rafiki

Rafiki (Swahili for 'friend') is a 2018 Kenyan drama film directed by Wanuri Kahiu. Rafiki is the story of romance that grows between two young women, Kena and Ziki, amidst family and political pressures around LGBT rights in Kenya. The film had its international premiere in the Un Certain Regard section at the 2018 Cannes Film Festival; it was the first Kenyan film to be screened at the festival.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Polisi wadaiwa kushambulia na kusababisha kifo Tarime

    Ijumaa iliyopita Rafiki yangu wa karibu mkoani Mara, wilaya ya Tarime alikwenda nyumbani Kwa wazazi wa mke wake. Alienda huko kushawishi mke wake arudi nyumbani kutokana na mgogoro wao wa muda mrefu, lakini kukatokea na kutoelewana na wenyeji wake wakiwemo wazazi na mashemeji kuhusiana na hilo...
  2. JamiiForums Tanzania Fenicha za bei rafiki

    Nisiwachoshe wakuu nipo dsm, Kwa kazi za kila aina ya fenicha bora unaweza kuniona wakati wowote...
  3. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ni mtu wa sifa ananikwaza sana

    Nina rafiki ambaye ni mpenda sifa mimi mtu mwenye sifa siwezani nae naweza kaa nae mnapiga story za kawaida tu ila ataanza jisifia hapo mara yeye hivi mara vile ni kero for sure Mimi sipendi kukaa na watu wengi nikikaa watu wasizid 4 wakizid nasepa ila huyu jamaa mswahili anaweza akaja getho...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi huwa mnafanyaje kumkataa rafiki ambaye wewe huna faida naye ila yeye ndio anafaida na wewe?

    Ndugu zangu naombeni msaada wakiushauri kwa maana nahisi kuelemewa.
  5. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anayependa wanawake hatimaye apata Gono

    Siku za nyuma niliwahi kuleta uzi juu ya rafiki yangu ambaye tuna-share baadhi ya idea kuhusu kazi na maisha, nilimuelezea vya kutosha kuwa yeye na nyapu ni sawa na fisi na mifupa. Hata apite wa gharama gani, ni yuko tayari kuuza hata roho ili aonje tu hata kwa nusu dakika, kwake inatosha...
  6. JamiiForums Tanzania Itoshe kusema mke ni rafiki sio ndugu

    Undugu hata ukiukana bado huyo ndugu katika viasilia atabakia kuwa ndugu yako. Upande wa mke au mume, huyu ni rafiki, urafiki huwa unakufa na kuzaliwa upya na kuna kupata marafiki wapya, hivyo si vyema kuumia na rafiki asie mwema. Labda kama kuna mawazo mengine. muwe na siku njema.
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini unajificha na kuchungulia kwa manati unapotaka kuonana na Rafiki ulimpata mitandaoni?

    Mathalani, Umepata Rafiki au Mchumba kwenye miongoni mwa mitandao ya kijamii, kwa mfano ulipokea simu ya aliekosea namba au ulipiga simu kwa kukosea namba akapokea asie husika, then mpokea simu ama wewe mpiga simu kimakosa mkatamani mjuane zaidi na baada ya hapo mkawa Marafiki, tena huenda ni wa...
  8. JamiiForums Tanzania Adui wa adui yako ni rafiki yako

    Urafiki wenu umekutanishwa kutokana na adui wenu kuwa mmoja, Vijana kuweni makini sana
  9. JamiiForums Tanzania Tafadhali Uongozi wa Simba SC muonyeni Dogo Kipa Ali Salim aache tabia yake mpya aliyoirithi kwa Rafiki yake wa KMC FC ya 'Kutuumizia' Makipa Wetu

    Alikuwa ameanza vizuri tu, ila nae sasa kawa Mpuuzi wa kupenda yale mambo yetu ya Kienyeji / Kuroga kwa Kuumiza Wenzake. Mwambieni huyu aliyekuja Leo yaani Kihistoria tu nchi aliyotoka kama hujui Kuroga / Kupuliza hupewi ng'o 'Passport' ya kwenda nje ya hiyo nchi nikimaanisha kuwa amekuja akiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Rafiki wa Kweli ni yupi?

    Hii iko wazi kabisa kuwa Marafiki wengi husalitiana Mume kwa Mke. Malalamiko ya marafiki kugeukana yamekuwa mengi kipindi hiki. Hata mahakamani kesi nyingi ni za watu ambao waliwahi kuwa marafiki wakubwa wakashirikiana katika baadhi ya mambo mwisho wa siku wakagombana na kupelekana mahakamani...
  11. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya Urafiki Duniani. Unajivunia nini kutoka kwa Rafiki zako?

