raia

The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania TCRA imewashindwa matapeli wa mitandao imewageukia raia wema!

    Tarehe 06/11/2019 nilisajiri laini yangu ya AIRTEL na kupewa namba ya usajiri, tarehe 19/07/2021 laini yangu ya AIRTEL ikafungwa kwa madai ya kutosajiriwa! Nikalazimika kwenda kwenye ofisi za AIRTEL na nilichoambiwa huko ni maluweluwe eti siku mbili zilizopita nilisajiri laini kwa alama za...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Usipotoshwe na watu wasioelewa maana na utaratibu wa kuwa na raia pacha. Angalia hapa maelezo ya uraia pacha na niulize swali lolote nitakujibu

    Nimekuwa nikisoma maoni na hoja za watu kuhusu Tanzania kuruhusu uraia pacha, na nimeshangaa sana na kugundua watu wengi sana wanaotoa maoni kuhusu uraia pacha hawaelewi kabisa inakuwaje mtu anakuwa na uraia pacha. Na hili nimeona hata toka kwa wanasiasa wanaopinga uraia pacha, na kuona kwamba...
  3. JamiiForums Tanzania Raia mwenye asili ya Congo apigwa na Polisi hadi kufa nchini India

    Mkongomani auwawa kwa kupigwa hadharani na Polisi nchini India. Kifo cha Mkongo huyo kimesababisha mandamano kwa raia walivyoona akipigwa marungu na miti kichwani na kiunoni kwa kushambuliwa na Polisi Zaidi ya 8 bila Huruma hadi alipokata roho na kuendelea kupiga maiti kwa kuiponda-ponda...
  4. T

    JamiiForums Tanzania WHO yatoa rai kwa mataifa kusitisha utoaji wa chanjo za nyongeza kwa raia wake

    Mkurugenzi wa WHO ameziomba nchi tajiri kusitisha kutoa chanjo ya 3 ama booster ya Covid 19 hadi angalau mwezi October 2021 ili kutoa nafasi kwa nchi masikini angalau kuchanja 10% ya watu wao. Nchi tajiri zimeanza mpango wa kutoa chanjo ya 3 ama ya pili maarufu kama booster shots ili kuzipa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa YouTube content creators na wanaomiliki YouTube channel ni kweli U.S imepeitisha sheria ya kodi kwa raia wa nchi zingine pia 30% Tax ?

    Nilokuwa na pitia YouTube kuna channel kadhaa raia wa nchi zingine wanalalamika kuhusiana na kodi ambayo Marekani imepitisha ya 30% kwakuwa YouTube ni kampuni ya "kimarekani". hivyo basi kuqnzia sasa YouTube channel creator watakuwa wanalazimika kulipa kiasi hiko cha kodi kwa asalimia hizo...
  6. JamiiForums Tanzania Marekani yatahadharisha raia wake kwenda Uingereza

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimewatahadharisha raia wa Marekani kuhusu kwenda Uingereza ambapo kumekuwa na ongezeko la maambukizi ya #COVID19. CDC wamesema kama kutakuwa na ulazima sana wa mtu kwenda Uingereza ni vyema kwanza akawa amekamilisha dozi ya chanjo. Uingereza...
  7. JamiiForums Tanzania Fahamu PANOPTICONISM na jinsi inavyoweza kusigina haki na uhuru wa raia

    Kwa mujibu wa kamusi ya mtandaoni ya Cambridge, “panopticon” ni gereza ambalo vyumba vyake vimejipanga kimzunguko kiasi cha wakazi wake kuweza kuonekana kutokea katikati. Kwa kawaida katikati ya jengo hili kunakuwa na jengo mithili ya mnara kama ule wanaoutumia waongoza ndege. Ndani ya jengo...
  8. JamiiForums Tanzania Fahamu PANOPTICONISM na jinsi inavyoweza kusigina haki na uhuru wa raia

    Kwa mujibu wa kamusi ya mtandaoni ya Cambridge, “panopticon” ni gereza ambalo vyumba vyake vimejipanga kimzunguko kiasi cha wakazi wake kuweza kuonekana kutokea katikati. Kwa kawaida katikati ya jengo hili kunakuwa na jengo mithili ya mnara kama ule wanaoutumia waongoza ndege. Ndani ya jengo...
  9. JamiiForums Tanzania Chato: Raia walalamika kupigwa na Askari wa Maliasili

    Wakazi wa Kata ya Buseresere Wilayani Chato Mkoani Geita wamemuomba Waziri wa Maliasili na Utalii kuchukua hatua kwa askari wa maliasili wanaowapiga na kuwadhalilisha wananchi nyakati za usiku na mchana wakati wakiendesha zoezi la kutafuta mkaa majumbani kwa madai ya kukomesha uchomaji mkaa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi walazimisha Raia kujenga Daraja

    Daraja la Mpiji Kidimu ambalo limefadhiliwa na JWTZ ni la msaada Sana kwa wakazi wa eneo Hilo. Kumekuwa na ukarabati wa Daraja Hilo kwa zaidi ya Mwezi mmoja Sasa. Ila tangu wiki iliyopita wanajeshi wanaojenga Daraja Hilo wamekuwa wakiwalazimisha wakazi wapitao darajani hapo kufanya shughuli za...
  11. JamiiForums Tanzania Dawa ni kuiondoa CCM Madarakani. Raia wana Maisha magumu kwa makusudi

