Kitu pekee Mwl Nyerere alikosea na nadhani anajutia hata huko aliko ni kuipa nguvu sana CCM
Chama kimekuwa na nguvu sana kuiongoza serikali, na ni Chama hiki hiki chenye wanachama wengi wafanyabiashara na wawekezaji wengine wa kawaida kuliko wasomi (wabebovu wa masuala fulani kielimu)...