polepole

Humphrey Polepole is a Tanzanian politician serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary and Member of Parliament appointed by President John Magufuli. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district for five months and earlier Polepole also served as District Commissioner for Musoma District for two months.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Polepole tumia mwanya huu kupiga pesa za Watanzania. Mange aliona fursa akaitumia sasa kawa tajiri

    Watanganyika wana sifa kuu kadhaa zikiwemo hizi: 1. Kusahau mapema 2.Kutokumjua adui au rafiki wa kweli. 3. Kutokujua kuchakata habari (low IQ) 4.Kupenda habari za kuumiza mioyoni mwao. 5. Roho mbaya (roho ya kichawi (furaha yao huja kwa matatizo ya wengine Magufuli alijua hilo nambari 4 na 5...
  2. JamiiForums Tanzania Polepole amefanya nimwelewe Magufuli

    Wakati akiwa hai nilikuwa namuona John Pombe Magufuli pamoja na kutaka aonekane mzalendo, niliona kuwa ni mtu asiye na nia njema Kwa Taifa letu na mtaka sifa. Lakini baada ya Polepole kuelezea mambo mengi yaliyokuwa yanafanyika nyuma ya pazia, sasa nimeanza kuelewa kuwa Magufuli alikuwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Tumsikilize Polepole, lakini tusisahau mambo haya

    TUMSIKILIZE POLEPOLE, LAKINI TUSISAHAU. Enzi zile za Magufuli, Watu kama Jakaya walionekana ni Watu wazuri sana. Kwa sababu Jakaya alikuwa nie ya Mfumo ambao 'ulichukiwa na wengi na kupendwa na wengi (walionyimwa fikra). 👉 "Bora enzi za Jakaya", Ni Kauli ambazo ungezisikia huku na kule. Naam...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Polepole ni "double agent" wa CCM mjihadhari nae

    Siyo wa kwanza kufanya kazi hiyo kuna kina Mtikila,Slaa, Mbowe, Sumaye, Mrema, Zitto, Lowasa, Kingunge, Rungwe, Lissu,nk. Mapinduzi ya kweli kwa watanzania yatatoka kwa VYAMA VYA WAFANYAKAZI na WAKULIMA watakapochoka siyo kwa wanasiasa na viongozi wa dini kwani wao ndiyo wafanyabiashara na...
  5. JamiiForums Tanzania Mwaka 2016-2017, Lissu bila kujua alitumika na “CCM mtandao” kumhujumu Magufuli

    Zile kesi mbalimbali zilizokuwa zinaibuliwa na Lissu , pamoja na mabeberu zilikuwa hazitokei bure. Ni wanamtandao walikuwa wapo nyuma ya huu mchezo. Na moja ya Wanasiasa wa upinzani waliokuwa wakitumika kumuhujumu JPM ni Lissu. Ipo hivi, Wanamtandao walikuwa wakimpa mafaili Lissu , ili...
  6. JamiiForums Tanzania Sijui kwanini Magufuli alilivunja jengo la TANESCO-Ubungo, pengine Polepole atujuze!

    Jengo la Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limeshawekwa alama ya X ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli kulibomoa kupisha barabara za juu (Tazara Fly-Over). Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) Mkoa wa Dar es Salaam, Ndyamukama Julius alisema jana kuwa pia, wametoa...
  7. JamiiForums Tanzania Hata kama wakishinda uchaguzi Polepole ameanika wazi uchafu wa CCM

    Njama za kumuua hayati JPM Makada wa CCM kuhusika na ufisadi. Mfano Angela Kiziga. Kuporomoka kwa maadili Wizi wa kura kupitia Inec na Nida Ukweli ni kuwa CCM imechafuka amidst election campaign
  8. JamiiForums Tanzania Kamba za Polepole: Kama Membe alipatikana na hatia za kupanga kumuua Magufuli, kwanini hakushtakiwa kwa kosa la jinai, akafukuzwa tu CCM?

    Pole pole anadai membe alipatikana na tuhuma hizo nzito, tena dhidi ya JPM ambaye alikuwa hafikiri mara mbili. Eti kwamba alipanga kumuua, imagine upange kumuua JPM, ajue halafu akufukuze tu CCM akuache mtaani wakati Ben Saanae aliuliza tu kuhusu PhD pole pole akamuondoa juu ya uso wa nchi Pole...
  9. JamiiForums Tanzania Anayoyaongea Polepole ni kwa maslahi ya nani na kwa nini?

    Nimekuwa nikimfuatilia huyu mtu,ni dhahili Polepole anatumika na kundi fulani lakini je kundi hilo ni kwa ajili ya nini na inalenga nini? Sioni dhamira anayoilenga huyu mtu,bali matamko na codes zake zinalenga kuichonganisha serikali na vitengo vyake jambo ambalo sisi wananchi hatulitaki. Huyu...
  10. JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM wakikutana na Polepole kitatokea nini?

