raia

The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huenda alikuwa dhalimu lakini usimamizi wa rasilimali za umma na utendaji kazi wake ulimbeba sana kwa raia wa hali ya chini kumkubali

    Kwanza ieleweke wazi kuwa mambo haya utekaji na kudhibiti wapinzani hata kwq kuwaua yalianza hata awamu ya kwanza ya Mwalimu Nyerere. Wapinzani wengi wa Mwalimu Nyerere walipotezwa na hata kuwekwa ndani bila kufikishwa Mahakamani . Kumsingizia hayati JPM ku2a ndio muasisi wa haya ya utekaji na...
  2. JamiiForums Tanzania Wakimbizi Raia Wa Burundi Wamekuwa Wakijipatia vitambulisho vya NIDA kwa Njia Hii

    Warundi wengi wana background ya Ukimbizi wa nchi mbalimbali ikiwemo hapa Tanzania. Serikali ya Tanzania iliingia makubaliano na Serikali ya Burundi kuwarejesha warundi wote wanaoishi kwenye makambi ya wakimbizi Nduta na Nyarugusu. Sasa baada ya kurejea makwao, Warundi kwa kushirikiana na...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Uokozi wa Afisa wa Silaha wa USA wa Ndege Iliyodunguliwa, Iran Yafanya Makosa Makubwa, na Kusababisha Vifo vya Raia

    Baada ya ndege ya Marekani F-15E kudunguliwa na Iran, na rubani na mtaalam wa silaha kutoka ndani ya ndege kabla haijadondoka chini, pande zote mbili, Iran na Marekani zilianza kuwasaka manusura. Ni Marekani ndiyo ilipata mafanikio ya awali yaliyowezesha kumwokoa rubani. Huku mtaalam wa silaha...
  4. JamiiForums Tanzania Je kuna raia wengine nje na watu wa africa mashariki wanao tumia JF??

    Naona kuna majukwaa ya zambia sijui zimbabwe kwene communities lakini sijawai ona comment au michango ya hoja ya hawa watu nje n tz n kenya?? Je kuna hap member nje na africa mashariki
  5. JamiiForums Tanzania Kiongozi aliyezima maandamano kwa kuua raia Iran naye auawa

    Ni dhahiri raia wa Iran wanahusika pakubwa kwenye kutoa taarifa nyeti kwa Israel, maana sielewi hawa Israel wanafaulu vipi kuwapukitisha viongozi wa Iran, jamaa wanauawa kizembe sana. Huyu hapa aliongoza kikosi katili cha Basij kilichochinja sana raia kwenye maandamano, kashushiwa kitu kizito...
  6. JamiiForums Tanzania Video: Raia wa Iran asababisha polisi watoke nduki baada ya kuchezesha sauti ya drone

    Wananchi wa Iran wanapata burudani kwa namna mapolisi yao yanababaika kila yakisikia sauti ya drone.... Imekua mazoea kuchezesha hizo sauti za drone karibu na mapolisi ya doria halafu wanachekelea namna inavyokua tafrani. https://www.facebook.com/reel/1451297260343677
  7. JamiiForums Tanzania Ni nini hasa raia wengi wa Tanzania wanakitaka katika siasa?

    Sidhani kama wengi demokrasia na mambo ya haki ni kipaumbele kwao. Inaonekana wengi wanachotaka ni maendeleo tu bila kujali yamepatikanaje au gharama yake. Lakini pia raia wengi wanapenda viongozi wanaume wahafidhina populists na nationalists.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Raia wa Ufaransa ahukumiwa Azerbaijan miaka 10 jela kwa kosa la Ujasusi

    Mahakama nchini Azerbaijan Jumatatu imemhukumu raia wa Ufaransa, Martin Ryan, kifungo cha miaka 10 jela baada ya kupatikana na hatia ya ujasusi kwa niaba ya Paris, tuhuma ambazo alikiri kwa sehemu, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali ya Urusi RIA Novosti. Mamlaka ya mji mkuu Baku...
  9. JamiiForums Tanzania SI KWELI Iran imetoa amri ya kupiga risasi raia anayesimama na Israel

    Kwa sasa kumekuwepo na taarifa amabayo imechapishwa kwenye mtandao wa kijamii wa facebook kwenye ukurasa wa Katunzi Blog ukiwa na nukuu ya Iran imetoa amri ya kupiga risasi raia anayesimama na Israel Katika chapisho limeonekana kuwa na nukuu hii "Baba na mama, kama mwana wako au binti yako...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Us department:'' Raia wamarekani ondokeni mara moja Cyprus sababu ya kiusalama

    Serikali ya marekani imewaambia raia wake wanaoishi Cyprus waondoke mara moja na wahame na mali zao kwasababu za kiusalama. Ina maana jumba bovu wanaachiwa wa Cyprus wenyewe?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wairan wanafurahia msaada wanaopewa, Wanafurahia viongozi wao kuuawa, Ina maana sisi wengine ndio tunaijua Iran kuliko raia wa Irani ?

