psg

PSG College of Technology is an autonomous, government aided, private engineering college in Coimbatore, India. It is affiliated with Anna University. It is affiliated to PSG and Sons Charities Trust. Among engineering colleges in India, PSG College of Technology was ranked 6th in private engineering colleges by India Today in 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Sergio Ramos kufanya vipimo vya afya leo PSG

    Sergio Ramos leo inaripotiwa kuwa atafanya vipimo vya afya Paris Ufaransa kwa ajili ya kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na PSG, Ramos atasaini mkataba wa miaka miwili.
  2. Mnyuke junior

    JamiiForums Tanzania Wijinaldum amesaini mkataba na PSG, miamba ya soka ya jijini Paris, Ufaransa

    Wijinaldum amesaini mkataba na miamba ya soka ya jijini paris ufaransa (PSG) kuitumikia mpaka juni 2024. Ikumbukwe Barcelona walikuwa na nafasi kubwa ya kumpata mchezaji huyu lakini akabadili na kwenda kusaini kwa miamba hiyo ya Paris.
  3. Kichwa Kichafu

    JamiiForums Tanzania Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

    Habari. Hadi sasa zimebaki timu nne ambazo zitacheza hatua ya nusu fainali na ratiba: Leg 1. 27 April 2021 Tuesday Paris Saint Germain Vs Manchester City Real Madrid Vs Chelsea Leg 2. 04 May 2021 Tuesday Manchester City Vs Paris Saint-Germain Chelsea Vs Real Madrid Hapo bila kupepesa...
  4. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Baba wa Neymar amjibu kocha wa Caen

    Kocha wa klabu ya Caen Pascal Dupraz amekuwa sababu ya ujumbe wa kukasirishwa kutoka kwa baba wa Neymar ambao umetumwa kwenye mitandao ya kijamii, baada ya Mbrazil huyo kuumia mechi ya Coupe de France Jumatano kati ya Caen na Paris Saint-Germain(PSG). Baada ya Dupraz kumtaja Neymar kuwa mliaji...
Back
Top Bottom