pole sana

A Peace pole is a monument that displays the message "May Peace Prevail on Earth" in the language of the country where it has been placed, and usually 3 to 13 additional translations. The message often is referred to as a peace prayer.
The idea of peace poles was first thought up by Masahisa Goi in 1955 in Japan. The peace pole project today is promoted by The World Peace Prayer Society as well as other groups and individuals. The first peace poles outside Japan were constructed in 1983. Since then, more than 200,000 have been placed around the world in close to 200 countries.Peace poles are made of many materials; most are made of wood, while others are made of limestone, copper, plastic or stainless steel. The text might be painted, carved, etched, welded, pasted, or riveted on, or it might simply be a plastic plaque attached with screws. In other cases, it is the careful work of an artist or sculptor.
Sometimes the word prayer is avoided so that peace poles are not regarded as religious objects therefore violating zoning restrictions. For example, a Quaker group in New York City ran into this problem year after year, and did not get permission to plant a peace pole in a park. Some manufacturers refer to the wording as a Peace Message for this reason.Peace poles have been placed in such notable locations as the north magnetic pole, the Hiroshima Peace Memorial, the site of the Egyptian pyramids in Giza, and the Aiki Shrine in Iwama, Japan. Peace poles are commonly installed at high-profile public gathering places, such as community parks or near the entrances of churches or schools. In one case, a garden, created for a wedding, was designed around the peace pole that was its centerpiece. The Republic of Molossia, a micronation, has a peace pole in eight languages. The University of California, Los Angeles has a limestone peace pole with 14 languages directly in front of Kerckhoff Hall.
The initial inspiration for planting a peace pole often is as a response to a local historic hate crime, incident or issue. The world's second-largest peace pole, at 52 feet (16 m), is located in Janesville, Wisconsin, at the site of a 1992 KKK rally (Saturday, May 30). Another of the largest peace poles in the world, as measured in tons, is the granite peace pole in Beech Acres Park near Cincinnati, Ohio, inspired by hate literature left in the driveways of Jewish residents.
In September 2016, the World Peace Prayer Society and the Little Free Library project announced a collaboration to offer a new peace pole library structure. It features the standard peace pole message of peace – "May Peace Prevail on Earth" – in a six-foot library. Some of these new libraries were installed at locations significant to the civil rights movement, such as the 16th Street Baptist Church in Birmingham, Alabama.

View More On Wikipedia.org
  1. Pole sana Waziri Salum Rajab - kimekurambaaa!

    Wewe kataa kwenda Ubalozi. Danganya unataka kuendesha biashara zako binafsi (utaeleza ni biashara gani). Danganya pia kuwa unauguliwa na kaka yako. Ukiweza, wambie siafu (chawa) wako kuwa umeamua kujiuzulu. Tangu umefika ofisi kuu, umesababisha ujinga mwingi sana nchini. Umeumiza wengi...
  2. Makonda pole sana hakika hii ndo Arusha haina utofauti na Kigamboni!.

    Pole Sana Mkonda , hakika hawa ndo wajumbe .
  3. Byabato pole sana aisee !!

    nilikuwa offline Ila nimepata taarifa yule Kijana anajiita Byabato katoswa na sisiemu. Ikiwa kweli , namshauri arudi katika kazi ya zamani ya uwakili Hilo jimbo la Bukoba mjini hata uwape nini Kama hawakutaki ,hawakutaki.
  4. Mzee Makamba Pole sana

    Wakuu, Huyu Mzee wetu Makamba ni mnafiki sana alitubuana na Jiwe Kwa mambo yake ya Kuuma na Kupuliza Leo nimeona list ya watoto wa Viongozi wengi sana wakiwa wamependekezwa ili kwenda kupigiwa Kura na Wajumbe Kitu Kimenifurahisha Mtoto wa Mzee Makamba January Makamba wamemkata!!! Huyu Mzee...
  5. Israel Mwenda pole sana kumbe ulikuwa huwajui Yanga SC vizuri pamoja na Kufurahia Kwako kwenda Kwao kwa Kutuzodoa wana Simba SC?

