rahisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Utoto ulikufanya uone kila kitu kinawezekana ulipokua umegundua sio rahisi?

    Mimi nikiwa mdogo nilikuwa najua baba na mama mzazi wao ni mmoja . Mimi nilijua baba alikuwa mzembe kutojenga ghorofa mbona wenzake wamejenga? Mimi nilikuwa najua baba hatupendi kwanini hanunui nyama kila siku? Nilikuwa nawalaumu baadhi ya NDUGU kwanini hawarutembelei? Nilikuwa nawaonea wivu...
  2. JamiiForums Tanzania Unazifahamu tv za kichina bei rahisi za GSDA?

    Tanzania salama tuachane nazo tuu. Wana jf naomba kuuliza nani anazifahamu vizuri au ameshawahi kuzitumia hizi tv za kichina za GSDA, uzuri wake na ujinga wake?
  3. JamiiForums Tanzania Hatua 5 Rahisi za Kuanzisha Blog Yako ya Kwanza.

    Katika dunia ya kidijitali ya leo, kila mtu ana nafasi ya kusikika. Ikiwa una mawazo mazuri, habari, elimu au kipaji cha kipekee – blog inaweza kuwa njia bora ya kufikisha ujumbe wako kwa ulimwengu. Hapa chini tunakupa hatua 5 rahisi za kuanzisha blog yako ya kwanza bila presha. 1. Amua Unataka...
  4. JamiiForums Tanzania Appartments design 2bedrooms ,lounge kitchen 2verandah . Plot of 600sqm 4units call us for design and construction services

    SISI TUNAHUSIKA NA DESIGN + UJENZI OFISI ZETU ZIPO SINZA DAR ES SALAAM CALL/WHATSAP +255624004650
  5. JamiiForums Tanzania Namna bora ya kujenga uzalendo kwa njia rahisi.

    Mbwa anafundishwa akiwa mdogo, samaki anakunywa angali mbichi na udongo unapatwa ukiwa na umajimaji. Uzalendo hauna mbadala kwenye kila taifa. Kama kwenye gari uzalendo ni kama usukari(stearing). Hata mtoto mdongo anaijua usukani ndio unaoelekeza gari liielekee wapi, Hata bila gari mtoto...
  6. JamiiForums Tanzania Nahitaji watu 10 niwauzie raman za nyumba kwa bei rahisi tu hamna haja ya kuumizana wote tujenge kwa ramani

    Raman hizi zote unazoziona hapa zina vyumba 2 vya kulala Nichek 0743 257 669 Natoa ofa kwa watu 10 tu niwape hizi raman Nina stock ya raman zaidi ya 500 na nachora nyingine mpya kila siku niletee oda yako Sitak Mtanzania ujenge bila raman ya nyumba Sasa njoo whatsapp 0743 257 669 ili nikupe...
  7. JamiiForums Tanzania KAMA UNATAMANI KUJENGA GOROFA YA BEI RAHISI BATI USIHANGAIKE HII HAPA INAKUFAA 3BEDROOMS DESIGNS PLOT SIZE 15X20M (WALE WENYE PLOT NDOGO PIA )

    LOOKING FOR GOOD HOUSE DESIGN CALL US +255624004650
  8. JamiiForums Tanzania Vijana,tambueni si rahisi, lakini inawezekana

    Kuna kizazi cha vijana kinachoamka kabla ya jua kuchomoza. Hawana misururu ya sifa, wala kamera zinazofuatilia maisha yao. Lakini ndani yao, kuna moto moto wa ndoto kubwa usiozimwa na maumivu ya sasa. - Wanavaa mavumbi ya barabara kabla jiji halijapumua. Wanalipa nauli ambayo ni pesa ya...
  9. JamiiForums Tanzania Ujenzi ni rahisi ukitumia wataalamu

    Karibu napenda kukutia moyo ujenzi sio mgumu .Kama ukikutana na wataalamu sahihi wasio na tamaa wenye utu na wenye ujuzi wa kutosha Nakukaribisha Tunaandaa Ramani, TunaJenga , Tunapaua na kujenga Mashimo ya choo yasiyo jaa. ⭕Tuna design Ramani zinazo jitosheleza na za kisasa zenye unafuu wa...
  10. JamiiForums Tanzania Kujua kama Serikali inahusika katika Matukio ya Mabaya dhidi ya raia wake ni rahisi sana!

