polisi

  1. JamiiForums Tanzania Polisi yawashukuru Wananchi waliofanya maboresho ujenzi wa Kituo cha Polisi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema litaendelea kuwashukuru wananchi wanaoendelea kushiriki katika jitihada za Serikali katika kuboresha mazingira bora na yakisasa katika vituo vya Polisi Mkoani humo huku likibainisha kuwa litaendelea kutoa huduma bora na za kisasa kwa wananchi Hayo...
  2. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mbeya lahimiza ushirikiano na Wafanyabiashara katika kuzuia uhalifu

    Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Mwanjelwa Jijini Mbeya wametakiwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuzuia, kudhibiti na kutokomeza uhalifu katika Jiji hilo. Rai hiyo imetolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Abdi Issango Mei 07, 2024 wakati...
  3. JamiiForums Tanzania Songwe: Polisi yawakamata wanaotoa Mikopo ya Kausha Damu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe kwa kipindi cha mwezi Aprili, 2024 linawashikilia watuhumiwa 424 kwa tuhuma ya kujihusisha na matukio ya Ukatili wa kijinsia, Uvunjaji, Wizi, mauaji, utapeli kwa njia ya mtandao, Kujifanya mtumishi wa serikali, Kughushi nyaraka, dawa za kulevya, ukiukwaji wa sheria...
  4. JamiiForums Tanzania Polisi kuwa wastaarabu hakuhalalishi kudogoshwa na raia

    Wakenya ni wajasiri, lakini wakati mwingine huvuka mpaka! Inawezekana Polisi walikosea kuingia kwenye gari lao bila kueleza sababu, lakini wasingepaswa kutumia maneno makali sana dhidi yao, mpaka kuwaita wapumbavu. Wangeenda kuwashtaki kwenye mamlaka zinazohusika, na si kuwadhalilisha kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Polisi na waandishi wabadili mtazamo kuhusu ripoti za matukio ovu!

    Najiuliza sana ni nani aliyeweka huu utaratibu wa kuripoti matukio ya kiuhalifu ?Je utaratibu huu unasaidia nini,? Lengo la kuripoti matukio haya ni nini? Nani aliyeweka format ya kuripoti.? Kwa maoni yangu huu ni utaratibu mbovu na unasiriba haiba za mikoa au wilaya bila sababu ya msingi. Leo...
  6. JamiiForums Tanzania Polisi wengi wana utu kuliko raia wengi wanavyowachukulia

    Siikatai kuwa kuna Askari Polisi wasio waadilifu! Karibia kila taaluma kuna watu wasiozingatia maadili ya kazi/taaluma zao Kule nchini Marekani, Polisi mmoja alibaini kuwa leseni ya udereva wa kijana aliyemsimamisha ilikuwa imeisha wakati wake. Alipomwuliza sababu za kuendesha gari huku leseni...
  7. JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi Kigoto Kirumba, kielelezo cha utu, upendo, urafiki na haki za binadamu ndani ya Jeshi la Polisi

    Kila mtu wangu wa karibu aliyefanikiwa kupelekwa polisi Kigoto maeneo ya Kirumba alirudi na kusimulia upendo uliopita kiasi ndani ya Jeshi la polisi nchini. Inasemekana ndani ya selo za Kigoto watu wanapata chakula bora na cha kutosha na kwa wakati, hamna mateso ya aina yoyote ile tofauti na...
  8. JamiiForums Tanzania Polisi wamfanyia vibaya muandamanaji wa Hamas kama walivyomfanyia George Floyds

    Mwaka 2020 masikini mmoja aitwaye George Floyds alikufa kwa kukandamizwa chini na askari aitwaye Derek. Mkasa ule ulizua maandamano makubwa kote Marekani kwa miezi kadhaa. Mwaka huu askari wamefanya tena kama vile .Tofauti kati ya mwaka ule na huu ni kuwa Floyds alidhaniwa ni jambazi ikichangiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Polisi Marekani wawapiga maafisa, Profesa katika Chuo Kikuu cha Washington St. Louis, wamewavunja mbavu

    Wanaukumbi. Picha za kushtua zinaonyesha maafisa kadhaa wa Chuo Kikuu cha Washington St. Profesa wa historia wa SIUE Steve Tamari anaripotiwa kulazwa hospitalini akiwa amevunjika mbavu na kuvunjika mkono. Daktari mmoja alimwambia kuwa ana bahati ya kuwa hai. Ikiwa haya yangekuwa matukio ya...
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raia wasimama kidete kwa polisi walioingia kwenye gari yao kwa mabavu wakitaka kufanya ukaguzi

