polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli Balozi Polepole anaasili ya kisiwa cha Ukara huko ziwa Victoria basi ipo kazi kwani hao jamaa naambiwa wanajiamini kweli kweli!

    Ni hayo niliyonayo kwa Leo kama nimekosea mnisahihishe
  2. K

    JamiiForums Tanzania Polepole pigania mfumo! Dada yako kutekwa ni maelezo tosha!

    Polepole pigania mfumo! Dada yako kutekwa ni maelezo tosha!. Wewe ulikuwa mwenezi badala ya kupigania kubadilisha wahuni unatakiwa kupigania mfumo mzima wa nchi ili Dada, Kaka, Mama, na ndugu yeyote asiweze kutekwa kwasababu tu ya mawazo yake. Makanisa yasifungwe kwa kukasirisha watu hata maka...
  3. JamiiForums Tanzania Bashe ni MSOMALI? lazima ajitokeze kimbelembele kujibu Hoja za Polepole ili Mamlaka iendelee Kumkumbatia

    Huyu Bashe Kwa Lugha nyepesi kabisa unaweza muita ni CHAWA asiyemtanzia ambaye anatumia Janja kujiweka karibu zaidi ya Mamlaka ya Juu, ili aendelee kuchukua Nafasi za Watanzania. Suala lake la Sukari, Mnunuzi Mmoja wa PAMBA, huku wakulima wakizidi kua Masikini Hana namna ya Kulikwepa, Njia...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Polepole, POWER is invariably personal; there is no group power! Ilibidi umtaje anayeamrisha/anayebariki UHUNI kwenye CCM

    HAKUNA GROUP POWER , hasa kwenye nchi zetu hizi za kishenzi! CCM inapokuwa kweye vikao, kuna mtu yuko juu. Kila member humo, particularly vinavyoendeshwa na Samia, kila mshiriki anaangali mdomo wa rais unacheza vipi, naye anafuatisha humo humo. Au anamtuma mtu aweke agenda inayomhusu na...
  5. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Polepole amesema CCM ni chama imara, kitashinda uchaguzi mkuu kwa kishindo

  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Polepole kufukuzwa CCM; nafasi yake kuchukuliwa na Mbowe

    Dar es Salaam: Habari za chinichini zinapenyeza kuwa uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) upo mbioni kumfukuza na kumfuta uachana Mh Balozi Humprey Polepole na pia kumuondolea hadhi ya ubalozi. Hayo yanajiri wakati mwanachama huyo nguli wa CCM akiitisha mkutano na waandishi wa habari kwa njia ya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tufanye summary ya mkutano wa Polepole: TAKE-HOME MESSAGE ni (z)ipi

    Core message Polepole would want his listerners /Tanzanians to retain 1. Ukiukwaji wa katiba na taratibu za CCM..............fomu moja ya "mgombea" (hajamtaja
  8. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Press ya Kwanza ya Polepole: Amevuta ushawishi, ameweza kujenga hoja, amefungua mjadala

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Polepole ameweza kufanya press yake ya kwanza na kwa hakika mambo matatu muhimu amefanikiwa kuyafanya. Jambo la kwanza Polepole amefanikiwa kuvuta ushawishi wa maelfu ya watu kupitia mitandaoni kumfuatilia. Huenda huu ni ushindi mkubwa sana kwake kisiasa...
  9. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa press ya kwanza ya Polepole: Amevuta ushawishi, ameweza kujenga hoja, amefungua mjadala

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Polepole ameweza kufanya press yake ya kwanza na kwa hakika mambo matatu muhimu amefanikiwa kuyafanya. Jambo la kwanza Polepole amefanikiwa kuvuta ushawishi wa maelfu ya watu kupitia mitandaoni kumfuatilia. Huenda huu ni ushindi mkubwa sana kwake kisiasa...
  10. JamiiForums Tanzania Sijaridhishwa na mkutano wa Comrade Polepole

    Nimeangalia kwa umakini sana, Ila sijaridhishwa kabisa na mkutano wake. Mimi sio mwanasiasa ila sijajua point yake kubwa ya kufanya vile ni nini? Hana mpangilio na anachozungumza, ni kama alikuwa anatoa kinyongo. What was the point? Kisha mwisho maamuzi yake ni nini? Aliyeelewa anipe anieleweshe.
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkutano wa Polepole na waandishi wa habari wasababisha Mitandao yote ya kijamii kuzimwa na mamlaka nchini Tanzania

