polisi

  1. POLISI NAO WEZI TU

    Waa na jamii leo naleta mada ambayo ni kero yangu na nina imani wapo wengine. Ni kuhusu polisi na vyombo vya moto vya raia, gari na pikipiki. Inapotokea umepata ajali au tatizo mfano umegonga na gari ikalazimika kubaki kituo cha polisi, basi kadri inavyoo kaa pale ninageuzwa skrepa. Ukifata gari...
  2. Polisi wanadaiwa kushikilia simu 18 za wanawake wa CHADEMA Pamoja na gari la mmoja wao kwa zaidi ya miezi miwili

    Taarifa hii ya kusikitisha na kufedhehesha imefichuliwa na Msemaji wa Chama hicho wa Kanda ya Pwani Mh Gervas Lyenda. Inadaiwa wamama hao walikamatwa Kwenye viunga vya Mahakama ya Kisutu siku ya Kesi ya Mwenyekiti wa Chadema tarehe 5/8/2021 na kulundikwa Police Central kwa siku 5 mfululizo ...
  3. B

    Nitafungua kesi dhidi ya Jeshi la Polisi

    Natarajia kufungua kesi mahakama kuu dhidi ya jeshi la polisi, naitaka mahakama kuu itoe tafasiri na/ muongozo wa je Jeshi la polisi linaruhusiwa kuteka raia au kukamata raia? Na Je kukamata ni sawa sawa na kuteka? Na je utaratibu wa kuteka raia unatakiwa uweje? Yaani kabla raia hajatekwa ni...
  4. Kiufupi Polisi wako biased sana kwa CHADEMA. Hatua waliyofikia si nzuri

    Wanachopitia CHADEMA ndicho walichopitia CUFmiaka ya 2001, hakuna kilicho kipya zaidi naiona nyota njema kwa CHADEMA. Mbeleni kama si kuchukua nchi ni serikali ya Mseto, kama hutaki bakia kua kichwa ngumu muda unaenda kasi sana utajionea. Imefikia sasa polisi hata kuona mtu aliyevaa T-Shirt...
  5. Polisi KAWE mnatumika kisiasa. Kamwe hatukubaliani na mnayofanya

    TAARIFA KWA UMMA. Nimefika kituo cha Polisi Mbweni kufuatilia hatma ya dhamana ya BAWACHA na mwanahabari wetu wa Mgawe Tv ndg. Harlod Shemsanga waliokamatwa asubuhi ya leo kwasababu ya kutokuwa na kibali cha kufanya Jogging. Nimefika Mbweni Polisi saa 9:20 alasiri hii, mbele ya ofisi ya...
  6. Mchora katuni Opptertus John Fwema ashikiliwa na Polisi kwa Makosa ya Mtandao

    Cartoonist Oppter John Fwema anashikiliwa na polisi kituo cha Oysterbay. Nimeongea na mdogo wake na amenambia kuwa Oppter alikamatwa nyumbani kwake Bunju siku ya Ijumaa tarehe 3 September 2021kwa makosa ya mtandao. Taarifa zaidi zinaendelea kupatikana Polisi na kwa familia na tutajuzana zaidi...
  7. Msajili, Jeshi la Polisi mmebeba dhamana ya amani yetu

    Kwa muda mrefu kumekuwa na mvutano kati ya Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa, vyama vya siasa vyenyewe hasa vya upinzani na Jeshi la Polisi. Ukipekua Katiba ya nchi na sheria zetu unashindwa kuelewa kwa nini haya yanatokea. Kama kila mdau wa siasa angeisoma kikamilifu Katiba ya Jamhuri ya...
  8. C

    picha: Jinsi polisi wa kiafrika wanavyofanya upelelezi

    Yaani mtu anakula kibano heavy lakini wanakuambia kwamba ana cooperate vizuri tu hadi anakiri kosa UKISIKIA MANYANI MEUSI NDIYO SISI SASA, SHIT HOLE COUNTRIES
  9. B

    Utesaji wa Dola - Agenda kubwa Uchaguzi ujao

    Habari hii iwafikie wote wanaokodolea macho nafasi za uongozi. Ifahamike kuwa bila tume huru hakuna uchaguzi. Hatutaangalia mgombea ni mwanamke au mwanaume. Haki zetu za binadamu hazitakuwa na mbadala. Kama ni mtarajiwa atuambie atafanya nini kuondoa kadhia kama hizi: Kama alikuwamo...
  10. Kulingana na ushahidi wa kesi ndogo ndani ya kesi kubwa uliotolewa, Je unadhani maelezo ya Adamoo aliyoandikisha polisi yatapokelewa kama ushahidi..?