    Wiki iliyopita nchini Kenya mbunge Charles Ong'ondo alishambuliwa na kuuwawa. Leo hii Wauaji wote wamekamatwa na kufikishwa Mahakamani hapo Kenya. Picha hii hapa👇 Huku Tanzania; Mwaka 2017 Tundu Lissu alipigwa risasi 17 kwenye Makazi ya Viongozi wanaolindwa na askari pale Dodoma. Waliofanya...
  11. JamiiForums Tanzania Spare Part ya "Bei Rahisi" Iliyogeuka Janga

    Jamaa mmoja huko Temeke, Juma, alinunua alternator ya Toyota Corolla yake kwa bei rahisi tu kutoka duka la autoparts Kariakoo. Alifikiri amepata kwa bei nafuu, lakini baada ya siku mbili, gari lake likaanza kutoa moshi barabarani! Fundi akagundua alternator hiyo ilikuwa ya bandia, na ilikuwa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Taifa ambalo raia wengi ni masikini na hawana vipato, ni rahisi kukodiwa kwa lengo la kulipiza visasi

    Taifa ambalo raia wengi hasa vijana hawana ajira, umaskini ni wa kiwango cha juu huku baadhi wakiwa wamepita mafunzo ya kijeshi na kubaki mitaani, ni Taifa delicate sana. Kwa msingi huo, kuna hatari kubwa ya vijana wa aina hiyo kukodiwa na kufanya vitendo vya kulipiza kisasi tena kwa malipo ya...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa nini ni rahisi zaidi binadamu kukorofishana, kuchukiana au kutengana kabisa na baba zao kuliko mama zao?

    Ukifuatilia familia nyingi ambazo zina utengano mara nyingi utakuta baba ndio katikati ya migogoro. Watu wengi sana huwa wanatengana na baba zao kabisa ila ni nadra kutokea hivyo kwa mama zao hata kama wanatofautiana huwa ni kwa kipindi kifupi tu kisha mahusiano yanarejea ila upande wa baba ni...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ni kipi rahisi, kuombea uchaguzi au kuzuia mifumo ovu ya wizi wa kura?

    Hello! Yaani tunao uzoefu, watu kabisa wanatia kura fake ndani ya masanduku ya kura na wanaonekana wazi wazi, sasa hawa ndio wanaoharibu uchaguzi wa haki. Sasa wanapita wanasiasa wakitwambia tuombee uchaguzi uwe wa amani. Sasa ni amani ipi wanaiongelea? 1. Je ni amani ya kuiba kura bila...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi kuna nchi rahisi kuongoza kama Tanzania? Nitajie

    Tanzania NI nchi rahisi na nyepesi MNO kiendesha kama kiongozi, kwanza haihitaji uwe na elimu Sana, Yani hata kama huna vigezo pia unaweza kua Raisi WA nchi hii na watu wote wakakutii. Hata kama uwe na uongozi m'baya vipi hiyo sio ticket kwamba unashindwa uchaguzi ujao, HAPANA, kuna kundi kubwa...
  16. JamiiForums Tanzania Watu wanaweza kudhani mambo yamemuwakia vibaya Lissu bila wao kujua kuwa amepata fursa ya kujua adui yake ili iwe rahisi kucheza naye. SIASA ni mchezo

    Siasa ni MAGAZIJUTO. Simaanishi lissu ni perfect ila nachojua mimi siasa ni sayansi ya ku-survive pale ulipo, ku-maint power yako na kutumia nafasi hio na power yako kufikia viwango vingine vya juu kuzidi ulivyo navyo kwa sasa. Hata hao G55 sio wahanga wa kitu chochote cha ovyo au uongozi...
  17. JamiiForums Tanzania NI WI-FI YA MTANDAO GANI INA BEI RAHISI TANZANIA

    Je unahitaj kujua ni wi-fi gani Ina Bei rahisi kuliko wi-fi ya mtandao wowote hapa Tz, tujuze kwenye comment hapo chini, Ila mim naona ni AIRTEL POCKET WI-FI. Ni wi-fi ya Bei rahisi imara na yenye ofa za vifurushi vya Bei ya chin kabisa
  18. K

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kuthaminiwa na kupata cheo ndani ya cha cha CCM serikali

    Kama wewe uko ndani ya CCM na unategemea kupata vyeo au kuwa mkubwa huko mbeleni eti kwa kuwasifia Viongozi wako na kuwatukana Viongozi wa upinzani,basi sahau,maana utakuwa kama Lucas Mwamshamba, Njia rahisi wewe nenda upinzani,hasa Chama Cha Chadema,vumilia kule hata miaka mitano halafu anzisha...
  19. JamiiForums Tanzania Je unafahamu Mteja ambaye ameelekezwa na mtu mwingine ni rahisi kumfanya alipie bidhaa yako kuliko mteja anayekuona direct kwa mara ya kwanza?

    Je unafahamu Mteja ambaye ameelekezwa na mtu mwingine ni rahisi kumfanya alipie bidhaa yako kuliko mteja anayekuona direct kwa mara ya kwanza? Tuangalie the power of Patnership Katika online business Ndio maana mara nyingi huwa tunawatumia watu wengine kuwafanya wapost huduma zetu kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Kifaa rahisi cha kupukuchua mahindi kutoka kwenye gunzi

    Kila mmoja naomba apeleke ubunifu huu wa kijijini kwake ikawasaidie watu wasiumize mikono kupukuchua mahindi toka kwenye magunzi. Kifaa hiki kimetengenezwa na vizibo vya soda misumari na ubao. Huu ni ubunifu toka China kwa gharama nafuu kabisa. Tukiwa wabunifu umasikini unakimbia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…