    Nawaza jinsi ninavyoziona hasira za vijana wa CCM dhidi ya Humphrey Polepole, Hawa vijana kwa bahati mbaya wakutane na Polepole mtaani, kitatokea nini?
  11. JamiiForums Tanzania Huenda Polepole ndiye kijana mTanzania wa hovyo zaidi na aliechafua zaidi taswira ya vijana katika utumishi wa umma tangu tupate uhuru

    Kwanza amewatia aibu na kuwaaibisha sana vijana wote Tanazania kwa kukosa utii na kugeukia unafiki na umbea ambao hauna maana wala faida yoyote.. Pili, Ni wazi utovu wa nidhamu wa Hamphrey Polepole utawakosesha vijana wengi fursa za kuaminiwa na kupewa nafasi za kulitumikia Taifa lao katika...
  12. JamiiForums Tanzania Polepole naamini kuna kitu anakijua kuhusu kilichompata Lissu

    Ukiachana na SAGA za kundi mtandao na arithmetic equation ya Nida+Inec +ccm, kuna kitu polepole atakuwa anakifahamu kuhusu shambulio la TAL2017. Itoshe kusema kwamba nimemsikiliza BETWEEN THE LINES , kwa jinsi anavyogusiagusia kwa juu juu Chadema, ni kama kuna kitu kinamkaba koo kuhusu...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Polepole ni faraja kubwa sana kwa Lissu alieko Jela kwa tuhuma za mchongo

    Naamini Lissu ana taarifa zote za yanayoendelea huku nje japo yeye yuko behind bars kwa tuhuma zisizo na kichwa wala migiu zaidi tu ya watu kutumia vibaya madaraka yao. Hata hivyo, watesi wa Lissu nao kwa sasa wanapita kipindi kigumu japo wanakula na kula pazuri lla ukweli ni kwamba hawana...
  14. JamiiForums Tanzania Polepole, Sio kila blunder wakati wa utawala wa Magufuli wakalaumiwa mtandao; hii ni kufanya watu ni wajinga na vilaza

    MPAKA SAHIVI NAAMINI HARAKATI ZA POLEPOLE NI ZA KIMASLAI ZAIDI NA SIO KWAMBA ANA-UCHUNGU NA NCHI HAPANA KWANINI ZIANZE TU BAADA YA SPONSOR (MAGUFULI) WAKE KUFARIKI Moja ya mambo ambayo kutoka kwa polepole binafsi siyapendi ni kujaribu kuonyesha hali wakati wa Magufuli ilikuwa ni nzuri sana...
  15. JamiiForums Tanzania Na wewe umechanganyikiwa au tusikilizie kidogo..?

    Sindano inachoma lakini ndo tunajifunza na ukiona mtu analalamika maisha magumu we mpige Kofi tu na oktoba tunatiki🤣🤣🤣
  16. B

    JamiiForums Tanzania Polepole: Siku ya uzinduzi wa kiwanda huko Morogoro kulikuwa na mazingira "strange". Je, hayo ni mazingira yapi?

    Polepole amendelea kutufumbua macho. Kumbe hata mamvi ilikuwa ni plan B ya watu wale wale! Kwamba Polepole kanusurika kutekwa akiwa chini ya uangalizi wa Jiwe? "Wanasomeka Polepole na Gwajima kuwa kuna serikali ndani ya serikali." Yote tisa haya mambo strange, anayodokeza Polepole yanaweza...
  17. JamiiForums Tanzania Ndugu Polepole, kumbuka kuwa Mwana CCM kumpinga mgombea wa CCM, unaitwa USALITI

    Ukweli waweza kuwa mchungu, lakini ndio ukweli hata kama hatuupendi. Na ukweli mchungu mojawapo kwa Balozi Polepole na wenzake, ni kuwa Dr. Samia ndio mgombea wetu wa urais. Mwalimu alituasa wana CCM, kuwa akishapatikana mgombea wa CCM, wana CCM wote lazima tumtetee. Katiba ya CCM imeenda mbali...
  18. JamiiForums Tanzania Huenda Polepole akaishi kwa kukosa amani bali kwa kujificha for fear of unknown maisha yake yote

    Ni huzuni sana, kwamba muungwana hatawahi tena kupata utulivu na amani moyoni mwake. Fikra za yuko wanted zitakua zikimjia mara kwa mara, ili hali hakuna mwenye haja nae. Ni wazi atakua akihisi umbea, upotoshaji, kusingizia wengine uongo na uropokaji wake, vinaweza kuwaudhi anaowachafua kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya hotuba ya Polepole, ghafla video hii ya Magufuli inatrend...

    Baad ya hotuba ya Humphrey Polepole usiku wa Jana, video hii ya John Pombe Magufuli imetrend Sana..
  20. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ni mpotoshaji suala la bei ya gesi

    kwa sababu bei ya mtungi wa gas Cuba si sahihi na anavyotamka yeye lengo lake analenga kushawishi siasa za kijinga 1. Bei ya gesi Cuba sio TZS 2,000/= kwa mtungi wa kilo 20. Hiyo bei imepunguzwa kupita kiasi ili kuonyesha tofauti kubwa na Tanzania. Kwa Cuba, serikali hutoa ruzuku kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…