polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Polepole: Mpinzani wa kweli wa CCM ni CHADEMA, unakuwaje na amani kwenda kwenye uchaguzi Tundu Lissu yupo jela

    Mpinzani wa CCM wa kweli, ukiacha wakati wanakichakachua ni chama hiki cha CHADEMA, wafanye watakavyoweza viongozi waruhusiwe, wafanye kazi ni haki yao. Kiongozi wao yuko jela, unakuwaje na amani kwenda kwenye uchaguzi wakati mpinzani wako na kiongozi wake kuu Bw. Tundu Lissu yupo jela. Hii...
  2. GE2025 Polepole: Watanzania msikubali kwenda kwenye uchaguzi mpaka madai ya msingi yafanyiwe kazi

    "Chama chetu kimetekwa, lakini bado tunaendelea kuwatia moyo hasahasa mwenyekiti wetu afanye mageuzi makubwa ya Chama cha Mapinduzi, atuondolee kundi la wanamtandao kisha atuwekee mchakato mpya kwa kupata wagombea wapya wa Chama Cha Mapinduzi. Wahuni wamejimilikisha chama, wamewashika viongozi...
  3. Polepole ni mhuni kama wahuni anaowatuhumu uhuni au tunafanyiwa machezo?

    Katika kutaka kujijengea umaarufu nchini, Humphrey Polepole alikuja na dhana ya wahuni. Japo alijitahidi kuifafanua dhana husika, hakufanikiwa. Kinachogomba ni ukweli kuwa wengi wa 'wahuni' anaojitahidi kuwaanika mbele ya umma ni wale wale aliokuwa nao kabla ya kuona kitumbua chake kikiingia...
  4. Ni wazi sasa Polepole yuko kwenye mapambano rasmi

    Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well...
  5. Polepole: Mungu akituvusha, turekebishe viongozi wastaafu washtakiwe

    Humphrey Polepole amesema "Mungu akituvusha, turekebishe sheria ya viongozi wastaafu washtakiwe iondoke, hawa watu waanze kujibu tuhuma na matumizi mabaya ya madaraka wakati wako madarani"
  6. Polepole - kwa mazingira haya tukatae uhuni Tanzania

    Link Down Below https://www.youtube.com/watch?v=tcNQ0ZEdV8c Rostam Aziz anamiliki hisa katika kampuni kadhaa zinazojihusisha na uchimbaji madini ya makaa ya mawe, hasa kampuni yake ya Taifa Mining and Civils ambayo ilinunua hisa za kutosha katika Mgodi mkubwa kabisa nchini wa TANCOAL, kutoka...
  7. Matusi ili yanoge mpaka usiku hapa Polepole ukileta mada usiku naona CCM wanachanganyikiwa

    Kuna mzee mmoja idara nyeti anakwambia usiku wanapata shida sana kuhusu Polepole sababu spana za usiku zinanguvu kuliko mchana. Wengine wanashinda Bar na ofisi na mbwa kutafuta wataokoa vipi uchi wao. DMZ ndio sheria. ONGEZO: kuna msululu wa vifo wambao sitaki kujua ila wananchi msipo shupaza...
  8. K

    HAYA YA POLEPOLE KUWA MIFUMO YA NIDA, INEC NA CCM INASOMANA. JE NI YA KWELI?.

    Nimeona mjadala huu ukishika kasi ya kutisha. Mimi siyo mtalaam wa IT. Kwa wale walio na ujuzi wa masuala haya ninaomba mnipe elimu jinsi mfumo huu unavyoweza kusomana na athari zake kwa wapiga kura. Nawasilisha.
  9. INEC yamjibu Polepole, yasisitiza uhuru wa mifumo yake ya uchaguzi

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (INEC) imekanusha vikali madai yaliyotolewa naaliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, ambaye pia ni kada Chama Cha Mapinduzi (CCM), aliyejitokeza hivi karibuni kukosoa mamlaka. Polepole, katika mazungumzo yake yaliyofanyika usiku wa...
  10. Ndugu Polepole Scandal inaweza kuwa na mwelekeo wa Watergate Scandal ya Washington Post?

