punguzeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Baba Levo: Vijana hawataki Konakona wanataka hela, punguzeni masharti ya kukopa

    Mbunge wa Kigoma Mjini, Baba Levo, ameitaka Serikali kupunguza vikwazo vinavyowakabili vijana katika mchakato wa kupata mikopo, akisema masharti yaliyopo kwa sasa ni magumu na yanawanyima fursa vijana wengi kunufaika na mikopo hiyo. Akichangia bungeni jijini Dodoma leo, Februari 3, 2026, mbunge...
  2. Kalaga Baho Nongwa

    Motivesheni spika punguzeni Ujuaji! Kuna siku mtachapika na hamtaamini

    Asee motivesheni sipika muache ujuaji. Michongo ya kukusanya watu na kuongea ushubwada! Miksa udadambu na uleta manyago kuna siku wananchi wemye hasira kali watawashangaza. Mtu anakusanya watu ameshikilia maiki katika midia anawaaminisha watu kuwa siri ya utajiri ni ubahili. Guy is it fair? Eti...
  3. BIG BROTHER ALEX

    Kuna baadhi ya wanawake wanatumia dawa ili wapate madanga

    Habari zenu ndugu zanguni, Sasa wakuu wale walio ishi Musoma mjini mkoa wa Mara, Kuna night club ILIKUA inaitwa metro, sa nimeingia na mwanangu, mmoja wakuitwa bivunguye, tukawa tumekaa mahala nikashangaa, mademu wanafata mzee mmoja anawapa maelekezo wanasepa mara wanarudi tena, Sasa kwa SABABU...
  4. baz kaiza

    Police nyie ni jamaa zetu na ndugu zetu pia. Punguzeni kutumia nguvu kubwa tunajua mpo kazini

    Ndiyo police nyie ni ndugu zetu na wengine ni marafiki zetu na jamaa zetu pia. Tunajua nyie mko kazani lakini punguzeni kutumia nguvu kubwa pasipo na ulazima. Tukio la leo mahakamani sio tukio la kiungwana watanzania bado ni watu ambao wanaelekezeka bila hata kutumia nguvu kubwa. Tutawatia...
  5. Lucha

    Wanawake punguzeni kutusogezea kwenye Daladala

    Kwanza kabisa samahanini Dada zangu sina lengo baya ila ni kuwekana sawa. Naelewa kuna changamoto sana katika masuala ya usafiri muda mwingine hamna namna kabisa inabidi tubanane mithili ya kukumbatiana. Ila inapokua haina ulazima wa kufanya hivyo basi baadhi ya kina Dada mliobarikiwa mizigo...
  6. N

    HR na Maboss punguzeni ukabila wakati wa usaili

    Inaniuma sana unakuta una vigezo vyote lakini unakosa,alfu anakuja mtu anapata hiyo kazi na hana vigezo kisa ni kabila moja na HR .inauma sana hakika inakatisha tamaa
  7. The Supreme Conqueror

    Tiss,BOT,Hazina na Wizara ya Fedha Dira ya Maendeleo 2025/2050 punguzeni riba ya Mikopo hadi 12%

    Wana jamvi habari zenu? Awali ya yote poleni kwa Msiba mzito kwa Taifa kwa ndugu yetu Kipenzi Spika wa Bunge la JMT Mstaafu Ndugu yetu Mhe. Job Augustino Ndugai bila kujali itikadi zetu za kisiasa na hisia. Niende kwenye mada moja kwa moja.Hivi karibuni JMT ilizindua Dira ya Maendeleo 2025/2050...
  8. Mkanaani

    Kwani baadhi ya wanawake ni nini mnataka kwenye mahusiano? Punguzeni kuwaumiza wanaowekeza kwenu

    Mwanamke umekutana na me, kakuelewa mkakubaliana muwe kwenye mahusiano, mwanaume ana kuhudumia kama mke hata hajakuoa (wenzenu huo ni uwekezaji wanafanya) wewe sasa kumbe bado unapuyanga na vya duniani, mwisho wa siku unafumwa na usaliti mtu anabaki kujiuliza kwani huyu alipungukiwa nini mbona...
  9. Kimbesa11

    Wanaharakati wa mitandaoni punguzeni jaziba mtapata kisukari Ratiba ya uchaguzi ishatoka OCTOBER TUNATIKI

    Nadhani hakuna haja ya kupaniki mnajiumiza bure , huwezi kuzuia jua kwa mkono. Hongera sana tume kwa kutupa ratiba. KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE 🇹🇿
  10. Keyboard_Warrior

    Khamenei awaambia USA wapunguze SHOBO

    Hili zee kiburi hili!!! https://x.com/khamenei_ir/status/1930218825028415985 Khamenei : "You Americans possess atomic bombs and have the massive destruction of the world at your disposal. What business is it of yours whether the Iranian nation should or shouldn’t have uranium enrichment or...
  11. Singo Batan

