programming

  1. JamiiForums Tanzania Programmer na developer wa Tz tunafeli wapi?

    1..Hivi ni kwanini hamna mobile games kali ambalo limetengenezwa na Mtanzania zaidi ya stupid puzzle games ambayo hata hayaeleweki??? 2.Kwanini hakuna app iliyotengenezwa na mtanzania ambayo hata mtu wa hapo kenya anaezakuitumia zaidi ya jamii forum?? 3.Kwa nini Tanzania programmer wanaishia...
  2. JamiiForums Tanzania Wakali wa IT Programming, wazee wa Games na application za computer zinazohitaji machine ya maana hii hapa sio ya kukosa

    SOLD
  3. JamiiForums Tanzania Mfundishe mtoto bado mdogo programming computer sio aje kukukuta ukubwani ndio maana tunazidiwa na wenzetu

    Programming computer ni mfumo wa lugha za vifaa ambavyo vyenyewe vinajua moja na ziro tu. ila kutokana na uwezo mfumo wa digital moja ziro ndio zinaweza kutambua mamilioni ya ziro na moja kwa wakati. Vifaa vyote tunavyotumia kuanzia simu,computer,mawasiliano kama internet na vyote kwa ujumla...
  4. JamiiForums Tanzania Experience kutoka kwa mql5 programming language

    Hello wanajamii forum, Nahitaji kushare na nyie opportunity hii kuhusu mql5 programming language.
  5. JamiiForums Tanzania Mafunzo Kwa vitendo SOMO la 10 java programming language

    Tazama mafunzo kwa vitendo upate uelewa mzuri kama ulikuwa unafuatilia mafunzo ya Java Video ya SOMO la kumi imekuwa ndefu sana kutokana na umuhimu wa kipengele katika Java Programming Language na mafunzo ya software development https://youtu.be/AqaUHU3imSE?si=ob7fOQ4SsyhCcDCX
  6. JamiiForums Tanzania Njia za Kuimarisha Ujuzi wa Programming kwa Watoto wa Kitanzania: Kuanzia Shule za Msingi Hadi Vyuo Vikuu (Tupate Fluent Programmers)

    Utangulizi: Habari wana JF! Leo ningependa kushiriki nanyi mawazo juu ya jinsi Tanzania inaweza kuzalisha programmers wenye ujuzi wa hali ya juu kwa kuanzisha elimu ya programming kuanzia shule za msingi hadi vyuo vikuu. Kwa sasa, wanafunzi wengi wanakutana na programming mara ya kwanza wakiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Elewa kuhusu taaluma au ujuzi wa Programming

    Programming ni nini? Programming ni kitendo cha kuandika maelezo au kuunda maelekezo au kuunda maelekezo kwa kutumia lugha flani ya kompyuta kwa ajili ya kufanikisha malengo flani Mafanikio ya mtu anayefanya programming huwa ni kufanya development ya programu ya compyuta. Unaweza ukajifunza...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mjadala kuhusu programmers wa Kibongo na programming kiujumla

    Wakuu kwema Mimi kama software developer nimeona mjadala mkubwa huku kuhusu programmer wa kibongo kuwa bongo hakuna ma programmer hichi sio kitu cha kweli bana wapo tena. Wengi ni wewe tuu hujapata mtu sahihi Tuanzie hapa anasema programmer wengi wa kibongo wanachukua template wana edit yes...
  9. JamiiForums Tanzania Nilijifundisha programming kwa namna hii

    Nilijifunza matumizi ya internet kwanza Nikatumia muda mwingi kujifunza mambo mengi ya namna ya kunufaika mtandaoni Nikaona habar ya kumiliki website, kununua sina uwezo nikajifunza html kama week 4 nikachoka nikaaacha Nikaona kuna suala la kununua hosting siliwez Nikahamia c nikajifunza sana...
  10. JamiiForums Tanzania Natoa kozi za C-Programming

    Hellw JF, Ninatumaini wote hamjambo. Kwa anayetafuta mwalimu wa computer programming na computer courses apige namba hizi 0759-124378.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Free Cisco IT Networking, Cyber Security and Programming courses

    Hizi courses ni bure, unatakiwa tu kujisajili Hapa lazima unatoka uko bomba kabisa na ulichokisomea IT NETWORKING https://skillsforall.com/course/networking-basics?courseLang=en-US CYBER SECURITY https://skillsforall.com/course/cybersecurity-essentials?courseLang=en-US END POINT SECURITY...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu computer specifications kwa mtu anayesoma Bsc. Cyber security

    .
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu hizi Programming job skills

    Wakuu, samahini nilikuwa naomba niulize kwa wanaojuwa kati ya hizi programming skills job. 1. Full stack web developer, 2. Block chain developer, 3. Machine learning and Artificial intelligenece Ipi ni marketable sana hapa TANZANIA even OUTSIDE?
  14. JamiiForums Tanzania 2024: Bora kuanza kunifunza animation kuliko programming

    Maoni!! Wengi huwa tuna malengo ya kujifunza mambo mapya huu mwanzo wa mwaka, Je ni kipi cha kujifunza kati ya animation na programming? Kama mimi ningeambiwa nichague ningeenda na animation Animation ina fursa sana na soko kubwa kulinganisha na programming, kuanzia 2D hafi 3D soko...
  15. JamiiForums Tanzania Framework gani ya backend inafanya uwe productive zaidi? Laravel / Django

    Ukiachana na serverless backend kama Firebase, Supabase, etc. Ni Framework gani inamfanya developer awe productive zaidi kati ya Laravel na Django? Binafsi, huwa natumia Node js kufanya backend lakini pia nimefanikiwa kutumia serverless backends (Firebase &, Supabase). Changamoto kubwa ya node...
  16. JamiiForums Tanzania ICT Officer II (Programming) at CBE

    Position: ICT Officer II (Programming) Duties and Responsibilities Software System Developers: To assist in capturing user Customer Requirement Specifications- CRS; To perform systems analysis and design; To implement software systems (Write and document code); To perform systems testing...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kuwa programmer

    Ulishawahi kuskia au kuona robots wenye uwezo wa kutake care of patients, magari yenye uwezo wa kujiendesha yenyewe, Games, System zenye uwezo wa kumanage kazi zote za kampuni, websites(tovuti), apps kama Facebook Insta TikTok hata hii JF, software maarufu kama Photoshop n.k. Hivi vitu vyote...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya 3 katika safari yangu ya kujifunza programming

    UPDATE 3 Nilikuwa busy siku kadhaa hata mdua wa kusoma sikuweza. Ila leo nilipata mdua nikaamua kujaribu kujikumbusha vitu. Nimeweza kutengeneza code ambazo ukiruni zina demand uweke do list, kisha unaweza kuongeza, do list, ukapunguza, au kumodify. Baada ya hapo unaweza kuweka ulizofanya na...
  19. JamiiForums Tanzania Unafanya coding ukiwa kwenye mazingira gani?

    Coders / Developers mnacode mkiwa mmejifungia chumbani au mnatembea na laptop kama mimi kwa ajili ya kubadilisha mazingira ya kazi. Nipo zangu zanzibar nakula upepo huku kazi ikiendelea
  20. JamiiForums Tanzania Naombeni mchango wa mawazo juu ya hii Project.

    Habari wana JF, Mimi ni Developer ( Web & Mobile ). Nina uzoefu na web development upande wa Backend na Frontend. Pia nimejifunza mobile app development kwa Flutter na nimefanikiwa kufanya project kadhaa ndogo ndogo kwa ajili ya kujiimarisha na kupata uzoefu wa kile nilichojifunza. Kwa sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…