    Nimebaini kuwa kuna kundi kubwa la watu wanaoegemea upande wa serikali ya Iran, huku wakipuuza au kutozingatia kwa kina matakwa ya sehemu kubwa ya raia wa Iran wenyewe. Serikali imenyanyasa sana wairan ikiwemo tukio la kikatili la kuzima internet na kuua wairan zaidi ya elf 40, huku baadhi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kimbunga cha moto kinaelekea Israel, raia wa Jordan, Saudia na Israel wamejifungia majumbani.

    Niaje waungwana Habari ndio hii wakuu, dakika 20 from now, Tel Aviv, Jerusalem na miji mingine ya Israel inakwenda kugeuzwa takataka na majivu. Update: Tel Aviv ameanza kuwaka moto. Inasemekana Netanyahu ashatorosha familia yake kabisa. Na bado asuburi wamalize kufuturu, leo hakuna mtu...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Tunapoendelea kupambana na hii regime ya kihuni ya kuteka na kuua raia hutuwezi kumtoa MAGUFULI kwenye hili mazuri yake hayawezi kumuondoa kwenye hii

    Laiti watanzania wangetambua tusipopambana na hii regime Ovu iliyopo kwenye nchi yetu hakuna aliye salama Hakuna ubishi kwamba Enzi za Magufuli matendo haya ndipo yaliposhamiri Kwa wingi na Kwa wazi kabisa Mazuri yaMagufuli ya KUSIMAMIA Rasilimali za nchi Kwa kiasi Fulani hayawezi kumtoa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tabora kuna raia wa nchi jirani wanauzia watu Makaa ya mawe feki

    Huku Tabora kuna watu wanajitambulisha kuwa ni Warwanda na wanapaspoti za Rwanda wanauza hayo madongo kwenye picha wakidanganya watu kuwa ni makaa ya mawe. Wanauza hayo madongo Matano kwa Tsh 5,000, mamlaka ziwafuatilie kwa haraka.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli kama Amiri Jeshi mkuu ameshindwa Jukumu la kulinda raia na kinyume chake raia wanatekwa na kuuawa hivyo ajiuzulu au atukabidhi wauaji

    Kazi kubwa kama amiri Jeshi ni kulinda raia wa nchi yake Kama ameshindwa Hilo jukumu Hana sababu ya kuendelea kubaki kwenye hiyo nafasi Na wote watakaondelea kutii amri yake kinyume na katiba ya jamhuri ni waasi wa taifa letu tukufu Serikali ya uasi Ile inashindwa kulinda katiba ya nchi na...
  16. JamiiForums Tanzania Kama Security details ya Nicolas Maduro ilikuwa na raia wa Cuba , basi sishangai kilichompata

    Kila nikifikiria hili swala la Maduro kunyakuliwa usiku wa maanane ikulu ,basi bila shaka alikuwa hawaamini "My fellow county men" mpaka akaamua kuwakodisha wa Cuba kama Walinzi wake. Sasa wa Venezuela wenzake wakaamua "kumuuza" kwa bei ya jioni kabisa kwa Baba Baron 😂😂😂.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tume inayojichunguza itasaidia nini kuliponya taifa? Ushuhuda uliotolewa unaonyesha watu waliuliwa na nguvu kubwa ilitumika.

    Mfano mzuri ni ushahidi wa yule bibi wa Magomeni kota ambae alilazwa na maiti bahati nzuri akazinduka na akapatiwa matibabu Mungu akamsaidia akapona. Kwa ujumla nguvu kubwa ilitumika kulinda watawala wabaki madarakani. Mpaka sasa Tume inayojichunguza itasaidia nini kuliponya taifa?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi ya amani, serikali isikilize kilio cha haki kwa raia wake. watu wakichoka kukemea mitandaoni kitachofuata ni vikundi vya "TIT FOR TAT"

    Tunakoelekea sasa tunaweza kuja kushuhudia Tanzania ambayo hatujawahi kuvidhania kabisa.
  19. JamiiForums Tanzania Silaha inayonyanyuliwa dhidi ya raia asiye na hatia huanzisha laana ya kizazi-Simulizi kuhusu Kijana George Chipeta

    Siku ya 29 Oktoba 2025 ilianza kama siku nyingine ya kawaida kwa George Chipeta, fundi wa umeme wa magari anayejitafutia riziki kwa jasho la mikono yake. Asubuhi hiyo alichukua pikipiki yake mwenyewe, akaondoka Vingunguti, akavuka daraja kuelekea Tabata kufuata spare ya mteja. Aliipata spare...
  20. JamiiForums Tanzania Raia wa OMAN wenye asili ya Tanzania wamzawadia Rais Samia Gari lililotembea nchi zaidi ya tisa

    Katika kuutangaza utalii wa-OMAN ambao ni ndugu zetu wa damu wamekutana na Mhe.Rais Samia na kumkabidhi gari kama ishara ya kukuza utalii nchini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…