    Nilipoona tu Siku ile Yanga SC inarejea na Kombe kutoka Zanzibar huku ukijifanya Wewe ni Dj na ukawa Unatuzodoa wana Simba SC hasa pale Msimbazi Street mlikopita nilijua tu baada ya hapo kuna Maumivu utayapata kwani Wazee wa Simba SC nawajua huwa hawana Masihara katika kutuma Makombora ya...
  6. R

    Pole sana Mpoto kwa kufiwa na mke wako, umezimia, Pole tena. Sasa fikiria akina Ben saanane et al wapendwa wao wanakuwa na hali gani! Pole

    Nakupa pole. Jikaze kama wengine wanavyojikaza. FIKIRIA MKE WA MDUDE AKIONA DAMU YA MUMEWE NA KUSHUHUDIA "AKIUAWA"
  7. GE2025 Pole sana Mrisho Gambo, nadhani umeona mwenyewe unachopanda ndicho utakachovuna. Karibu mtaani

    Gambo umejionea mwenyewe . Lema yupo na Access ya Canada Familia yake inaishi na watoto wanasoma ulaya . Ulimfanyia Figisu Akakosa ubunge Ukaharibu reputation yake But now it is ur time to reap ur karmic debt . Pole Sana , What you sow you shall reap. Hii ndo universe utamfanyia MTU ubaya...
  8. Ukitaka kua Rais TFF ama uongozi wa juu, lazima uwe na PESA pole sana ndugu yangu Ally Mayay

    Asalaam Aleykum TUSIDANGANYANE hapa ama kuzungukazunguka, kwenye uongozi wetu wa mpira wa miguu nchini umejaaa figisu na tumeshaamza kuziona ila ukweli ni kwamba kama huna PESA huwezi kukalia hivyo viti, bila pesa hizo endorsement utazipata vipi? Pole sana kaka yangu Mayay Ally, ni pesa tu huna...
  9. D

    PreGE2025 Pascal Mayala: Mateso ya kumuuliza swali Magufuli. "Niliumizwa, Kampuni yangu ilitolewa Sabasaba, Mikataba ikavunjwa. Sijapona hadi leo"

    Mwandishi nguli, Paschal Mayala akielezea aliyopitia baada ya kumuuliza swali Rais Magufuli lenye sehemu mbili, swali hilo lilihoji mamlaka aliyotumia Rais Magufuli ya kukataza mihimili mingine ya Serikali kusafiri na kukataza mikutano ya kisiasa ilhali mikusanyiko na uhuru wa kutoa maoni...
  10. Clatous Chota Chama pole sana na hao ndiyo Yanga SC ambao ulidhani kwenda Kwao ungetukomoa Simba SC iliyokujenga na kukupa Thamani Kubwa

    Ikifukie ya kwamba..... 1. Chama kafuta Picha zote za Yanga SC alizopiga 2. Chama kawabloku Waandamizi wa Yanga SC 3. Chama kazibakisha Picha zile tu alizopiga akiwa anachezea Simba SC 4. Chama sasa haongei sana na Wachezaji wenzake wa Yanga SC 5. Chama amekuwa Mpweke 6. Chama muda wake...
  11. Pole Sana Mama Janeth Magufuli pokea upendo na faraja ya umma wa Watanzania hata milele

    Hawa ndio wanadamu! Kipenzi chako na baba wa familia alikesha na mafaili wizarani na baadae ikulu na pengine aliwasahau kama wanafamilia kutokana na kujitoa kwake kama sadaka ya watanzania! Hakika usifadhaike ,usilie,usijute bali muombe Mungu sana. Wanadamu wabaya ndivyo walivyo...hawapendi...
  12. Pole sana ewe rafiki yangu mwema

    POLE SANA EWE RAFIKI YANGU MWEMA Yawezekana ulilala mwili tu ila akili na nafsi yako zilikesha zikiweweseka juu ya hilo jambo unalokabiliana nalo. Moyo na nafsi zimeinama Yawezekana ulilala ukiwa na maswali mazito yaliyokosa majibu, umeamka ukiwa na maswali yaleyale yasiyokuwa na majibu juu ya...
  13. Poleni sana wasaka ajira, msikate tamaa

    inasikitisha sana, ina uma sana, na kwakweli inatia huruma na kukatisha tamaa mno, lakini daima usichoke wala kukata tamaa. kumbe ni hali halisi ya maisha na ukosefu wa ajira, ndio inawachochea na kuwavutia kujiingiza katika hali hizo za fedhaha na aibu kubwa kiasi hicho. pole sana rafiki...
  14. Nawapa pole sana wazazi wenye watoto wa kike vyuoni hasahasa hivi vyuo vya katikati