    Sasa hatuwezi kuendelea kuwaachia nchi watu walioshindwa kuiendesha, haiwezekani gharama za maisha kupanda kwa kiasi kikubwa huku pesa mzunguko wake ni mbovu halafu kila siku kudumu Chama chaMapinduzi. Sasahivi kununua vifaa vya ujenzi ukiwa mipakani Tarime kutoka nchi jirani ya Kenya ni nafuu...
  12. JamiiForums Tanzania Pigo kwa Israel: Bunge lapiga kura kuruhusu Wapalestina kuwa raia wa Israel

    Kulikuwa na sheria ambayo ilikuwa inawawekea vikwazo wapalestina wanaoishi israel kuleta wake au waume zao ambao wapo upande wa israel kwa sababu za kiusalama hapo zamani. Kura zimepigwa leo juu ya kuendeleza hii sheria na cha ajabu kina Netanyahu ambao walikuwa wana piga kura kwa vipindi...
  13. JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali na saluti: Hii tabia Watanzania tulio raia tumejifunzia wapi?

    Leo katika mkutano wao wa katiba ambao Ndg. Mbowe ameendelea kudhihirisha ukaidi alionao kwa mamlaka za nchi ya "kijamaa" ndugu yetu mdude nyagali ametushangaza. Mdude nyagali amenishangaza vipi? Tabia inayoota mizizi hapa nchini. Mdude nyagali alitoa ishara ya saluti kwa meza kuu pale...
  14. JamiiForums Tanzania Polisi kanda ya Dar kuanza kutoa zawadi (Reward For Justice) kwa raia wema wanaofichua uhalifu

    Habari za muda huu waungwana wa jamiiforums. JUNE 23, 2021: Kamanda wa Polisi kanda Maalum ya DSM, ACP Muliro Jumanne Muliro ametangaza rasmi kuwa Mtu yeyote atakaetoa taarifa sahihi zitakazowezesha Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya DSM kumkamata Mhalifu akiwa na silaha mfano; bunduki atatoa...
  15. JamiiForums Tanzania Raia atakayetoa taarifa ya mhalifu Dar kulipwa Mil. 2

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limetangaza donge nono la kiasi cha shilingi milioni mbili kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa za kweli na kwa usiri mkubwa kwa jeshi hilo kuhusu mtu anayefanya uhalifu wa kutumia silaha, lengo likiwa ni kuhakikisha mkoa huo unabaki kuwa shwari...
  16. JamiiForums Tanzania Watu kuuawa kwenye Hifadhi laibuka Bungeni, Spika amwambia Ndumbaro alikuwepo Kagesheki kabla yake Akaondolewa na Kamati

    Leo Spika wa Bunge, Job Ndugai amempiga mkwara waziri wa maliasili na Utalii kutokana na kukanusha vifo kwenye hifadhi nchini, Spika amesema kabla huko nyuma alikuwepo Kagasheki ambae nae alikanusha lakini baadae kamati ya Bunge ikamfanya aondoke ======== Spika wa Bunge la Tanzania, Job...
  17. JamiiForums Tanzania Baada ya kufutiwa kesi ya Uhujumu Uchumi, Raia wa China watoka Nduki mahakamani

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia kesi ya uhujumu uchumi na kuwaachia huru wafanyakazi sita wa kampuni ya meli ya Sinota Shipping Company waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kukutwa na ndege mmoja aina ya tausi. Washtakiwa hao ambao wote ni raia wa China ni Jin Erhao...
  18. JamiiForums Tanzania Nigeria: Katika harakati za kubadili Katiba, mmoja wa raia apendekeza jina la Nchi hiyo libadilishwe

    Kwa takriban wiki mbili, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamekuwa wakikusanya mapendekezo ya kubadili Katiba ambapo mmoja wa raia amependekeza kubadili jina la Nchi hiyo kuwa United African Republic (Jamhuri ya Muungano Afrika). Jina Nigeria lilipendekezwa mwishoni mwa karne ya 19 na Mwandishi...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji Tanzania, lisaidieni Taifa kuhusu Yusuf Manji. Ni raia wa Tanzania au Marekani?

    Naandika hoja hii hapa kufuatia mijadala inayoendelea mitandaoni kuhusu tafsiri ya uraia wa Bw. Manji. Naamini amekuja nchini kuendeleza miradi yake lakini pia ameletwa na mfumo kwa ajili yakurejesha imani ya wageni waweze kurejea nchini baada ya miaka kadhaa diplomasia yetu kimataifa kuwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Uonevu kwa raia na manyanyaso

    Siku hii ya Jumamosi tarehe 29 May..nimekutana na madhila ya kupigwa kudhalilishwa na kutukanwa na police..tukio limetokea Mbagala Rangi tatu maeneo ya Benki ya Akiba.. Nilitokea Bank kuweka pesa ila baada ya kumaliza zoezi na kutoka nje kwa mshangao niliitwa "we fala potea hapo." Cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…