    Ndugu Polepole ana hekima kubwa sana hata Mimi sina,alianza kuongea kama mwezi umepita kaeleza kwa kina kaonana na wasaidizi wa Rais wote kawaambia yoote,kaonana na Wakurugenzi wa Usalama wa Taifa wote,kawaambia yoote,kamwandikia Mh Rais barua hajapata majibu yoyote na yoote aliyowaambia...
  11. K

    GE2025 Tuhuma za Polepole zimenikumbusha hotuba ya Lissu ya kufunga kampeni 2020

    Wakati akifunga kampeni za CHADEMA (siku moja kabla ya uchaguzi) kwenye viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe; Lissu alisema kuwa matokeo ya uchaguzi wa urais yameshapikwa. Akadai kwamba amedokezwa na watu walio ndani ya mfumo kuwa Magufuli atapata kura milioni 12 na wengine wataambulia kura...
  12. Proved: kumbe ni AI bwana si polepole, chadema kama mnaweza kuamini hata Midori basi viongozi wakuu wa chadema wajitathimini.

    Nashangaa viongozi wa chadema wamekunja ndita wanaamini ni Polepole kumbe ni akili mnemba (AI)🤣 eti wanasema "Tumekusamehe" be serious, tulitegemea kauli ya katazo ya kutofungamana na upotoshaji wa AI Kama ambavyo vyama vingine vya Upinzani makini vimefanya. Inakuwaje chadema inakuwa na...
  13. K

    With reference ya hii message kutoka ccm,nadhani ndugu polepole yuko sahihi kuhusu integration ya mifumo ya ccm,nida na inec.

    Mimi ni mwanachama halali kabisa wa ccm,niliomba kubadilishiwa kadi yangu iwe katika mfumo mpya. Mwezi july walinitumia ujumbe kuwa kadi yangu iko tayari,wakaniambia niende na kadi zangu za nida na inec.ingawa bado sijaenda kuichukua ila niliwaza mara mbilimbili hizo kadi zangu wanazitaka za...
  14. Z

    Je? Polepole anatumiwa na kanisa kuwachafua viongozi wetu?

    Ni swali linalo ulizwa na watu wengi wengi, je polepole anatumiwa na nani kuichafua Serikali ya dkt Samia pamoja na viongozi wakuu wastaafu? Je polepole anatumiwa na kanisa au ni yeye mwenyewe? Sitaki kuamini kama kuna baadhi ya viongozi wa kanisa wanamtumia huyu polepole kuwachafua...
  15. Njia ya Haki ni njia ya Ndugu Polepole na njia ya Ndugu Polepole ni njia yetu sote

    Anayepita njia ya haki tutamfuata na kumsikiliza,kwa maana njia ya haki ni njia ya Mungu,kwa anayoyaongea Ndugu Polepole ni haki ya Watanzania ambayo imeporwa hivyo basi tutamuunga mkono Ndugu Polepole kwenye njia ya haki.
  16. Bila kumsikiliza Ndugu Polepole siku haiishi

    Ishakuwa tabu tena bila kumsikiliza Ndugu Polepole,siku yangu haijaisha naona kama sijala chakula naona kama vile sijapewa faraja naona kama vile jua halijaangaza,hata usingizi hauji,Mungu akulinde Ndugu Polepole,njia yako ni njia yangu.
  17. Mamalaka kumjibu polepole kwa sasa ni sawa na kuzima moto kwa mafuta ya taa haya sasa NEC Jibuni na hili

    GT Sitaandika sana sikilizeni wenyewe
  18. Hatimae Polepole ajibiwa na wana Arusha, kula chuma hichoo

    Arusha miaka kadhaa nyuma ilikua ngome ya chadema Leo hii ni ccm damudamu Fullstop, kwishaaaa
  19. Watanzania hawawezi kupuuza alichokisema Polepole juu ya mifumo ya INEC kuchakachuliwa maana hata yeye alishashiriki haya maovu

    Mtu wa ndani kabisa ambae kila mtanzanzania anajua alishakuwa Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM. Hivyo ni dhahiri alishashiriki uovu aliouweka wazi Alafu wanaibuka viongozi wa Inec na Nida wanasema apuuzwe. Ni wazi kuwq anafahamu na ana uhakika kuww mfumo wa Inec unaingiliwa na watu wenye nia ovu
  20. M

    Media za Bongo mnaandikaje utetezi wa INEC na NIDA wakati hamkutuhabarisha kilichosemwa na Balozi Polepole?

    Wasaaalamu Kama kichwa cha habari kinavyojieleza inakuwaje media za kibongo zinatupa habari za NIDA na INEC wakati hazikutuhabarisha habari zilizosemwa na Mheshim8wa Balozi mstaafu Humphrey Polepole??? Hii imenifanya nikumbuke Former President H E Benjamin Mkapa (rip)alivyowahi kusema hakuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…