polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Deep State: Dhana Yake, Namna Inavyofanya Kazi

    Hivi karibuni, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amezua mjadala baada ya kudai kuwa ndani ya CCM kuna “mtandao” unaodhibiti mchakato wa uteuzi wa wagombea urais. Anasema mtandao huu umekuwa ukijitokeza mara kwa mara tangu mwaka 1995, na mara nyingine hufanikisha...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Ukimvamia Polepole kichwa-kichwa utakuwa umejichanganya

    1. Huyu dogo kashajitoa akili yaani ukimjibu tu wewe ndio unakua Topic. 2. Mwenyewe hapa kada ila daah namuogopa huyo jamaa yenu, anabagaza sio poa. 3. Ni vema kwenda nae taratibu mpaka atakapoishiwa pumzi akamatwe, ahukumiwe tujue moja. Tumeshachoka. 4. Sema HP kama anatupanga vile. Anaonekana...
  3. JamiiForums Tanzania Ukimya wa Zitto Kabwe na wenzake dhidi ya kauli ya Polopole wanaCCM "kuijua ACT WAZALENDO" ni ngumu kumeza

    Pole pole anauliza Samia anajiskia amani kugombea uraisi na luhaga mpina wa ACT WAZALENDO kwani wanaCCM hawajui Act?😂😆🤣 Nmeanza kuamini zito na Act WAZALENDO ni vishikwambi vya CCM aise. Yawezekana ACT ni TAWI la CCM na kila Mwaka wa uchaguzi CCM ndo wanapanga nani agombee baada ya kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole, Kesho Rais Samia atachukua fomu, je, harakati zako zina tija CCM sasa?

    Kwa wehenga wenzangu tuliohitimu kidato cha nne miaka ya 2000 mtaikumbuka riwaya ya Things fall apart ya Chinua Achebe. Hii ilikuwa ni riwaya ya kiada katika somo la English Literature kwaajili ya mtihani wa Taifa wa kidato cha nne. Kutoka katika riwaya hii nitanukuu maongezi ya wahusika wakuu...
  5. JamiiForums Tanzania Polepole: Kujitokeza hadharani kwenda kumzika rafiki yake Ndugai?

    Siku za hivi karibuni Ndugu Humphrey Polepole amejinasibu kuwa alikuwa na ukaribu sana na ndugu Ndugai na kwamba kuna nyakati walikuwa wanaitana wanashauriana mambo ya sirini. Na hata Ndugai aliposhinikizwa na Bi. Mkubwa ajiuzuru, waliwasiliana na wakapanga mipango ya kuzungumza sirini akienda...
  6. JamiiForums Tanzania Tukiwaambia kuwa enzi za Magufuli na Polepole nchi ilikuwa totally crazy muwe waelewa. Haya hiki ni nini?

  7. Z

    JamiiForums Tanzania Huyu polepole mbona anadharua mbaya sana kwa binaadamu wenzake?!

    Eti kwa dhihaka kabisa anahoji Salum Mwalimu kugombea nafasi ya Uraisi, pia anamdhihaki eti Luhaga mpina kugombea nafasi ya uraisi kupitia ACT!! Yaani anawaona kama vile sio watu wenye sifa. Huyu jamaa kweli anajielewa?
  8. JamiiForums Tanzania Nina mashaka na akili za Watanzania wanaomshabikia Polepole

    Awamu ya 5 ilikuwa na comedy sana. Kwenye hoja yake ya kumshauri aache kugombea Urais pamoja na Salum Mwalimu wa ACT na Luhaga Mpina wa CHAUMA maana yake ni kwamba Samia akafanya udikteta kumminya Lissu mpinzani wa kweli kabisa ili akaokote Urais kwa vitawi vidogo vya CCM kama ACT na CHAUMA...
  9. JamiiForums Tanzania POLITICAL BATTLE MAP: POLEPOLE vs Samia, wanamtandao na wahuni.

    POLITICAL BATTLE MAP: POLEPOLE vs RAIS Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Katika hili vita ambavyo Polepole ameianzisha. Acha tuone Tamani ya pambano la kisiasa baina ya Polepole Vs Rais. Tuone njia na mbinu, rasilimali zitakazotumika, na hatma ya pambano hilo. Nani ataibuka kidedea; Tunaanza...
  10. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole, Rais akihitaji muongee ana kwa ana Ikulu upo tayari?

