psssf

  1. J

    TPA madudu matupu, PSSSF imefilisika, NSSF haina fedha, TASAC ubadhirifu mtupu sasa hawa CHADEMA wanapigana na Ufisadi gani?

    Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe. Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza. Yaani kote...
  2. J

    Mfuko wa PSSSF umefilisiwa na nani?

    Rais Samia amesema hajateua mkurugenzi mkuu mpya wa PSSSF ( Public Service Social Security Fund) na kumuacha yule yule aliyepo kwa sababu mfuko huo una hali mbaya kifedha hivyo anataka uchunguzi ufanyike kwanza. Naunga mkono hatua hii kwa 100% kuna jasho langu pale. Ukinizingua Nakuzingua!
  3. Kucheleweshwa kwa mafao na PSSSF

    Nilifungua madai mwaka Jana mwezi wa 5, nadai tu hela ndogo kama 2.7m lakini ni mizungusho tu, mara wanashughulikia za mwezi wa tatu mara bado inafanyiwa kazi, na hawajui ni lini fedha itatolewa kwa sababu walio fungua madai hapo ni wengi sana. Kiukweli hii serikali inaumiza sana raia...
  4. Wafanyakazi PSSSF HQ wanashiriki kutapeli wastaafu

    Kwema wadau, Natoa tahadhari kwa wote wanaowasiliana na PSSSF kupitia DM page yao rasmi ya instagram (Psssftz) na wale wanaopiga namba zao za bure 0800110040 na 0800110055 kuhitaji msaada wowote. Kwa kifupi watumishi wa kitengo hicho cha huduma kwa wateja ukishawasiliana nao watakuomba namba...
  5. K

    PSSSF haina ufanisi katika kulipa mafao kwa wakati. Maana ya Rais kuunganisha mifuko haionekani

    Yaani malipo ya wateja ni delays ambazo hazieleweki, ni majuto kufanyakazi na hawa watu kweli, wako na visuti na tai humo efficiency chini kabisa, bado tunapiga hesabu, tunasubiri baada ya uchaguzi, tunalipa kwa awamu hii inamuhusu mteja au big results ndo failure.
  6. Jinsi ya kujisajili na PSSSF kwa watumishi waliotoka mifuko mengine

    PSSSF Member Portal nimejaribu kutumia link hiyoo kujaribu kujisajili ili niweze kujuaa taarifa zangu, sijafanikiwa. Msaada kwa anayejuaa jinsi ya kujisajili
  7. S

    PSSSF acheni uhuni na utapeli, kama hela za pensheni hamna semeni

    Acheni kuwasumbua wazee wa watu. Leo masikini wazee wanakwenda kutafuta hela zao bank wanaambiwa hakuna hela kwa vile hamjahakikiwa. Hamjawahi kutoa notice ya uhakiki kwa mwezi wa January, 2020, mnategemea mtu atapataje taarifa. Acheni uhuni na utapeli, kama mmeishiwa hela waambie wastaafu wajue...
  8. Uibaji wa Pesa mfuko wa PSSSF

    Nimekua nikifatilia mafao yangu pale mfuko wa PSSSF. Kuna michango ambayo kwenye statement haionekani na mwajiri alifanya process zote za kutuma na kuweka. Sasa changamoto inakuja ukienda PSSSF na ukiuliza mbona michango mingine haipo? Majibu toka PSSSF '' Hii michango mingine kuanzia February...
  9. Ubabaishaji wa mfuko wa PSSSF

    Kuunganishwa kwa mifuko ya PPF, LAPF, PSPF, GEPF n.k na kupata PSSSF limekua kaa la MOTO kwa wafanyakazi waliokua private sector na mda wa mikataba yao umekwisha. Nimekua nikifatilia sitahiki zangu tokea makataba wangu umekwisha pale PSSSF nikaambiwa kwa watu wa private wanatakiwa kuchukulia...
  10. Mwajiri alikuwa hapeleki michango ya mifuko ya hifadhi ya jamii. PSSSF wanakataa kumbana kwa mujibu wa sheria

    Mtumishi mmoja baada ya kuachakazi na kulipwa mafao yake (pungufu) akaanza kudai Mapunjo ya miezi karibia 12 yenye dhamani zaidi ya millioni 2 (hiki ni kiasi kikubwa). Akafungua file la madai. Chakushangaza PSSSF inamwambia mteja wake kuwa Huyo mwajiri hataki kutoa ushirikiano wa kulipa hayo...
  11. S

    Je, PSSSF imefilisika? Lipeni pensheni wa wazee wetu

    Leo ni tarehe 24/12/2019. wazee wastaafu wanahaha na vijisenti vya kula sikukuu. Kama mmefilisika toeni taarifa watu wajue fate yao. Ni upuuzi kutowalipa haki yao wakati mnajua kuwa leo ni sikukuu nao wanahitaji pesa iwasaidie. Serikali imelipa watumishi tangu 20th, nyinyi mmeziba masikio!
  12. Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika)

    UPDATES: Viongozi wa Vyama vya wafanyakazi wametoa historia ya walikotoka hadi walikofika. Aidha, wamedokeza kuwa wapo waliozimia kwenye ofisi za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Rais Magufuli anawasikiliza na anataka kila mtu aongee na kutoa dukuduku ili aweze kuongea. Viongozi wa vyama vya...
  13. Ukweli kuhusu Mafao ya PSSSF sheria mpya ya kustaafu

    Ni upi ukweli kuhusu sheria mpya ya mafao ya pensheni? Wengi hawaelewi haswa kinachojiri, na wengine hupata taarifa zinazozua taharuki miongoni mwa walio karibu kustaafu, hasa zile zinazowaambia watapata robo tu ya kile ambacho wenzao walipata kabla ya kutumika sheria mpya. NARUKA!: Haya ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…