project

Contemporary business and science treat as a project (or program) any undertaking, carried out individually or collaboratively and possibly involving research or design, that is carefully planned (usually by a project team) to achieve a particular aim.An alternative view sees a project managerially as a sequence of events: a "set of interrelated tasks to be executed over a fixed period and within certain cost and other limitations".A project may be a temporary (rather than permanent) social system (work system), possibly constituted by teams (within or across organizations) to accomplish particular tasks under time constraints.A project may be a part of wider programme management or an ad hoc structure.
Note that open-source software "projects" (for example) may lack defined team-membership, precise planning and time-limited durations.

View More On Wikipedia.org
  1. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Nini hatma ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo (China project) ikiwa bandari zote kachukua Mwarabu wa Dubai?

    Nimejaribu kuwaza kwa kina haya yanayoendelea hapa Tanzania kuhusiana na sekta ya bandari. Sote tunajua tayari Serikali na bunge wamepitisha na kusaini mkataba wa uendelezaji na uendeshaji shughuli za bandari zote za Tanganyika kuwa chini ya umiliki na usimamizi wa milele wa muarabu wa Dubai...
  2. African Geek

    JamiiForums Tanzania Naombeni mchango wa mawazo juu ya hii Project.

    Habari wana JF, Mimi ni Developer ( Web & Mobile ). Nina uzoefu na web development upande wa Backend na Frontend. Pia nimejifunza mobile app development kwa Flutter na nimefanikiwa kufanya project kadhaa ndogo ndogo kwa ajili ya kujiimarisha na kupata uzoefu wa kile nilichojifunza. Kwa sasa...
  3. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo sugar project ilkua biashara ya kitapeli

    Haina ubishi lile eneo ambalo Zanzibar wanadai nilao lilisharudishwa mikononi mwa Tanganyika sababu Rais wa nchi ndiye mwenye mamlaka ya ardhi ya Tanzania labda huyu waleo ajichanganye tena awape hilo eneo na zaid kwa Mara nyingine. Bagamoyo sugar project ilkua n biashara ya kijanja mbele ya...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Kifaa cha kuratibu mfumo wa kumwagilia maji (Irigation Controller)

    Kifaa hiki kinawafaa wale ambao wana bustani au mashamba na wangependa kuratibu muda wa kumwagilia bustani au mashamba Kipo vizuri sana hakina tatizo lolote. Kipo complete na koki yake
  5. X

    JamiiForums Tanzania Wazee wa project za eletronics Module SIM800C pc 2

    Module za SIM800C Mbili zinauzwa bei Tsh 30,000 per Pc zipo pc 2 Kama unahitaji nicheki pm
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Project Assistant at Christian Social Services Commission (CSSC) May, 2023

    About CSSC The Christian Social Services Commission (CSSC) is an ecumenical body jointly established by the Tanzania Episcopal Conference (TEC) and the Christian Council of Tanzania (CCT) in 1992 to facilitate social services, with the main focus on education and health services provided by...
  7. PenTester

    JamiiForums Tanzania Project Officer (1 Position)

    Job Title: Project Officer (1 Position) Job Location : Magu - Mwanza Magu Poverty Focus on Older People Rehabilitation Centre (MAPERECE) in collaboration with Amref Health Africa Tanzania is implementing the project called “Empowering Women with Obstetric Fistula through Treatment...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Project proposal and Organization Strategic Plans preparation

    Hello members, We are experienced and professional Project Managers. We offer services in various areas of project Management. We would like to offer services to an individual, or organization that seeks service in Project Proposal write-up or preparation of Organization Strategic Plans...
  9. Rabonn

    JamiiForums Tanzania NMB open bank project APIs (sandbox)

    wakuu wa jukwaa hili, heshima kwenu. Kama kichwa kilivyo hapo juu, please nahitaji sana kueleweshwa kuhusu hii open bank project ya nmb bank ambapo unaweza kutumia APIs zao walizotoa kwa ajili ya ku utilize kwenye application/ system solutions zako unazo tengeneza kuwapatia clients wako nmb...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mradi unaojengwa Mpaka wa Tanzania na Burundi utakuwa na kituo kimoja ‘One border stop Project’

    Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Kabingo-Kibondo-Kasulu-Manyovu wenye urefu wa Kilometa 260.6 unaoanzia Mpakani mwa Tanzania na Burundi upo katika hatua mbalimbali za ujenzi. Akielezea maendeleo ya mradi huo akianzia na eneo la Mpakani, Mhandisi Ngoko Mirumbe ambaye ni Kaimu Meneja wa TANROADS...
  11. Street brain

