rais mwinyi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    GE2025 Rais Mwinyi: Niko Tayari kuheshimu maridhiano na kufanya kazi na upinzani

    Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar amesema yuko tayari kuunda serikali ya Umoja wa Kitaifa na kufanya kazi na upande wa upinzani. Mwinyi ametoa matamshi hayo wakati wa hotuba yake ya kulifungua Baraza la Wawakilishi linaloanza kazi baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu. Chama kikuu cha upinzani...
  2. R

    GE2025 Rais Mwinyi amteua tena Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar

  3. PAYE

    GE2025 Rais Dkt. Mwinyi atangaza Oktoba 29 ni siku ya mapumziko

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi ameitangaza kuwa Tarehe 29 Oktoba 2025 Siku ya Jumatano kuwa ni siku ya mapumziko kwa wananchi wote wa Zanzibar Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu inaeleza kuwa sababu za Rais Mwinyi kufanya uamuzi...
  4. R

    GE2025 Rais Mwinyi akabidhi Boti ya Wagonjwa (Ambulance) Kisiwa cha Kojani-Zanzibar

    Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi amekabidhi Boti ya kisasa ya kuwabebea wagonjwa kwa wakazi wa Kisiwa cha Kojani kilichopo Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
  5. R

    GE2025 Mabawa: Mimi ndiye Msanii wa kwanza Tanzania kupata Saini ya Rais Mwinyi, nimetoa wimbo wa 'Mitano tena' kwa gharama zangu

    Kumbe saini nayo ni kitu cha kuringia :FeelsWeirdMan: --------------- Mkali wa Muziki wa Zenji Fleva kutoka Visiwani Zanzibar, Mabawa amesema tukio la kupata saini ya Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi limekuwa ni tukio kubwa sana kwani haijawahi kutokea kwa Msanii wowote na yeye anakuwa wa...
  6. R

    GE2025 Rais Mwinyi anunua Tiketi zote Mechi ya Mlandege vs ETH. Insurance

    Katika kuelekea mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAF Champions League) kati ya Mlandege FC ya Zanzibar na Insurance FC ya Ethiopia, unaotarajiwa kuchezwa kesho Jumamosi katika Uwanja wa New Amaan Complex kuanzia saa 10:15 jioni, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...
  7. JanguKamaJangu

    GE2025 Rais Mwinyi: Tuna akaunti maalum ya kulipa madeni, nitaondoka madarakani sitaacha deni hata la Senti 5

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema dhamira yake ni kuhakikisha kuwa atakapoondoka madarakani hatoacha deni lolote ambalo serikali imelikopa. Amesema hilo litawezekana kutokana na serikali kufanikiwa kuweka mfumo wa kulipa madeni ya serikali kwa...
  8. Waufukweni

    KUMBUKIZI | Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi: Nampenda anayenikosoa zaidi. Wanaosifia wanamaslahi binafsi

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, nampenda anayenikosoa zaidi. Wanaosifia wanamaslahi binafsi.
  9. tonicimmobility

    GE2025 Rais Mwinyi alipa deni lote la Zanzibar lililodaiwa na TANESCO

    Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameupiga mwingi katika sekta ya nishati ya umeme visiwani Zanzibar na kufanikisha kulipa deni la shilingi bilioni 291, ambalo Zanzibar ilikuwa ikidaiwa na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Gulioni...
  10. R

    Rais Mwinyi afanya Uteuzi

    Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Leseni za Biashara na Mkurugenzi wa Idara ya Umwagiliaji Chanzo: Zanzibar Mpya & Dodoma zone
  11. Stephano Mgendanyi

    Rais Mwinyi Ashiriki Dua ya Kumuombea Marehemu Salim Turky

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa dini ya Kiislamu katika Dua ya kumuombea aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae, Marehemu Salim Turky. Dua hiyo imefanyika tarehe 20 Julai 2025, nyumbani kwa Marehemu Turky Mpendae, Wilaya ya...
  12. DuaZaMama

    Rais mwinyi ahimiza matumizi ya nembo ya 'Made in Tanzania '