    Salama kitu gani? Nimetoka kibaruani nimejichokea, hapa ndani ya mji mdogo wa Himo mara bila kutegemea naparamiwa na msichana ananililia, anaomba aokolewe mpenzi wake amelewa anampiga na marungu. Anaomba msaada nikamchukulie vitu vyake arudi chuoni Kilacha(chuo cha mifugo), jamaa ananifata...
  15. M

    Rais Samia umeingizwa mjini, hukupaswa kumwondoa Paul Makonda kwenye Uenezi

    Kumwondoa Paul Makonda kwenye uenezi umeharibu kabisa. Makonda anakubalika sana hata na baadhi wasio wana CCM, kwa hiyo angeweza kuvuta vijana na watu wengi sana. Makonda ana kipaji cha pekee cha kukubalika na watu. Mama, washauri wako wamekuingiza mjini na pengine yawezekana kwa maslahi yao...
  16. L

    Paul Makonda Ndiye Mwanasiasa kijana Mwenye ushawishi na Ujasiri Mkubwa Barani Afrika

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna wakati mwanasiasa kijana kutokea Afrika ya kusini Julius Malema alionekana kama ndiye kijana jasiri zaidi hapa Barani Afrika na ambaye alikuwa akilitetea hata Bara zima la Afrika hususani vijana wa ki Afrika, na kwa hakika wengi walitamani kuwa kama kijana huyo...
  17. C

    Pole sana Mwamposa baada ya kulikoroga Tanganyika packers na kukataliwa na Feza School ulipoambiwa uhamie jirani nao

    Tulikuonya kuwa acha dharau kutokana na utajiri wako wa kuwahadaa kimapumbazo waumini wako na kamwe usiwaamini hao viongozi waandamizi watatu wa serikalini wanaokupa jeuri kwani kuna siku utageukwa na hutoamini hukutaka kutusikiliza Mwamposa najua unaficha sana hii taarifa ili isienee wala...
  18. Madee my brother, pole sana kwa issue ya picha mbaya za binti yako

    Juzi niliandika Uzi hapa nikisema Mtoto wa kike anakuwaga mzuri sana kwa baba akiwa bado hajavunga ungo ila akisha vunja ungo anakuwa an alien to her daddy. Watoto wadogo waliniponda lakini watu wazima walikubaliana na nilicho kiandika. Hazijapita hata siku mbili tumeyaona ya mtoto wa Madee...
  19. Pole sana Kocha Mkweli, Mweledi na usiyepokea Rushwa Zuberi Katwila, tulijua tu usingedumu Ihefu FC kwa Kuchukiwa na Uliowaadhibu mara mbili Mbarali

    Uwezo wako tunaujua ni mkubwa mno na sababu kuwa Umeondoshwa Ihefu FC kama Kocha Mkuu na Kurithiwa na Mganda Kocha Moses Basena leo kutokana na Poor Performance ya Timu ya Ihefu FC ni Uwongo na GENTAMYCINE sikubaliani nayo. Kocha Zuberi Katwila ( Legend wa Msasani Magunia ) ukiwa na Maswahiba...
  20. Pole sana Haji Manara japo sasa uko Huru na Unajitahidi mno Kuinadi Yanga SC na Kujikomba Kwao, ila Wamekutosa Kiaina na Kukushtukia pia

    Najua tokea urejee katika Ziara zako nchi za Nje na kuwa Huru kutoka katika Adhabu yako na TFF ila kwa sasa umekuwa Ukiilaumu mno Yanga SC na hasa Kumlaumu Swahiba wako Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na usiulize GENTAMYCINE nimejuaje ila jua nimejua. ULIJIFANYA MJANJA ILA MCHEZO HUU...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…