polisi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Polisi semeni ni Wapi mmepeleka Jose Mbeya Mwanachama wa CHADEMA?

    Kwa masikitiko na wasiwasi mkubwa, tumepokea taarifa kuwa Mr. Jose Mbeya, ambaye ni mwanachama wa CHADEMA, amechukuliwa leo alfajiri na watu waliojitambulisha kuwa ni maafisa wa Polisi. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na ndugu zake, watu hao walieleza kuwa wanampeleka katika Kituo cha Polisi...
  2. JamiiForums Tanzania Watu zaidi ya 30, wakiwemo Askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki Dunia katika ajali Morogoro

    Watu zaidi ya 30, wakiwemo askari wa Jeshi la Polisi, wamefariki dunia na wengine 37 kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro. Akizungumzia ajali hizo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Andrew Kantimbo, amesema ajali ya kwanza imetokea eneo la...
  3. JamiiForums Tanzania Polisi ni mali ya Nani? Kabudi Vs Chacha.. Watanzania wanawatizamaaaaaa

    .
  4. R

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya wanafunzi Ufaransa: Kama ingelikuwa hapa polisi wangelikwisha UA over a million students!

    Mwanafunzi Mmoja tu ndiye kapoteza mkono. Hakuna maiti hata moja ie hakuna aliyepotea maisha... Hapa kwetu zaidi ya milioni wangelikuwa maiti!
  5. JamiiForums Tanzania Aunt Ezekiel azua taharuki Muonekano wake kwenye Movie mpya 'REHANI'

    Muigizaji Mkongwe Nyota Kwenye Kiwanda Cha Filamu Tanzania Aunty Ezekiel amezua taharuki leo kwa muonekano mpya akiwa amevaa mavazi ya Magereza na amenyoa kipara. Siku ya jana Oktoba 6, 2026 kuna video pia ilisambaa mtandaoni akionekana anakamatwa na Polisi lakini hekaheka zake zote leo...
  6. JamiiForums Tanzania Kauli za Mwenyekiti BAVICHA Taifa Deogratius Mahinyila zamponza, aitwa polisi kwa mahojiano

    👉 Vyama vya siasa nchini Tanzania vinapaswa kufanya shughuli zao ndani ya mipaka ya sheria na kanuni zilizowekwa. 👉 Kiongozi yeyote wa kisiasa anapotoa kauli za uchochezi au zinazokiuka sheria za nchi, lazima awajibishwe kisheria. 👉 Kuitwa kwa Kiongozi wa Chadema Deogratias...
  7. JamiiForums Tanzania Wastaafu TISS, JWTZ, POLISI na vyombo vikuu vya Ulinzi na Usalama-hali hii inawatia ya nchi aibu kubwa!

    Sijui wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama waliostaafu wanajisikiaje sasa hivi kwa hali ya nchi , siasa zake na usalama wa nchi kwa ujumla. Hali haitii moyo kabisa. Viongozi wa sasa ni maslahi binafsi kwanza, nchi baadaye. Kula kwa urefu wa kamba. Vyombo nilivyovitaja vilikuwa na viongozi wake...
  8. JamiiForums Tanzania Maandamano Makubwa Yazuka Ufaransa na Spain huku Polisi wakitukia Nguvu kubwa kuyazima. Je, huko hakuna Katiba Mpya na Demokrasia wanayodai CHADEMA?

    Miaka ya karibuni Chadomo wamekuwa wakidai kwamba CCM imeshindwa kuleta maendeleo Kwa sababu eti kisa hakuna Demokrasia na Katiba Mpya kama Ulaya. Na kwamba Katiba Mpya as per Chadomo ndio muarobaini wa matatizo na huko Ulaya na USA hakuna shida kabisa Kwa vile Wana Demokrasia na Katiba nzuri...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania, wakamateni Dotto Magari na Dudu Baya muwashikilie kwa muda. Mbona Tanzania tunaenda kuwa taifa la kijinga kiasi hichi??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Juzi hapa Waziri Katambi aliwaita baadhi ya wasanii akiwemo Dudu Baya na Dotto Magari. Dotto alienda, Dudu Baya akagoma. Dotto alipewa somo la maadili mema, Dudu baya akapewa summons/arrest warrant ya Polisi. Dudu Baya hakukamatwa, Dotto Magari akaachana na somo la...
  10. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Tulipiga kelele za wezi kuzuia tukio lililoonekana ni la utekaji, nashangaa tumeitwa Polisi kwa ajili ya tukio hilo