    Ndugu Polepole, Salaam! Tangu ujihuzuru nafasi ya Balozi huko Cuba umekuwa na mlolongo wa ushauri kwa Rais wa Tanzania na watanzania. Ushauri huo umefuatana na baadhi ya malalamiko ktk maeneo kadhaa, ikiwemo:- (a). Uchaguzi ndani ya CCM; (b). Haki za kibinadamu; (c). Kalenda ya Uchaguzi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Fatma Karume amemuita Polepole ni msaliti na mnafiki mkubwa

    Wakuu hii ni kweli ?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Polepole kuongeza nguvu kwenye jitihada zilizokuwapo, ukombozi unakuja, saa imefika, Mungu ameruhusu!

    Ashukuriwe Mungu wa mbinguni bwana wa majeshi kwa kutupenda mno sisi hata ikampendeza machungu yetu hatimaye kufikia mwisho labda tena kwa salama. Tulipo hatuko mbali na tunakopahitaji yaani kwenye Tanzania ya haki. Haipo siri Tena, adui zetu wànajulikana vyema zaidi. "Wapumzike kwa amani...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole amshauri Rais Samia asichukue fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 2025

    Kada wa chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole hii leo Agosti 08, 2025 amemsihi Rais Samia Suluhu kutochukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku akihoji anataka kwenda kushindana na Salum Mwalimu wa CHAUMMA, "Unataka ukagombee na Salumu Mwalimu wa CHAUMMA ndio...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kuna mtu alikuja kuniambia kuwa kiongozi wa awamu ya 5 atakufa

    Leo kwenye muendelezo wa mawasilisho yake huko mitandaoni Ndugu Humphrey Polepole amesema kuwa wakati wanakaribia uchaguzi mkuu 2020 kwenye kazi yake ya kusikiliza wananchi kuna bwana mmoja alimfuata akamwambia kuwa kuna watu wanapanga kumuua Rais wa wakati huo! Anasema alipeleka ujumbe huo kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Tuwekeni hapa Summary ya Polepole ili watu waelewe

    Naanzia hapa na kila ukiweka update tutaipandisha hapa kwa faida ya wengi na kwa faida ya RAIS wetu mpendwa 1. Mwenyekiti amezungukwa na wana mtandao ambao wana maslahi binafsi 2. Mwenyekiti amuachilie Huru Lissu ili awezxe kuungana na familia yake 3. Kuna mastermind kwenye Kifo cha Magu 4. Kuna...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Polepole: "Offspring" (mtoto) wa mwanamtandao ambaye ni waziri anazunguka nchi hii kugawa fedha kwa ajili ya uchaguzi wa 2030

    Leo katika mazungumzo yake na wananchi, Polepole ameeleza kuwa wahuni wameanza kuzunguuka nchi hii na kugawa fedha kwa ajili ya uchaguzi wa 2030. Akasema mmoja wa wanaofanya hivyo ni mtoto/offspring wa Mtu mzito sana ndani ya Wanamtandao. Hii ngoma ni hatari sana.
  17. JamiiForums Tanzania Mnaotajwa na Polepole jitokezeni mseme neno kama ni kweli au ni uongo tu

    Kama mtu akikutuhumu na kurudiarudia kuisema tuhuma hiyo mara nyingi kunaweza kutokea mambo mawili, ama watu kumpuuzia na kumuona chizi au watu watamuamini anachokisema na kumuona shujaa. Hasa pale ambapo anaetuhumiwa hata jitokeza kujitetea, kukanusha, kusema ukweli ni upii au kumpeleka...
  18. JamiiForums Tanzania Angalizo kwako polepole. Usiudhulie mazishi ya ndugai

    Unatuaminisha kuwa upo Tanzania. Ila ukweli ni kwamba hapo Tanzania ila kama upo Tanzania usijaribu kUshiriki mazishi ya ndugu ndugai Ukifanya ivo ndio itakuwa safari yako ya mwisho wa maisha Usijaribu kabisa utapotea.
  19. JamiiForums Tanzania Tumeshachoka sasa na hizi... Polepole atazungumza na Taifa saa fulani......kwani zinaboa na anaboa vile vile

    Atupumzishe tafadhali Watanzania ili tupige Kazi tupambane na Maisha. Kama ana Bifu na Rais Samia mwambieni aombe kukutana ili wakamalizane. Tokea nianze kusikiliza Ngonjera zake sijaona lenye maana. Mwambieni tumechoka na tumemchoka. La muhimu Kwetu ni Lissu kuachiwa.
  20. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole atazungumza na umma leo Agosti 08, 2025 saa sita mchana

    Wakuu, Taarifa kutoka ukurasa wa Polepole Instagram == Usikose itakuwa saa 6:00 Mchana tutakuwa LIVE Facebook, YouTube, Instagram na TikTok. Nitasema jambo moja kubwa! Wale Vijana wakata swichi tambueni mnawatengenezea chuki Viongozi wetu, washaurini kwa unyenyekevu na kitaalam waambieni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…