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amezitaka wizara zinazoshughulika na biashara kutoka Tanzania Bara na Visiwani kuhakikisha kuwa wazalishaji wote wa bidhaa nchini wanatumia nembo ya “Made in Tanzania.” Lengo la hatua hiyo ni kuongeza utambulisho na...
  13. uhurumoja

    Rais Mwinyi Leo katika sabasaba katembea kwa mda wa masaa 3

    Wakuu hii sidhani kama ilikuwa sahihi kwa watu wa protocol na wahusika wengine Wamemtembeza Mh Rais katika mabanda yaliyobanana yenye fujo na juto kwa mda wa masaa 3 huenda na zaidi akikagua biashara na kupata maelezo kutoka kwa waelezaji ambao hawakuwa wamejipanga Ile kazi katika zama hizi za...
  14. DuaZaMama

    GE2025 Rais Mwinyi afanya uteuzi wa RC na Ma-DC

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amefanya uteuzi wa mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya watano kufuatia baadhi ya waliokuwa wakishikilia nafasi hizo kuchukua fomu kwa ajili ya kuwania nafasi za uwakilishi na ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kitengo...
  15. Frank Wanjiru

    Rais Mwinyi aizawadia Yanga Milioni 100

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameizawadia Klabu ya Yanga SC shilingi milioni 100, kwa kutambua ushindi na mafanikio makubwa waliopata katika msimu wa mwaka 2024/2025. Dkt. Mwinyi ameyasema hayo leo tarehe 30 Juni 2025 alipokutana na viongozi...
  16. Roving Journalist

    GE2025 Sababu za Rais Mwinyi kusogeza kulivunja Baraza la Wawakilishi hadi Agosti 13, 2025

    Kumekuwa na hisia tofauti kufuatia Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi kuahirisha kulivunja Baraza la Wawakilishi jana Juni 23, 2025 na kusogeza hadi Agosti 13, 2025 akisema ni kutokana na matayarisho ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Baadhi ya wachambuzi wameihusisha hatua hiyo na...
  17. R

    Rais Mwinyi apewa Tuzo ya Kinara wa uhamasishaji uwekezaji Zanzibar

    Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imemtunuku tunzo ya kuwa mhamasishaji nambari moja wa masuala ya Uwekezaji nchini ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Hasaan Mwinyi kwa mchango wake huo, ulichangia kuinua sekta ya Uwekezaji jambo ambalo...
  18. Waufukweni

    PreGE2025 Askofu Gwajima: Gwajimanization ni Ujasiri wa kusema Ukweli na kutikisa misingi ya ufisadi na dhulma katika nchi

    Askofu Josephat Gwajima ameielezea dhana ya Gwajimanization kama hali ya kuwa na ujasiri usiotetereka wa kusema ukweli na kutanguliza maslahi ya taifa mbele ya maslahi binafsi, hata kama ukweli huo unauma au hauwapendezi walioko madarakani. "Sasa nilipoona Gwajimanization nikataka niitafasiri...
  19. JanguKamaJangu

    Rais Mwinyi asema atabeba gharama zote za Uwanja wa Amaan katika Fainali ya Simba Vs RS Berkane

    RAIS DKT. MWINYI ABEBA GHARAMA ZOTE UWANJA WA AMAAN COMPLEX MECHI YA SIMBA DHIDI YA RS BERKANE Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa Zawadi Maalum kwa timu ya Simba Sports Club kwa kugharamia matumizi ya Uwanja wa New Amaan Complex bila...
  20. Abdull Kazi

    Kuna Makosa kwenye chaneli ya WhatsApp ya Rais Mwinyi

    Nimekuwa mfuatiliaji wa taarifa za viongozi wanazoweka katika kurasa zao binafsi za kwenye Chanel za WhatsApp. Hizi kurasa ni mbali na zile zinazotangaza kazi rasmi za ofisi zao. Naomba nitoe mfano wa kurasa hizo na baadhi ya viongozi kabla sijaeleza Makosa ninayokusudia yarekebishwe. Kwenye...
Back
Top Bottom