Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha inamshikilia raia wa Romania, Constantin Catalin Podoleanu, mwenye umri wa miaka 39, kwa tuhuma za kutumia taarifa za kadi za benki zilizoibwa na kujipatia fedha kwa njia haramu.
Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Arusha, Zawadi Ngailo...