Kuteuliwa kwa Dr. Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa chama ni turufu kubwa sana, chama kimerudi mikononi mwa wenyenacho, wenye uchungu nacho, ambao hawategemewi kuezua nyasi ili nyumba ivuje.
Mtu mwenye tamaa ya kuiona Tanzania inaendelea kung'ara na kuwa kielelezo cha Amani na mshikamano, mtu ambaye...