    JamiiForums Tanzania Wakuu tumeni project ya uhasibu kama vile template za bank reconciliation n.k

    Wana jf habari za muda huu Tumeni project za kiuhasibu kama template za kuandaa bank reconciliation, cash book, payment voucher, etc yaani yoyote tuone Kali ni ipi?
  12. FisadiMkuu

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Naibu Waziri, Wizara ya Elimu kuhusu mradi wa HEET

    Barua ya wazi kwa: Naibu Waziri, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Tanzania. Ndugu; YAH: KUKOSA IMANI NA WASIMAMIZI WA MRADI WA HEET (HIGHER EDUCATION FOR ECONOMIC TRANSFORMATION PROJECT) Tafadhali husisha kichwa cha barua hapo juu. Mimi ni mtumishi katika chuo kikuu kimoja hapa...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Nini kikwazo cha Tactic project chini ya TAMISEMI?

    Miradi hii nimeanza kuisikia tangu awamu ya tano,tuliambiwa itatekelezwa katika miji 45,huku ikihusisha ujenzi wa stendi, masoko,barabara,bustani,machinjio,na maegesho ya maloli. Lakini hatuoni utekelaziji wake,na kumekua na ahadi nyingi kwamba mradi utaanza mwezi fulani,lakini mpaka sasa...
  14. Toni Toni

    JamiiForums Tanzania Project managers nawaomba huku

    Poleni na mihangahiko wakuu, kuna kaswali hapa naombeni msaada wenu. "Group, partnership and relation supplies and compititors support in identifying marketing opportunity discuss"
  15. I

    JamiiForums Tanzania Masters in science in project planing in monitorig and evaluation in health.

    Masters in science in project planing in monitorig and evaluation in health. MUHAS Masters of science in monitoring and evaluation in health . Mzumbe UNIVERSITY Masters in Arts in monotoring and evaluation . Open university. Naombeni utofauti wa hizo kozi wadau.
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Jiajiri kutokana na taaluma yako badala ya kulalamika ajira hamna

    Tutafute pesa Kwa maarifa yetu. 👇👇👇 Badala ya kujificha na kulalamika kuhusu ajira fungueni centers/madarasa/ ofisi Mikoani, Wilayani na hasa mikoa yenye taasisi za elimu ya juu ama vyuo vikuu, kuna fursa kubwa sana sana. Tuokoe taifa. Ni hayo tu.
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mapadri na mashehe wanavuta sana sigara. Je, hawajui kuwa hiyo ni dhambi mpya iliyosahaulika kuwekwa kwenye vitabu vitakatifu?

    Kwenye miaka ya 60 kushuka chini sigara ilionekana ni kitu cha fahari kutumia,ni mpaka wataalam wa afya walipogundua zinasababisha kansa, sigara ikaonekana ni kitu hatari kwa afya. Hata mwalimu nyerere kavuta sana sigara enzi zake. Nafahamu mapadri kadhaa wa kanisa katoliki wanaovuta sigara...
  18. V

    JamiiForums Tanzania Kukithiri Kwa vitendo vya rushwa mradi wa bwawa la mwalimu Nyerere (Julius Nyerere hydro power project)

    Habari zenu Wana jukwaa la JamiiForums Kwanza napenda kuipongeza serikali kusimamia utekerezaji wa ujenzi wa bwawa hili kubwa nchini la kufua umeme na kutoa fursa za ajira Kwa vijana wengi wa kitanzania Lakini mradi unapoelekea kumalizika kumetokea tatizo kubwa sana la urasimu upande kupata...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Urgent: Naomba yoyote mwenye programu ya Microsoft project anisaidie kuipata

    Salamu wakuu. Ninahitaji hii program niiweke kwenye PC yangu. Kwa yeyote aliyenayo kuanzia version ya 2016 mpaka 2021 naomba aje pm. Nipo hapa dar es salaam na nitatoa angalau shukrani.
  20. F

    JamiiForums Tanzania Mnyilinga project the logo Gallery

    From mnyilinga editing team Hellow guys pengine unahitaji logo kari na matangazo tuko kwa kazi hiyo Kazi zetu utazipenda na gharama ni ndogo sana kwa ku design logo tuna vunja vunja bei ni sawa na bureee !! Karibu sana ujipatie huduma zote za logo designing na matangazo na editing nyingine...
Back
Top Bottom