    Tazama hapo kwenye video raia wanauliza kwanini umevamia gari yetu polisi hawana majibu, wanaulizwa tumefanya kosa gani hawana majibu, wanaambiwa watoe vitambulisho kuthibitisha kuwa wao ni polisi kweli wanasuasua tu, mwishowe wanaishia kuwaambia unajua mimi na nani. Ni dhahiri jamaa walikuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani: Jeshi la Polisi litalinda Demokrasia wakati wa Uchaguzi Mkuu 2024 na 2025

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema katika uchaguzi ujao ukiwemo wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu Jeshi la Polisi litalinda Demokrasia ili kuhakikisha unakuwa uchaguzi wa Huru na Haki huku Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Camillus Wambura akisema wako tayari...
  12. JamiiForums Tanzania Nigeria: Wafungwa wapatao 100 watoroka baada ya gereza kuanguka kwa mvua kubwa

    Taharuki nchi nzima, watu wanapiga simu kuuliza ndugu zao kama wamepona kutokana na kuanguka kwa ukuta wa gereza. Ila hawa jamaa wa TBC Digital wakazusha taharuki kubwa kuweka picha ya uongo wa tukio. Angalia hiki kituko hapa. --- More than 100 inmates have escaped from a prison in Nigeria...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mtu aliyekamatwa akiwa mzima afie katika kituo cha Polisi?

    Tujadili kidogo
  14. JamiiForums Tanzania Bodaboda igeni hili litawapa Mileage Kibiashara na Kijamii

    Kundi la waendesha pikipiki huko jimbo la Arizona Marekani liitwalo 'Bikers Against Child Abuse' ambalo huwaweka salama wahathiliwa wa unyanyasaji hasa watoto, ikiwa ni pamoja na kulinda nyumba zao usiku ikiwa mnyanyasaji hayupo gerezani. Pia hawa jamaa huhudhuria mahakamani kushuhudia na...
  15. JamiiForums Tanzania Peter Kibatala: We need a Police to Police the Police

    Ujumbe wake huu hapa . 6
  16. P

    JamiiForums Tanzania Polisi Tabora mazoezi ya kufyatua risasi katikati ya mji si salama kwa Wananchi

    Milio mizito ya risasi inayo shtua inasikika hadi maeneo ya hospital ya mkoa. Kila mara imekua ni kawaida kabisa kwa jeshi la police kufanya mazoezi ya kufyatua risasi karibu kabisa na makazi ya wanachi hali inayopelekea kushtua sana watu. Na pengine ineweza leta athari hata kwa wagongwa au...
  17. JamiiForums Tanzania Boniface Jackob afika kituo cha Polisi cha Oysterbay ili akamatwe kama alivyoagiza RPC

    Meya huyo wa Zamani wa Kinondoni na Ubungo ameongozana na Wakili wake Hekima Mwasipu. Boniface Jacob ambaye ni Mwanachama wa Chadema amefikia kwenye kituo cha polisi cha Oysterbay akiwa sambamba na wakili wake Hekima Mwasipu, ikiwa ni siku chache toka kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es...
  18. JamiiForums Tanzania Utata sakata la ndugu wa Boniface Jacob: Kupotea mpaka kukutwa mochwari ya polisi, Amana wapigilia msumari!

    Wewe mwana JF mwenzangu utakuwa jaji kwenye hili, je, nani anadanganya? "Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, lasema lawatuhumu Meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob na mwanaharakati, Godlisen Malisa kwa kusambaza taarifa za uongo" ==== Kuptea kwa Robert Mushi na Maelezo ya...
  19. JamiiForums Tanzania SGR yetu waweke Polisi au JKT chooni!

    Huu ni ushauri wangu tu kwa kuanzia kila choo kiwe na askari mlangoni kukagua kila anayetoka chooni kama kachafua au kakiacha choo kisafi kama alivyokikuta. Na atakayechafua aidha asafishe mwenyewe au apigwe faini ndefu. Bila ya hivyo itakuwa SGR ya kichocho na kipindu pindu baada ya safari ya...
  20. JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lakamata Wafanyabiashara watatu wakituhumiwa kuuzaji pombe bandia Ruvuma

    Hali ya ulinzi na usalama Mkoa wa Ruvuma ni shwari, na ushwari huu umetokana na ushirikiano mzuri uliopo baina ya Jeshi la Polisi na wananchi kuhakikisha jamii na Mkoa kwa ujumla unaendelea kuwa salama. Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linapenda kutoa taarifa ya mafanikio ya doria, misako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…