plot

  1. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Plot for sale-Kibaha Zegeleni

    -Nauza Plots -Kibaha, Zegeleni. ziko Mbilil, zimeungana kilometa 7 kutoka lami(Kituo cha Madafu).zimepakana na kiwanda cha Kuzalisha Mayai. Jumla ya square meter 1388. Zina Hati Miliki ya Wizara. Bei; 7000 per sqm.(Mazungumzo yapo) Phone: 0752295954 Hakuna Dalali, Mimi ndo Mmiliki.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nauza plot, kibaha madafu/zegeleni. Km 5 kutoka barabara ya morogoro road

    NAUZA PLOT, KIBAHA MADAFU/ZEGELENI. KM 5 KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD. Huduma za jamii zimefika... Maji,umeme, hospital, Total area ni 1400sq meters. Ina hati miliki Vimepakana na Kiwanda cha kutotolesha/Kuzalisha mayai. BEI;8,700,000TSH Anayeitaji nicheki 0762295954
  3. Bobldi

    JamiiForums Tanzania Plot for sale Arusha njiro

    Kiwanja kiza uzwa Arusha njiro mkono kina Square meter 1080 kipo karibu na barabara na huduma zote zaki jamii kwa mawasiliano zaidi tupigie 0623869717
  4. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wapenda beach plot.

    Kwa wale tunaopenda kujenga pembezoni mwa ufukwe wa ziwa ama bahari tuchukue tahadhali. Jana habari fukwe za Afrika kusini zilivamiwa na mavimbi makubwa sana ya maji na kuharibu mali kwa kiwango kisichoelezeka. Tukumbuke pia mwaka 2020 mvua ilinyesha ikavunja rekodi ya kiwango cha juu sana cha...
  5. Franchesco1346

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vya ufukweni vinauzwa katika mradi wa Kaole Beach Plots, Bagamoyo

    🏖️ Kaole Beach Plots Project! Je, Unataka kuwa jirani na bahari? Mradi wa Viwanja Kaole Beach Plots unakusubiri! Eneo lipo mita 500 tu kutoka baharini, Bei ni TZS 13,000/= kwa mita ya mraba. Huduma zote za kijamii zinapatikana, ikiwa ni pamoja na maji, umeme, na barabara. Mradi wa viwanja 48...
  6. tpaul

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba na plot vinauzwa

    Mali inayouzwa: Nyumba ya kupangisha yenye jumla ya vyumba 3 na nyumba moja kubwa ambayo bado ujenzi wake unaendelea. Ukubwa wa plot: futi 100*50 (465 sq metres). Mahali: Chamazi, karibu na Azam Complex. Inafaa kwa: Makazi na/au biashara Contact person : 0693 750 391/0711 751 197 (Mr Ngunga)
  7. THOMASSILAA

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, kipo Boko Kalifonia

    Wanandugu KIWANJA KIPO SOKONI (40 urefu kwa 22upana) Sifa ya kiwanja 1. Kipo sehemu nzuri, karibu na Barabara ya mtaa ya gari na pikipiki 2. Hakipo mbali na Barabara kuu ya lami yaani itokayo huko BUNJU KWENDA HUKO MWENGE NA MAKUMBUSHO utaona mwenyew ukiwa eneo la tukio au tazama picha chini...
  8. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania In a bid to end US hegemony, top Arab leaders including Saudis and Iranians are meeting in China to plot ‘end’ of American global dominanance

    In a bid to end US hegemony and bullying,top Arab leaders including Saudis and Iranians are meeting in China to plot ‘end’ of American global dominance.While nations are now openly challenging US hegemony and bullying,Tanzania is coming closer to the American Empire of Lies and Evil.This is...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale 1 acre plot for sale at Kigamboni town

    Plot for sale at Ungindoni Kigamboni, located 200 meter from main road. ideal for commercial and residential investment. Asking price ; 380M Tshs. for more info contact; +255 712 347 749 +255 746 474 849 Ungindoni plots
  10. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kimbiji, Kigamboni

