Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuuhutubia taifa kuhusiana na kuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka mpya 2026. Hotuba hiyo itarushwa mubashara kupitia vyombo mbalimbali vya habari leo, Desemba 31, 2025, majira ya saa 9:00 usiku.
Hakika Uongozi huwekwa na Mungu.
Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongea na wazee wa Dar Es Salaam.
Hii ni Hotuba nzito sana iliyoonesha Upole, Ukweli na dhamira njema.
Hotuba hii imeonesha kuwa Rais yupo well informed.
Hotuba hii imetambulisha adui ni nani...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa vijana waliokuwa mstari wa mbele katika maandamano hawakuwa na sababu ya kuingia barabarani, akibainisha kuwa kitendo hicho hakioneshi uzalendo.
Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati akizungumza katika mkutano...
Watu mbalimbali wamekuwa wakijiuliza, ni kwa nini baadhi ya mawaziri maarufu na waliotarajiwa wamewekwa pembeni katika uteuzi wa Baraza jipya la Mawaziri? Je, ni kushindwa kutimiza majukumu yao? Ni mabadiliko ya kimkakati? Au ni nafasi ya kuwapa wengine fursa?
Mawaziri walioachwa kando awamu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na vyombo vya habari, tarehe 17 Novemba, 2025, Ikulu Chamwino, Dodoma.
https://www.youtube.com/live/SxXTD_EHUIE?si=q_ZLZCQITfKe2mN-
Hofu yao ni kubwa; wanahisi kwa mama yao Mungu ataingilia kati kama ilivyokuwa kwa JPM.
Nawe ukawa rais na ukavuruga maisha yao wote waliohusika na utekaji na mauaji dhidi ya Watanzania.
Sasa basi, inaonekana unasukwa mpango ili Mungu afanye yake ili apatikane msaidizi wa kundi lao.
Japo...
Muda mfupi baada ya Rais Samia Suluhu kuingia madarakani 2021, alifanya ziara ndogo mkoani Morogoro, na akaongea na watu pale Msamvu tarehe 7-04-2021.
Pale Rais Samia Suluhu aliwatoa watu wa Morogoro hofu na kuwaambia ya kwamba, mambo mengi mazuri yanakuja kwenye mkoa huo, ajira, mikopo...
==
Mkuu wa mkoa wa Mara akiongea mbele ya wanahabari alisema kuwa Mkoa wa Mara umeunganishwa kwenye Gridi ya Taifa kupitia vituo vya Nyamongo, Musoma, Bunda na Kibara.
Hadi kufikia Machi 2025, Mkoa una jumla ya wateja 142,277 na mtandao wa njia za kusambazia umeme wa msongo wa 33kV wenye urefu...
Katika tukio la kipekee linalodhihirisha mapenzi ya wananchi kwa viongozi wao, wakazi wa Mkoa wa Simiyu wamejitokeza kwa wingi kuonyesha furaha na bashasha kuelekea ziara ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inayotarajiwa kuanza tarehe 15 Juni, 2025.
Wananchi hao wameonyesha utayari wa...
https://youtu.be/tarwA0cZbcI?si=Wizm2OyFYriZzJzg
https://youtu.be/LI58lCwODxQ?si=3O5x8UYnDDmWtSL7
#Kwa wachunguzi wa mambo, wanaona moja kwa moja kuwa kauli hiI ya Rais Ruto imemlenga kumjibu Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania baada ya kauli yake ya wiki hii iliyoonekana kuwalenga wakenya...
baada
kauli
kenya
kutoa
raisraissamiaraissamiasuluhuraissamiasuluhuhassanrais william ruto
ruto
samiasamiasuluhusamiasuluhuhassansuluhu
tanzania
wakenya
william
william ruto
Nawasalimu wote kupitia jina kuu lipitalo majina yote.
Sina namna ya kumfikia rais lakini naamini anaweza akapitia hapa akapata ushauri utakao msaidia au hata wasaidizi wake huenda mkaona na msisite kumpelekea ushauri huu kwake.
Ipo hivi,
-Katika ma rais waliofanya mambo mazuri ya kuwagusa...
Rais wa nchi ndiye kimsingi ni alama na dira ya Taifa. Kwa Tanzania Rais wetu Kwa Sasa ni Samia Suluhu Hassan.
Tangu awe Rais ni wakati gani Rais aliwahi kuzungumzia kwa kina mambo ya uchumi?
Mtizamo wake kuhusu biashara kati yetu na nchi jirani, jinsi sera zilivyo Bora ama zinazotakiwa...
Sitaki kuamini kwamba MamaSamia2025 yuko nyuma ya mpango wa hiki kinachoendelea.
Ninafahamu kwamba MamaSamia2025 ni MTU mwenye dhamira safi licha ya kwamba watu walipotekwa alisema ni vijidrama na Mzee Kibao alipouawa na watu wanaodaiwa ni Polisi, akawapa Polisi haohao KAZI ya kujichunguza na...
Katika siasa za kisasa, viongozi wengi wanatumia ajenda zao kuimarisha nchi zao na kujenga mwelekeo wa baadaye. Rais Donald Trump wa Marekani alipochaguliwa mwaka 2024, alileta ajenda yake maarufu ya "Marekani Kwanza." Ajenda hii ililenga kuboresha uchumi wa Marekani, kuleta ajira, na kulinda...
TAARIFA KWA WAANDISHI WA HABARI
JINA : HAMIS MBWANA MZENGA
Awali ya yote kwa niaba ya wahanga wenzangu, Tunamshukuru Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama yetu Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri ya kuwatetea wanyonge. Tunaimani na kauli mbiu yake ya KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE...
Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake, hakuna mfano bora wa mwanamke shupavu, mwenye maono na anayevunja vikwazo kuliko Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Safari yake ya uongozi si tu fahari kwa Tanzania bali pia ni mwangaza kwa wanawake duniani...
bora
duniani
katika
kimataifa
kina
mfano
raisraissamiaraissamiasuluhuraissamiasuluhuhassansamiasamiasuluhusamiasuluhuhassan
siku
suluhu
uongozi
wanawake
Wadau hamjamboni nyote?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametuma salamu za pongezi kwa Kiongozi wa Japan, Mfalme Naruhito, katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 65.
"Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kwa niaba yangu binafsi, natuma salamu...
No reforms, no election ni mfupa mgumu sana kwa CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa kitaifa October 2025.
Kama serikali ya CCM italazimisha kufanya uchaguzi pasipo ushiriki wa chama kikuu cha upinzani Tanzania yaani CHADEMA basi litakuwa ni pigo kubwa sana kwa Rais Samia Suluhu Hassan kidiplomasia...
ccm
chadema
kidiplomasia
kubwa
kutoshiriki
mkuu
pigo
raisraissamiaraissamiasuluhuraissamiasuluhuhassansamiasamiasuluhusamiasuluhuhassan
sana
serikali
serikali ya ccm
suluhu
uchaguzi
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaopinga mchakato wa Rais Samia Suluhu Hassan kupewa nafasi ya kugombea bila upinzani, tunakaribishwa kukutana hapa ili kujiorodhesha majina yetu. Tunatarajia kuwa na wanachama wapatao 12,000 kutoka maeneo mbalimbali ya nchi.
Sababu za Kukutana
1...
"Tuapoelekea katika uchaguzi mkuu, tutaendelea kujiimarisha zaidi ndani ya Chama, tumekiwezesha chama nyezo muhimu za usafiri, tunataka kuona viongozi wa CCM wanawafikia Wananchi kuwasikiliza na kutatua changamoto zao, lakini katika hatua nyingine kichama tumejipanga na matumizi ya Tehama ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.