    Wengi tunahudhuria mahakamani kusikiliza kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu . Wengine tunafuatilia mitandaoni hatua kwa hatua mwenendo wa kesi nzima.... Kwa ambao hawajui au hawakumbuki au kusahau ni kuwa, kinachoendelea sasa ni kesi ndogo ndani ya kesi kubwa (trial within a...
  11. Polisi mlichowafanyia hao wanajeshi kwa ushahidi wao mmewakomoa ila mnatia hasira

    Kwa katiba ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania hakuna aliyejua ya sheria na kila mtu ni innocent kabla ya hukumu, Wallah Wabillah Taallah kwa ushahidi walioutoa mmefanya ukatili wa hali ya juu sana kupita kiasi, maana mpaka sasa kwenye ushindi wa pande zote mbili hakuna hisia za ugaidi hapa...
  12. S

    CCM kujiweka madarakani imetumia migongo ya Polisi

    Tuseme ukweli kila unaposikia CCM imeshinda basi hapakosi kuambiwa Polisi walifanya hili na lile na kuzuia lile na hili. Kwa nini Polisi na wengine wanakubali kufanywa ngazi ,ngazi ambayo huwafikisha CCM kutimiza mahitaji yao ya kutwaa ushindi bila ya kupigiwa kura? CCM imevigeuza vyombo huru...
  13. V

    Moses Lijenje aliyetajwa kutupwa na Polisi kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake ni nani?

    Wakati shahidi namba mbili na mshitakiwa namba tatu Mohammed Abdilah Ling'wenya wa kesi ndogo katika kesi ya Ugaidi inayowakabili kina Mbowe alimtaja Mosses Lijenje kudaiwa kutupwa na polisi wakati akifanyiwa vitisho. Mallya: Kitu gani Kiliendelea..? Shahidi: Maaskari wakasema Mwenzenu Moses...
  14. Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi - 27/09/2021

    Leo tena kama kawaida tunakuletea moja kwa moja yanayojiri kwenye Mahakama kuu , divisheni ya Uhujumu Uchumi , ambako kesi ya ugaidi unaogharimu kitita cha tsh laki 6 inaendelea. --- Jaji ameshaingia Kesi inatajwa Kesi namba 16 ya Mwaka 2021, Jamuhuri dhidi ya Halfan Bwire, Adam Hassana...
  15. Askari Polisi wa Mpwapwa, Rashid Mohamed Juma ambaye afariki akiangalia Mchezo wa Simba na Yanga

    Afande Rashid wa kituo cha polisi Mpwapwa, amepoteza maisha baada ya timu yake ya Yanga kuifunga Simba jana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii. Afande alishikwa na furaha iliyopitiliza hali iliyosababisha kukutwa na mauti huko Mpwapwa, Dodoma! Poleni sana wafiwa, kwa kupoteza mpendwa wenu, hizi...
  16. IGP sirro wawajibishe wakuu wa vituo vya polisi Katavi

    Wakuu salama, Kumeibuka wimbi la watoto wadogo miaka 15-17 kwa Dar wakiitwa panya road huku katavi wamekuwa na vikundi vya vijana hao (damu chafu, mazombi, watoto wa kaburi moja, fulldoz, avengers, changanyikeni), wakishirikiana na baadhi ya polisi wasio waaminifu kufanya vitendo vya kipuuzi...
  17. Rais Samia, Mimi kama mwananchi wako nakushauri kwa mara ya mwisho juu ya polisi, nanawa mikono juu yao

    Mh Rais Samia Mimi kama mwananchi wako nakushauri kwa mara nyingine tena ili kusiwe na hatia juu yako Ila ni wazi kabisa polisi wetu wanakuchafulia na kukutia doa utawala wako. Mpumzushe Sirro msaidie apumzike kwa heshima jeshi la polisi chini yake limechafuka Sana na Askari wengi wanaumizwa...
  18. K

    Kurudisha heshima ya Polisi kwa jamii iundwe tume

    Mimi ni mtoto wa Polisi na wazazi wangu wote walikuwa kwenye jeshi hili kwa miaka mingi sana. Kwa ufupi wazazi wangu hawajawahi kufanya kazi nyingine. Ukweli kumekuwa na malalamiko mengi sana ya unyanyasaji wa Polisi wa hali ya juu. Hii sio kwa wanasiasa pekee tumesikia haya malalamiko kutoka...
  19. Roho mbaya za wanasiasa lawama kwa polisi.

    Hivi sasa polisi wanalaumiwa Kila sehemu, Hivi sasa polisi wanadharaulika kika sehemu, Wanaonekana kwamba kumbe hata wao huwa hawafuati Sheria kwenye ukamataji,lakini wao humtaka raia atii Sheria Bila shuruti. Imebainika kwamba hawafuati PGO kwenye ukamataji. Imebadilika kwamba kumbe hawana...
  20. DPP, IGP na polisi kwa ujumla mmelitengenezea sifa mbaya taifa kwa kesi ya Mbowe

    Kwakweli toka moyo wangu na kwa haki ya Mungu, Polisi hii kesi imewaumbua vibaya sana mpaka hata polisi wengine walioko nje wanashangaa sana. Mashahidi upande wenu wamejichanganya kwa kila kitu, wametofautiana mpaka kuna mahali hata raia wa kawaida anajua kuna mambo ni ya uongo wa wazi.Hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…