugharimu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameweka wazi sababu za kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa na kutoa maoni yake kuhusu changamoto za kisiasa nchini. Lissu ameyasema hayo wakati wa mahojiano ya hivi karibuni na kituo cha habari cha...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Steve Nyerere na kundi lake kutambuliwa kama "Protocol kutoka Ikulu" kwa Mwamposa ina maana gani? Steve ni 'Kitengo'?

    Wakuu, Sijaelewa hii, Steve anapewa heshima hivyo (japokuwa sijaelewa hii "Protocol kutoka Ikulu" inamaanisha nini) inamaa gani? Kwamba Steve ni nani mpaka anaongoza ujumbe toka Ikulu? Wajuvi mkuje hapa.
  11. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Napendekeza kauli mbinu ya Rais Samia Uchaguzi Mkuu 2025 iwe "Kazi Kubwa, Matokeo Makubwa. Pamoja Tujenge Nchi"

    Mwisho wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ndio mwanzo wa uchaguzi mkuu na hapa nazungumzia wa 2025 ambao tuna Imani mgombea wa CCM atakuwa ni Dkt. Samia Suluhu, Rais wa JMT na Mwenyekiti wa CCM Taifa. Binafsi ,ninaamini Rais ni mbeba maono na mzalendo wa kweli ndio maana nitafurahi kama...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali yatenga zaidi ya Bilioni 3 kurasimisha makazi jijini Dar es Salaam

    Serikali imetenga zaidi ya shilingi Bilioni 3 kurasimisha makazi ya wananchi katika Mkoa wa Dar es Salaam. Katika kukamilisha zoezi hilo, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemuelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuhakikisha...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia aipandisha hadhi wilaya Rufiji kwenda kwenye hatua ya kuwa Mji

    Wakuu, Rais Samia Suluhu Hassan siku ya leo ameidhinisha kupandishwa hadhi kwa Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji kuwa Halmashauri ya Mji, na Halmashauri ya Mji wa Geita kuwa Manispaa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, alitoa...
  14. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Demokrasia CHADEMA ni kubwa kuliko CCM. Sidhani kuna mtu atathubutu kutangaza nia yake kugombea uenyekiti wa CCM dhidi ya rais Samia Suluhu Hassan

    Hongera CDM kwa kuonesha upeo mkubwa wa ki-demokrasia kwa kuwa na mfumo unaoruhusu wanachama kugombea vyeo mbalimbali ikiwa ni pamoja na uenyekiti wa chama. Huwezi kusikia mwanachama wa CCM anatangaza nia yake ya kugombea uenyekiti wa CCM dhidi ya mwenyekiti aliyepo madarakani. Chadema...
  15. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia amteua Majaba Shabani Magana kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu (FIU)

    Wakuu,
  16. JamiiForums Tanzania Mohammed Mchengerwa: Rais Samia Ameipandisha Hadhi Geita kuwa Manispaa na Rufiji kuwa Halmashauri ya Mji

    Hayo ndio maelezo ya Waziri wa Tamisemi bwana Mohammed Mchengerwa akirejea maamuzi ya Rais Samia. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipandisha hadhi...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia Ajihadhari na Mtego wa Wa Fomu 1.

    Rais Samia alipoingia madarakani, kutokana na yale aliyoweza kuyatenda mwanzoni, alisifiwa, alipendwa na kuungwa mkono na watanzania wengi wenye akili timamu wenye mapenzi mema kwa Taifa: 1) Alifuta kesi za kuwabambikia wapinzani 2) Mara kadhaa alikemea vitendo vya kishetani vilivyokuwa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Namshauri Paul Makonda asiwe anapenda kulia na kutoa machozi hadharani. Ajifunze kwa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa kiongozi Mkubwa na wa cheo kikubwa kama kuwa Mkuu wa Mkoa yaani Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa na kiongozi mwenye Ndoto ya kuja kuwa kiongozi Mkubwa siku za usoni . Siyo Vyema sana kuelemewa na hisia mpaka kufikia hatua ya kulia na kutoa au...
  19. JamiiForums Tanzania Gilead Teri: Sera za Uchumi za Rais Samia Zavutia Uwekezaji wa Trilioni 20 ($7.7b). Amfananisha na Deng Xiaoping Baba wa Uchumi wa China

    Mkurugenzi wa Kituo Cha Uwekezaji Tanzania TIC bwana Gerald Teri amesema sera Bora na nzuri za Uchumi na Biashara zilizoasisiwa na Rais Samia zimefanikisha kuvutia uwekezaji wa mtaji (FDI) wenye thamani ya $7.7 bln Kwa mwaka 2024. Bwana Teri amesema Hilo ni ongezeko la zaidi ya mara 3 kutoka...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia ampendekeza Profesa Janabi kuwa Mkurugenzi wa WHO-Afrika

    Rais Samia Suluhu amesema wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi unatosheleza kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Ukurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika. Nafasi hiyo iko wazi baada ya Mkurugenzi Mteule Dkt...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…