    Wakenya punguzeni kiherehere

    Siku chache zilizopita nilikuwa na fikra za kuwaona Wakenya kama ni ndugu wa Watanzania. Lakini nimebaini nyie sio ndugu wala hatupaswi kuambatana nanyi abadani. Tanzania ni Jamhuri inayojitegemea na ina utaratibu wake wa kujiongoza. Hatuna unasaba wa kupeana maelekezo ya nini tufanye kwa tamaa...
  12. Alubati

    Kero: Manispaa Morogoro punguzeni matawi ya mianzi hapo darajani

    Katikati ya mji mita mia moja kutoka halmashauri ya manispaa ya Morogoro uelekeo wa kituo kikuu cha polisi ,kwenye daraja maarufu " daraja la shani". Kuna miti ya mianzi ambayo imekuwa na faida ya kuzuia mmomonyoko wa ardhi mara mto unapofurika. Lakini sasa matawi yake yamekuwa na kufanya eneo...
  13. Pdidy

    Tunduma punguzeni vifo vya mbwa kungata watoto

    Kuanzia January ukiangalia unaweza sema Tunduma ni Rukwa ama Sumbawanga maana ndio mambo yao Kwa mwezi kila mara lazima watoto wanakufa kwa kung'atwa na mbwa huko Tunduma Juzi nimesikitika sana wanalalamika wananchi mtoto wa 8 kufa toka Februari mwaka huu Na viongozi wameombwa kusaidia...
  14. DELETED ACCOUNT

    Mashabiki wa mikoani sapotini timu zenu na punguzeni unyonge na kuwa vibaraka wa timu kubwa

    Mimi ni mpenzi wa mpira wa ushindani. Sipendi timu ninayoshabikia ishindeshinde kwa kubebwa au kwa njia za mkato. Ushindi mtamu ni ule wa kutolea jasho. Ningependa sana ligi kuu ya Tanzania iwe na timu imara za mikoani zinazotoa ushindani wa kweli kwa timu kubwa. Huwa sipendi ninapoangalia...
  15. M

    Wazazi masikini punguzeni matamko yenye viashiria vya laana kwa watoto zenu

    Janga la wazazi kutamka matamko ya laana linashika kasi sana na hasa kwa hawa wazazi wenye umaskini ukifuatilia utakuta malalamiko mengi yenye viashiria vya kutoa laana kwa watoto zao. Changamoto kubwa ni wazazi kufanya watoto mitaji ya kuwakwamua kwenye umaskini wao hivyo ikiwa nje ya...
  16. Rorscharch

    Ndugu Zangu Waislamu. Ikifika kipindi cha mfungo basi punguzeni maigizo

    1. Unazini mwaka mzima ukija Mwezi huu ulivyokuwa mrahibu wa ngono unaharalisha ufuska wako kwa kuoa single maza ambaye unaachana nae miezi mitatu baadae (ungefunga ngono badala ya chakula ungekuwa umefanya cha maana) 2. Kila siku wala kwa meza migahawani ila leo eti unataka wakuwekee kwenye mkeka
  17. Kipenzi Changu

    Wanawake punguzeni kidogo kutumia sura bandia, mnatumia sana chujio (filtering)

    Wiki mbili zilizopita nilihudhuria semina fulani ya masuala ya Kitalaamu (Profession). Basi nikapata fursa ya kuonana na watalaamu wenzangu ambao baadhi tulikuwa nao kwenye magroup ya WhatsApp Kitu nilichokiona wanawake wengi wao zile sura za kwenye WhatsApp profile hazikuwa halisi. Wengi...
  18. K

    Ushauri wa Afya za viongozi: Lissu, Samia na Mpango punguzeni uzito wa mwili

    Mimi binafsi najua kwamba afya zetu ni muhimu sana ! Tunavyokuwa watu wazima ni lazima tubadilike bila hivyo magojwa yanaongezeka sana. Mimi binafsi napata shida sana kupungua na kwasababu hiyo nakula mara mbili kwa siku mlo wangu wa kwanza ni kuanzia saa nne na nusu asubuhi na wa mwisho sio...
  19. kavulata

    Tupunguzeni kula, sio majini ni pressure tu inatumaliza

    Masheikh wetu wanaongoza kwa magonjwa yanayosababishwa na kula (,metabolic deases); shinikizo la damu, uzito mkubwa na kisukari. Magonjwa haya ya chakula yanawaandama masheikh wetu sana kiasi cha kusingiziana kurogana na kutupiana majini hasa pale inapotokea masheikh kupata kiharusi, kuanguka...
  20. Blaszczykowski

    Mkipokelewa simu kitengo cha huduma kwa wateja dstv punguzeni story

    .
Back
Top Bottom