raia

The Australian Institute of Architects (officially as the Royal Australian Institute of Architects, abbreviated as RAIA) is a professional body for architects in Australia. The post-nominals of FRAIA (Fellow) and RAIA (Members and organisation abbreviation) continue to be used.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kesi ya wabunge 19 wa viti maalum waliofukuzwa CHADEMA, Wakili Kibatala aanza kuwahoji mahakamani

    Dar es Salaam. Kesi ya wabunge wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya chama chao hicho cha zamani imeanza kuunguruma mahakamani, baada ya kukwama mara tatu. Mdee ambaye alikuwa mwenyekiti wa Baraza la...
  2. JamiiForums Tanzania Raia wawili wa Uganda wawekwa karantini Pemba

    Vikosi vya Ulinzi na Usalama kisiwani hapa, vimewakamata raia wawili wa Uganda walioingia kwa kutumia usafiri wa jahazi katika Bandari ya Wete ambapo wamewekwa karantini maambikizi ya Ugonjwa wa Ebola. Kamati ya Ulinzi ya Ulinzi na Usalama MKoa wa Kaskazini Pemba imefika katika Bandari ya Wete...
  3. JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa kama mapato ya utalii yameongezeka sasa kwanini usimshauri Rais Samia akafuta tozo zinazosumbua raia wa chini wasio hatia?

    Kwa nini mnatusumbua kwa mitozo ya ajabu ajabu wakati kumbe mapato ya utalii yamepaa kwa 81.8%? Acheni kuonea wanyonge.
  4. JamiiForums Tanzania Huu ni mfano wa kuigwa. Raia wema wasalimisha silaha haramu huko Ruvuma

    Kamanda wa Polisi Mkoa Ruvuma ACP MARCO CHILYA akionesha baadhi ya silaha zilizosalimishwa na raia wema baada ya Notisi ya msamaha wa usalimishaji wa silaha kwa hiari zinazomilikiwa kinyume cha sheria.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kwa bandiko la Joti Twitter na maoni ya raia, hii ndiyo nyimbo iliyotamba Tanzania ya muda wote

    Kiufupi Joti amesema nyimbo zilizotesa sana B.Fleva Tanzania ni Kwangaru, Hakunaga, Starehe, Sinderela etc, bila mpangilio maalumu. Ila kiukweli kabisa wimbo uliotamba Tanzania namba moja kabisa ni Starehe wa Feruzi akiwa na Prof Jay. Zipo nyingine zilitamba lakini hapa tunafunga mjadala. The...
  6. JamiiForums Tanzania Usalama wa Taifa msaidieni Rais. Misamaha ya kodi ni chaka, TRA mpaka wizarani kunanuka rushwa

    Nina mengi nimeyatafakari Kwa kina, sana ndani ya Juma Ili nikaona,nisubili lifike mwisho naweza kufa na vihoro moyoni mwangu, Bora nife na dhambi kuliko vihoro maana dhambi ntahojiwa Na muumba! Suala la polisi kuua Kwanza Panya Road linafikilisha sana kimsingi vijana wa Rika dogo wameuawa na...
  7. JamiiForums Tanzania Taifa lolote linapokuwa na mkuu wa nchi ambaye hana huruma kwa raia wake ni taifa linaloekea pabaya. Raia wa hilo taifa watapata magumu na taabu kubwa

    Raia wanalia kuwa kwa sasa hali ya kiuchumi ni mbaya. Mzunguko wa pesa ni duni na kila raia anapata magumu ya maisha. Rais hajali na hatusikii dokezo za kiuchumi kusaidia wananchi. Police brutality? Mbona yupo kimya? Tozo za kila namna ambazo zinamnyonya raia wa chini. Rais yupo kimya bila...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kura ya maoni huko Ukraine yaingia siku ya mwisho, raia kujiamulia hatma yao wenyewe

    Leo ndio siku ya mwisho ya kura za maoni huko Donetsk, Lugansk, Zaporizhzhye na Kherson. Raia wa maeneo hayo wanaamua hatma yao kupitia sanduku la kura maarufu kama democracy (ma-LGBTQ yatanuna🤣🤣😇😇). Muitikio wa raia kujitokeza kupiga kura umekuwa mkubwa mno tofauti na ma-LGBTQ yalivyotegea...
  9. JamiiForums Tanzania Jamaa aua watu sita na kujiua Urusi, raia wameanza kuchanganyikiwa

    Taifa limefika pabaya, damu ya watu wa Ukraine itawatia pabaya Warusi....wajaribu na kurekebisha mapema... Ukraine walikua wanaendesha nchi yao kwa amani, tena kidemokrasia walikua wameizidi Urusi, unawakuta na kusambaratisha nyumba zao, na kuwaua halafu unategemea watu wako waishi kwa amani...
  10. JamiiForums Tanzania Tunapokuwa na taifa ambalo mkuu wa nchi anakaa kimya pale raia wake wanapouliwa kinyume cha sheria hilli Tataizo kubwa. Kwanini yupo kimya?