    Jumamosi, katika eneo la Manzese, karibu na kibanda changu cha chipsi, kulitokea tukio ambalo lilitutia wasiwasi sisi tuliokuwa eneo hilo. Kulikuwa na bodaboda mmoja aliyesimamishwa na watu waliokuwa kwenye gari aina ya Noah. Mwanzoni, sisi tuliokuwa pale kijiweni hatukuhisi kwamba kuna jambo...
  11. JamiiForums Tanzania Polisi: Tunamshikilia mkazi wa Basutu kwa kumjeruhi na kumpiga kwa nyundo Stanslaus Richard maeneo ya miguuni na magotini

    Jeshi la Polisi mkoani Manyara linataarifu umma kuwa linamshikilia Samson Gichochi (32), mkazi wa Basutu Wilaya ya Hanang' Mkoani hapa kwa tuhuma za kumjeruhi kwa kumpiga na nyundo Stanslaus Richard maeneo ya miguuni na magotini. Taarifa za awali za tukio hilo zinaonesha mtuhumiwa alifanya...
  12. JamiiForums Tanzania Yule wa kigamboni alivutwa Nyeti(pumbu), na mkewe akamripoti polisi, na polisi walimpuuza, huyu wa Bunju A alitishiwa bastola akaripoti polisi,wakampu

    Jeshi la polisi linaendelea kuingia katika kashifa mbaya dhidi ya matukio ya mauaji yanayoendelea nchini Tanzania. Awamu hiii ukiondoa ile ya kigamboni ambapo, bwana mmoja alivutwagwa pumbu, na mkewe mbele ya Mama yake mzazi, akaenda akaripoti polisi na polisi walimpuuza kwa kumpa maneno ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Chondechonde: Watanzania ninajua mnahasira kali juu yaliyotokea Oktoba 29. Punguzeni makali ya vibuyu dhidi ya polisi

    Elekezeni mashambulizi na kwingineko👇
  14. JamiiForums Tanzania Polisi : Marufuku Bajaji kubeba abiria siti ya Mbele.

    Sheria ipo, polisi hapa anakumbushia tu, abiria wa bajaji ni 3 tu, hao wanaozidi wakipata ajali bima haiwatambui. Bajaji kalipa LATRA kubeba abiria 3 u, wewe unayeongezea untafuta balaa tu. Bajaji zote zinazopata ajali na bairia mbele, hakuna anayepona , sababu, derev anakuwa kashikilia...
  15. M

    JamiiForums Tanzania AI yafika Polisi, wagoma kubaki nyuma kiteknolojia. wafyatua maudhui kuzuia upotoshaji kuhusu kifo cha Msemaji wao, Misime

    AI yafika Polisi, wafyatua maudhui kuzuia upotoshaji kuhusu kifo cha Msemaji Misime Hapo awali walitoa tangazo la kukanusha posta ya kugushi iliyokuwa ikisema Msemaji wao Kafariki.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Leo Septemba 29 boda boda na bajaji wasiofuata sheria kubanwa na Polisi

    Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limeanza operesheni maalumu ya kuwabana waendesha bodaboda na bajaji wanaokiuka sheria na kanuni za usalama barabarani. Operesheni hiyo, inayoanza Septemba 29, 2026 na kutekelezwa nchi nzima, inalenga kuongeza utii wa sheria na kupunguza makosa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Atoweka tangu Mei 12, 2026, mke aripoti Polisi, adai kuna mtu amemwambia mumewe ametekwa na “Mtu Mkubwa”

    Mariam Vincent Mahimbo, mkazi wa Buza, Chama Yombo, Temeke amekuwa akimtafuta mume wake, Ally Nanjasye kwa zaidi ya miezi mitatu tangu alipoondoka nyumbani Mei 12, 2026, baada ya kupigiwa simu na dereva wa bodaboda aliyemweleza kuwa alikuwa na kazi ya kwenda kuiona. Mume ambaye alikuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Hawa trafiki polisi wanaposimamisha daladala wanataka nini

    Nimepanda daladala uelekeo flani yaani daladala imepigwa mkono mara 7 sijii nini kinaendelea
  19. JamiiForums Tanzania NI RASMI IMETHIBITISHWA JKT, JWTZ NA POLISI NI MALI YA CCM

    Kutokana na kauli ya Kada wa CCM kua majeshi yote ni mali ya CCM na Hakuna jeshi lolote lililokanusha mpaka sasa, hivyo imethibitika kua majeshi yote ni mali ya CCM
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…