PSG College of Technology is an autonomous, government aided, private engineering college in Coimbatore, India. It is affiliated with Anna University. It is affiliated to PSG and Sons Charities Trust. Among engineering colleges in India, PSG College of Technology was ranked 6th in private engineering colleges by India Today in 2018.
Hatua ya robo fainali ya Uefa Champions League kuanza kuchezwa tarehe 7 na 8 mwezi wa 4 kwa hatua ya kwanza na mechi za marudiano zitachezwa tarehe 14 na 15 mwezi wa 4.
Hivi ndivyo mechi zitakavyokuwa, je nani atatoboa kuingia nusu fainali
Basi, miaka fulani nilikuwa nimeshawahi kufundishwa kubeti, lakini sikuwa nikibeti, Ila ile mechi ya PSG vs Chelsea fainali… ah! niliiona nitupiemo laki 1 kwa PSG nishinde 160K.
Nilijiona usiku ule nikilala na elf 60 nyepesi kuzidi kuchuma mapera, Nilijua nashinda tu!
Nikaenda nikafungua...
Niseme tuu kuwa matokeo ya mchezo wa jana yalinihuzunisha sana. Miungu ya mpira ilishindwa kumzawadia PSG kombe pamoja na kwamba mchoni pa wengi ndio ilikuwa timu bora. Mpira ni magoli, Chelsea walifunga magoli na hivyo walistahili kushindi mchezo wa jana.
Lakini inakuwaje timu ambayo kwa...
Mambo vipi wadau! Leo ni siku ya kipekee kwani tunasubiri fainali ya FIFA Club World Cup 2025 kati ya Chelsea na Paris Saint-Germain (PSG) itakayochezwa saa nne usiku (10:00pm EAT) kwenye dimba la MetLife Stadium, New Jersey.
Hii ni mechi ya kihistoria, kwani ni fainali ya kwanza kati ya timu...
Wakuu,
Wekeni utabiri wenu kuelekea mechi hii PSG wanasema hakuna mtu kulibeba inawezeka kirahisi hivyo?
Mechi ya fainali ya Kombe la Dunia kwa Vilabu kati ya Chelsea ya England na Paris Saint-Germain (PSG) ya Ufaransa inatarajiwa kuchezwa siku ya Jumapili, Julai 13, 2025, kwenye Uwanja wa...
Muda mrefu sana umepita tangu kushuhudia timu iliyokamilika kama hii PSG!
Hivi imekuwaje timu kongwe na kubwa za ulaya zimeruhusu PSG akusanye kikosi kilichokamilika namna hii!?
Huyo dogo Neves ni namba sita CHAFU kwelikweli, Vitinha kiungo ya mpira inapapasa mali kama imelaaniwa, Fabian Luiz...
Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya Ufaransa imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia la Klabu la FIFA (#FIFACWC) mwaka 2025 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Bayern Munich ya Ujerumani katika mchezo wa robo fainali uliopigwa mjini Atlanta, Marekani.
Mchezo...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, zilikuwa ni wiki zikawa siku hatimae ule muda wa kusubiri umeisha na leo ndio ile siku ya kuhitimisha michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya kwa msimu wa 2024/25.
Mtanange wa leo utakuwa baina ya mabingwa wa ligi kuu nchini Ufaransa Paris Saint-Germain (PSG): na...
Katika mechi ambazo zilikua za ajabu ni real Madrid na arsenyani yaani walikutana pipa na mfuniko nikajua labda Madrid ataonyesha mpira mzuri kumbe Naye bangusilo hakuna kitu kabisa aisee rasmi nawaunga mkono psg sababu wanaiweza hii kazi Kule dembele Kule barcola huku achirafu hakimi huku...
Wachezaji wawili wa Liverpool, Mohamed Salah “Mo Salah” na Trent Alexander-Arnold wameonekana wakirushiana maneno hali iliyofanya wenzao kadhaa kuingilia kati na kuwatenganisha wakati wakisogeleana wakati walipokuwa kwenye Uwanja wa Mazoezi.
Tukio hilo limetokea muda mfupi kuelekea mchezo wa 16...
Jamani hayo ni macho yangu ya rohoni ikitokea ivyo mnichangie niwape na matokeo mechi ya Simba vs yanga correct score
Bibi kasema wa kubet stake a wife
Kweli mchezo wa soka hautabiriki, Licha ya Barcelona kupewa nafasi kubwa lakini imeambulia kipigo cha magoli 3-1 kwenye Uwanja wa Camp Nou kutoka kwa PSG katika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Hivyo, PSG imefanikiwa kuingia Nusu Fainali kwa jumla ya magoli 6-4 kwa kuwa mchezo wa kwanza...
FEBRUARY 14,2018 kwenye mchezo kati ya Real Madrid na PSG lilitokea tukio ambalo lilileta utata sana na wengi wakibakia na mshangao mkubwa huku likihusisha nguvu za giza (Uchawi).
ILIKUWA ni tukio la penati aliyopiga Cristiano Ronaldo 🇵🇹 kwenye ushindi wa Real Madrid wa goli 3-1 dhidi ya PSG...
Klabu hiyo ya Saudi Arabia inamuwania mshambuliaji huyo wa Paris Saint-Germain (PSG) aliyesajiliwa kikosini hapo Mwaka 2017 kwa Pauni Milioni 198.
Neymar yuko mbioni kuondoka PSG baada ya kutokuwa na maelewano mazuri na Klabu huyo ambapo wababe hao wa Saudi Arabia wanahitaji kumsajili baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.