Tufuteni APP yenu ambayo mstaafi anaweza kuhakiki kutumia smart phone.
Ni usumbufu usio kifani kukaa ofisini masaa 3 au zaidi uko kwenye foleni eti unahakiki
Lifikirie hilo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, viongozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo:-
(i) Bw. Fortunatus Makore Magambo ameteuliwa...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa ushauri kwa Mkurugenzi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kufuatilia utendaji wa baadhi ya Watendaji wake wa Tawi la Dodoma akidai hawana huduma nzuri na wamekuwa wakimzungusha muda mrefu anapofuatilia stahiki zake, ufafanuzi...
Habarini za wakati huu wanajukwaa.
Marakadhaa PSSSF wamekua wakilalamikiwa kama huduma zao ni mbovu
Ukipiga simu kwa mhudumu A atakupa majibu tofauti na mhudumu B.
Mfano mhudumu A atakuambia taarifa zako zinafanyiwa kazi piga wiki ijayo na wiki ijayo ukipiga simu anatokea mpuuzi mmoja sijui...
Inasemekana kuwa kuna kanuni mpya za kulipa fao la wategemezi ambazo zimeanza kutumika mwaka huu 2025.
Hapo awali mstaafu ambae alikuwa mtumishi akifariki ilikuwa warithi wanalipwa miezi 36 ya mafao ya marehemu .
Ila sasa kanuni zinabagua kwamba watalipwa warithi amaboa wana umri chini ya...
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umesajili Askari Polisi watarajiwa 4,800 wanaokaribia kumaliza mafunzo yao katika Shule ya Polisi Moshi mkoani Kilimanjaro.
Kabla ya zoezi la usajili, maafisa wa PSSSF wakiongozwa na Meneja wa Kanda ya Kati Dodoma, Michael Bujiba walitoa...
Kwanza kabisa nikupongeze kwa kuamininiwa na mh. Rais kuisimamia taasisi hiyo nyeti inayohusika na maslahi ya watu wanaotaabika kwa miaka kibao.
Kumekiepo na malalamiko dhidi ya mtangulizi wako kwani alishindwa aidha nguvu na hao watumishi wa ofisi au ilikua ni maelekezo yake. Mambo yalikua...
Nikienda kwenye mada mojakwa Moja. Nichukue fursa hii kumshukuru sana Mh. Rais Kwa kuondoa huyo mzee mzembe,kiburi,asiyejali maslahi ya wenzake.
Watu wamekua wakimlalamikia muda mrefu sana lakini hajali. Huduma mbovu sana, wale watu wake wanaopokea simu wanajibu wanavyotaka,mtu anafuatilia...
Hivi hii michango ya watumishi wa umma ya PSSSF huwa ina riba au ulichochangia ndicho utakuja kupewa ukistaafu?
Kuna mshikaji amechangia Mil.99 na atastaafu miaka miwili ijayo, sasa yuko stressed kwamba watampa kiinua mgongo cha mil 33 kwa mkupuo mmoja na pensheni ya mil 1.5 kwa mwezi kwa...
Mkurugenzi
Polen na KAZI Bwana Yesu asifiwe na asllam alyekum
KUNA MSIBA umetutokea. Marehemu n member WENU
Wakati WA MSIBA akatokea NDUGU MMOJA na kusema Pssf wanatoa pole kwa marehemu mkirudi dar mwende kuulizia
Mzee akafika ofisini kwenu. Wana siku kama 43 tu. Akaambiwa zile pesa zote...
PSSSF (Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma PSSSF) unatekeleza huduma bora kwa wastaafu kwa kuhakikisha wanapata mafao yao kwa wakati na kwa urahisi. Huduma hii inaboresha maisha ya wastaafu kwa kuwapa uhakika wa kipato, hivyo kuwasaidia kupanga maisha yao ya kila siku bila wasiwasi...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KMICC) kati ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma...
Wanajukwaa habari za wakati huu.
Ninatamani weekend inaenda kuanza vyema na wale wenye changamoto Mungu awafanyie wepesi
Nitakuja jukwaani tena kuujulisha umma kwamba huyu mkurugenzi wa PSSSF anadharau juu ya haki za watumishi wenzake ambao wanadai haki zao. Ajue na kuelewa maana ya haki. Hapo...
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umezindua Baraza la Wafanyakazi linaloendeshwa kidijitali kwa lengo la kupunguza gharama za uendeshaji na kusaidia jitihada za kulinda mazingira.
Uzinduzi huo uliofanyika jana Februari 06, 2025 Mkoani Singida, uliongozwa na Mwenyekiti wa...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com anayetambulika kwa jina la Mkumbwa Jr kulalamikia huduma ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) upande wa Dodoma kuwa siyo nzuri, mamlaka hiyo imetoa taarifa ya ufafanuzi.
Kusoma hoja ya Mdau bofya hapa ~ PSSSF Dodoma tofautisheni...
Wanajukwaa habari za muda huu.
Ninalazimika kupanda jukwaani kutokana na usumbufu mkubwa sana uliopo Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSSSF .
Hawa watu wanakuwa na vipengele vingi vya kufuatilia na hata ukishakamilisha wanafanya malipo wanavyotaka.
Hivi inakuwaje mtu anajaza taarifa zinachukua...
Habari ya muda huu wanajukwaa.
Nimelazimika kuandika hapa jukwaani kuhusu taasisi tajwa hapo juu. Tangia mwezi oktoba nilijaza fomu za kuomba fao. Nilijibiwa kama taarifa zimepokelewa na mwajiri na pia ofisi za PSSSF
Isitoshe nimewapigia simu wakasema watalipa mwezi September. Hawajalipwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.