    Hivi Polepole ana taarifa au siri gani za maovu ya watawala zinazowatetemesha kufikia hatua ya kuzima mawasiliana nchi nzima
  12. JamiiForums Tanzania Polepole apuuzwe, tuliosoma naye tulimuita Polisi/Usalama

    Tuliyesoma naye pale Azania tunamjua, kazi yake kubwa ilikuwa unoko kwa waalimu. Kazi yake ilikuwa kuhakikisha anareport mambo wanayofanya wanafunzi. Hana usafi huo, ila hapendi kuona watu wanafanya mambo Yao kwa utulivu, so unoko na uchochezi ndo anachojua. Apuuzwe tu
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Kuna watu wanaodhani wao ni wana-CCM zaidi ya Mwl. Nyerere, wajiangalie sana

    Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amesema ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakuna utamaduni wa kuvuana nguo hadharani, bali kuna utamaduni wa kukosoana kwa lengo la kujenga chama. "Tunakosoana kwenye vikao" haipaswi kutumiwa kuzuia wengine kutoa maoni yao waziwazi...
  14. JamiiForums Tanzania Polepole ni mhuni na mwenye wivu sana,apuuzwe

    Huyu jamaa anajiona yeye ni genius sana. Ana chuki za waziwazi na Rais Samia, anaona wivu Rais Samia kuwa Madarakani. Nashauri apuuzwe kwa nguvu zote.
  15. JamiiForums Tanzania Polepole alishwahi kushika ngazi za juu Kabisa za uongozi kwa hiyo kuna mambo ya Sirini hawezi kuyasema kama mnavyofikiria

    GT Kwanza tujupongeze sisi sote tulioweza kumsikia mhe polepole mwanzo mwisho. Japo maCCM walijaribu kupambanana na technology tusimsikie lakini tuliyapiga knock out. Ndugu zangu kumbukeni Mhe polepole alishwahi kuapa kwamba atailinda na kuitetea katiba ya JMT lakini pia hatatoa siri za...
  16. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole karusha kijembe Kwa Nchimbi kukumbatia wahuni?

    Akiongea Kwa tahadhari Polepole kasema si sawa CCM kuwakumbatia wahuni. "Unasikia watu wanafanya uhuni halafu wewe unakwenda kuwakumbatia na kusema "Hawa ni rafiki zangu" Kauli kama hiyo iliwahi kutolewa na Emmanuel Nchimbi dhidi ya Paul Makomda na Mrisho Gambo wakati Nchimbi alipokuwa Arusha...
  17. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Polepole amesema twende tukashiriki uchaguzi mkuu kwa utulivu na mshikamano

  18. U

    JamiiForums Tanzania Balozi Polepole umeheshimu dira ya taifa ukaahirisha mkutano ila umekosa kuheshimu Ijumaa siku ya Ibada kwa Waislamu? Ungechagua siku nyingine

    Omba radhi Kiongozi kwani umekosea ulipaswa kuheshimu siku ya leo ya Ibada kwa Waislamu na ungelifanya press yako siku nyingine Umuhimu wa siku ya leo ni mkubwa sana kuliko dira ya aifa. "Bora ya siku uliyochomozewa na jua ni siku ya Ijumaa, ndani yake ameumbwa Adamu-Amani imshukie-na...
  19. JamiiForums Tanzania Polepole hawezi kukemea utekaji na mambo mengine ya kihuni ya serikali ya sita. Maana yote yanayotendeka sasa yalitendeka pia 2015-2021

    Atazunguka zunguka tu kutaja mchakato wa mgombea wa Urais na mchakato wake but hawezi kugusa mambo mengine. Mambo mengi ya hovyo ya kipindi hichi ni reflection ya kipindi cha Magufuli ambacho Polepole alikuwa mezani akila pamoja na Rais Magufuli. Hazungumzii jinsi wapinzani wanavyonyimwa haki...
  20. JamiiForums Tanzania Muhtasari wa mkutano wa Humphrey Polepole

    SUMMARY YA PRESS YA POLEPOLE @AbroadTanzania 1. Pole pole amemkataa Mgombea wa CCM Ataja kikwete kuvuruga mchakato, asema Utaratibu ulivunjwa, ataka wagombea wawe wengi siyo mmoja. 2. Asema SERIKALI ya Samia ni Kama Nyumba ambayo haina mwenyewe hakuna mwenye kauli ya kimamlaka. 3. Asema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…