    Siku ya Kimataifa ya Urafiki huadhimishwa tarehe 30 Julai. Siku hii inaheshimu marafiki na nafasi yao muhimu katika kuboresha maisha yetu. Marafiki hufanya maisha kuwa rahisi zaidi, iwe ni wanaposafiri nasi au wanaposikiliza matatizo yetu na kutoa ushauri. Uwepo wao ni muhimu sio tu wakati...
  12. JamiiForums Tanzania Haya chukueni hii mbichi kabisa na ya uhakika kwanini ghafla Dogo karudishwa japo Rais alikubali aache ili Rafiki yake arejee Kitini

    Baada tu ya Dogo kubwaga Manyanga ghafla Simu Nne Kubwa zilipigwa Kwake moja kutoka kwa mwana Bagamoyo kwa niaba ya Baba, ya Singida, ya Dodoma na ya Zanzibar kwa mwenye Timu yake katika Karatasi na Kumhoji kulikoni ndipo Dogo nae akafunguka mazito yafuatayo...... 1. Boss Mkuu hamtaki kwakuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Rafiki angu kimeshamlamba uko

    Habari November 10 mwaka jana nilileta uzi hapa wakusikitishwa na aina ya mwanamke ambaye rafiki angu ameamua kumfanya kuwa mke wake na mama wa watoto wake (kama ukitaka kuu refer ukienda tu kwenye nyuzi zangu upo juu tu) Kwanza ifahamike simchukii rafiki angu wala aliyekuwa mke wa rafiki...
  14. JamiiForums Tanzania Tulimzika rafiki yetu pembeni kabisa ya nyumba yake ili mkewe asiiuze

    Pamoja na kuwa kuna wazee wa ovyo wengi ila bado kuna wazee wenye busara wengi pia. Tuliwahi kupata msiba wa rafiki yetu ambaye alioa mke mrembo sana toka kaskazini,huyu mke alikuwa cha pombe na utulivu zero kabisa,hata kifo cha jamaa kilikuwa cha utata sana kuna watu walidai mke alihusika...
  15. JamiiForums Tanzania Rafiki maskini ni mikosi

    Yaani katika maisha yangu urafiki na masikini hapana aisee yaani Kwa pesa hizi nilizonazo halafu niwe na urafiki na masikini aniambukize njaa aisee hapana. Hivi nyie masikini kwanini msipambane na nyie muwe kama Mimi. Kila siku mnalialia njaa tu baada ya kupambana mnakaa kulialia Mimi sio...
  16. JamiiForums Tanzania Simba SC 'mmerogwa' na nani tena? Rweymamu wa nini tena kama Meneja wakati mnajua akikaa na Rafiki yake mkubwa Matola wanaleta Majungu sana?

    Klabu ya Simba imemrejesha kikosini Patrick Rweyemamu kuendelea na majukumu yake ya kuwa meneja wa timu hiyo. Rweyemamu amerejeshwa katika majukumu hayo baada ya msimu uliopita kuondolewa kwenye nafasi hiyo na kuwa Mkuu wa Programu za Soka la Vijana klabuni hapo. Kurejea kwake anachukua nafasi...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Benefiti za alie na masters katika jeshi la kujenga taifa

    Za sahizi ndugu zanguni... Nina rafiki yangu kamaliza masters ya sheria (LLM) na kaisha pita law school in short ni advocate kwa sasa ana miaka 29 Anahitaji kujiunga na jeshi la polisi either magereza,ffu,Traffic,Police etc Anahitaji kujua kua akifanikiwa kupita mafunzo na kila kitu na...
  18. JamiiForums Tanzania Najenga chemba nzuri za kisasa kwa bei rafiki

    Karibuni sana wakuu kama unahitaji kujengewa Chemba nicheki +255624254690
  19. JamiiForums Tanzania Kipi kilikufanya ugombane na rafiki yako?

    -Tupe story ilikuwaje hadi rafiki yako mpendwa uliyo amini utafika naye mbali lakin mkashindwana. mimi nilimkopesha na simu zangu hakawa hapokei wala sms hajibu. #bakitumolo
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ugenini jitahidi kati ya rafiki zako basi awepo mbea mmoja na mropokaji mmoja watakusaidia kijasusi

    UGENINI JITAHIDI KATI YA RAFIKI ZAKO BASI AWEPO MBEA MMOJA NA MROPOKAJI MMOJA WATAKUSAIDIA KIJASUSI. Yawezekana ukaona ni kinyume kwa sababu wengi husema hao marafiki hawafai ila kijasusi wanafaa sana muhimu tu uishi nao kwa akili kubwa sana yaani utumie madhaifu yao kukunufaisha wewe . Iwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…