Salaam!
Tanzania nchi ya amani sana, yaani tumekutana hapa njiani, hatufahamiani, lakini tunajadili press ya Leo bila woga wowote.
Tumejaribu kuulizana wapi hasa alitokea Mh Polepole, alizaliwa wapi, wazazi wake kina nani, ni mtu wa wapi, Kila mtu asema lake.
Mtu mmoja hapa amedai kuwa...