    Kila mtanzania ana haki ya kuishi. Awe ni mharifu sio mhalifu hii ni kwa mujibu wa ibara ya 14 ya katiba JMT. Kama ni mahalifu basi apelekwe mahakamani kwa kwa mujibu wa ibara ya 13 ya katiba ya JMT. Hii kamata kamata ya kulazimishana kuvua nguo ili binti na baba yake walalane imetoka wapi...
  11. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Cameroon wakamatwa kwa kuua raia kwa risasi

    Wanajeshi watatu wanadaiwa kuwashambulia Wananchi na kuua Wanawake wawili wasiokuwa na silaha katika Kijiji cha Andeck. Wanaharakati wa kutetea Haki za Binadamu wanalaumu Jeshi la Cameroon kwa tukio hilo walilofanya wakati wakiwasaka washukiwa wanaoupinga utawala wa Serikali iliyopo madarakani...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Biashara ya Binadamu: Raia 22 wa Kenya waokolewa Barani Asia

    Mamlaka zinasema kuwa raia 22 wameokolewa kutoka kwa Mashirika ya #BiasharaYaBinadamu huko Laos Kusini-Mashariki mwa Asia pamoja na Raia wa Uganda na Burundi katika operesheni ya kudhibiti biashara hiyo Haya yanajiri wiki kadhaa baada ya kundi jingine la Wakenya kuokolewa kutoka kwa walanguzi...
  13. JamiiForums Tanzania Raia wa Urusi wakerwa na kitendo cha kubadilishana mateka wa Ukraine 215 kwa Warusi 50

    Urusi wameachia makomando wakiwemo wale wa Marioupol 215 ili kubadilisha na Warusi 50, raia wa Urusi wamekerwa sana yaani nchi yao imefika mpaka kwenye kudhalilika kiasi hiki..... Aprisoner exchange between Russia and Ukraine that included senior Ukrainian commanders was hailed as a victory by...
  14. JamiiForums Tanzania Japan: Raia ajichoma moto akipinga mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe

    Raia wa Japan amelazwa hospitali baada ya kujijeruhi kwa kuchoma moto akipinga kitendo cha Serikali ya Nchi hiyo kutumia gharama kubwa kuandaa mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani Shinzo Abe aliyeuawa Julai 8, 2022. Serikali ya Japan inatarajiwa kutumia Dola Milioni 11.4 (Tsh. Bilioni 26) katika...
  15. JamiiForums Tanzania Raia wa Armenia waingia barabarani wakiagiza nchi yao iondoke kwenye muungano na Urusi

    Mojawapo wa sababu wanasema juzi nchi yao imepokea mkongoto/kichapo ilhali Urusi haikufanya chochote kuwasaidia licha ya kuwa na base ya kijeshi pale. ========== Over a hundred people gathered in Armenia’s capital, Yerevan, on Sunday demanding their country leave the Collective Security Treaty...
  16. JamiiForums Tanzania Raia waendelea kufia mikononi mwa polisi, tukimbilie wapi IGP Wambura?

    Watatu wafia mikononi mwa Polisi K’njaro, Dodoma SATURDAY SEPTEMBER 17 2022 Summary Matukio ya watu kufa wakiwa mikononi mwa Polisi, yameendelea kushika kasi kufuatia vifo vilivyotokea katika mikoa ya Kilimanjaro na Dodoma hivi karibuni, huku jeshi hilo mkoani Kilimanjaro likithibitisha...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali Ina Wajibu wa Kuhakikisha Raia Wake Hawadhulumiwi Maisha au Mali Zao

    Moja ya majukumu makubwa kabisa ya serikali ni kuwalinda watu wake dhidi ya changamoto zote za kiusalama na kuwahakikishia amani na utulivu. Jukumu la Serikali si tu kulinda watu wake kutokana na mashambulizi ya nje, lakini pia kuwalinda dhidi ya changamoto zote za kiusalama zinazoweza...
  18. JamiiForums Tanzania Kashfa nyingine kwa Polisi: Askari adaiwa kusababisha kifo cha mtuhumiwa

    Jeshi la Polisi limeingia katika kashfa nyingine, baada ya askari wake kutuhumiwa kusababisha kifo cha Ulirki Sabas (47), Mkazi wa Kijiji cha Kirongo chini wilayani Rombo, Mkoa wa Kilimanjaro akiwa mikononi mwao. Tukio hilo linadaiwa kutokea katika Kituo cha Polisi Usseri wilayani humo ambapo...
  19. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala

    Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya. Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa...
  20. JamiiForums Tanzania DOKEZO Jambo hili inalofanya Serikali ni wizi dhidi ya raia wake maskini

    Serikali ya kijambazi, kifisadi, kihuni ndiyo inayoweza fanya hivi kwa wananchi wake. Inaiba pesa za wananchi wake maskini kwa kupachika tu majina ya kihuni. Watu wameamua kurudisha pesa walizopoteza kwenye awamu ya Magufuli kwa kuwaibia wananchi wake maskini. Maskini kwa sasa ndiyo wanaona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…