Aisee hili taifa Lina polisi njaa sana
Jana mida saa mbili usiku nilikuwa Nina mzigo flani nikataka niufunge kwenye piki piki bahat mbaya mpira ukakatika
Nikatoka kwenda kununua duka flan si mbali sana, ile nimepaki piki piki ghafla nikazungukwa na mapolisi wapo 5 huku wawili wameshika bunduki...