    👉 Viwanja Kigamboni Kimbiji 👉 Mashamba tambalale Kwa ufupi. Eneo la ekari 3.5 beach area Lipo mkoa wa pwani Kisiju Karibia na bandari ya Kisiju Kituo ni Sotele Km 87 kutoka City Center DSM Bei ni milioni 12. (Negotiable) +255746 474849 Update** Heka zaidi ya 100 zinauzwa kisiju wilaya ya...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji plot ya kununua Moshoni - Arusha

    Habari gani wanazengo? Nahitaji Plot safi maeneo ya Moshono, Arusha. Budget yangu TZS 7,000,000/= mpaka 9,000,000/= Kati ya Sqm 450 na 600sqm Kisiwe mbali na Lami. Iwe imepimwa safi kabisa. Mwenyenacho, tafadhali tutafutane.
  12. Baba Ndubwi

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Makunduchi (Makunduchi plot for sale.)- Zanzibar

    Plot for sale in Zanzibar - Makunduchi: Area : Makunduchi, opposite VETA college. Document : Title deed Distance: 1.5 kilometer from the beach (Clove Island Zanzibar Villas) Location: 6°24'27.6"S 39°33'52.2"E Size: 600 square meters Contact: 0682955526 Price: TZS 20 million Karibuni wakuu.
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Plot for sale at Kibaha Msangani

    Kiwanja kipo Msangani, Karibia na zahanati ya Kibaha kwa Mathias Msangani. Ukubwa mita 20 kwa 24 Milioni mbili na nusu Km 6 toka Morogoro road Umeme na maji vipo +255 762 689 034
  14. Dr Lizzy

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Plot inauzwa Bagamoyo

    IMPORTANT NOTE : Hakuna dalali! Eneo liko baada tu ya roundabout ya kuingia Bagamoyo (kituo cha daladala cha Kosovo) na ni hapo hapo barabarani. Eneo lina ukubwa wa 120 * 93 (m), kuna nyumba ya ghorofa moja (3 bedrooms/Jiko/ Ukumbi na mbele kuna frame 3 kubwa sana (6*8 m) Bei ni 450...
  15. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja plot no 157 Medeli East-Dodoma, ukubwa sqm 716 karibu na BOT, Morena Hotel, bei 90 milioni

    Njoo upate eneo la biashara lenye magorofa ya kutosha, haina udalali mmiliki ni mimi mwenyewe. Hati ipo Unaweza kwenda jiji ukamchukua surveyor mwenyewe mkaenda nae hata bila kuniambia ukiridhika nipigie namba 0753477905 tufanye biashara. Napakana na bustan jafo waziri(inapita katikat ya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Anayejua bei za nguzo za(Seng'enge) kuzunguka plot /kiwanja sehemu za Kijichi - Kigamboni

    Tafadhali, naomba msaada wa kujua bei ya ngozo tajwa hapo juu kwa watu wanakaa sehemu za Kijichi na kuendelea mbele. Nataka kuzinunua na cement, pamoja na kokoto kama wajua bei au unauza nisaidie nijue bei pia. Shukran
  17. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Ocean View Plot SalaSala

    Habari Wadau, Nauza Plot yangu yenye ukubwa wa 1000SQM, Plot iko Salasala Buzilili Street, Plot ina good view ya Indian Ocean (boti ya Zanzibar inaonekana vizor kabisa), Plot in a access ya Barbara mbili... Price Tzs 32MN KWA MOJA (ZIKO MBILI) Karibuni
  18. S

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nunua kiwanja Kigamboni Buyuni

    Unapoweka Lengo au unapolielekea Lengo Ulilojiwekea na Ukaona Kuna Vikwazo Vingi Katika Kulifikia au Kulielekea Lengo Hilo Kamwe Usibadili Lengo Lako. Jambo Muhimu Ni Kubadili Njia , Mkakati au Mbinu za Kulifikia Au Kulielekea Lengo Hilo . NUNUA VIWANJA NA TRUST SOLUTION COMPANY LTD. TRUST...
  19. Inevitable

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nina 180,000,000. Natafuta kiwanja kilichopimwa (Surveyed plot) jijini Dar

    Wakuu, Niliandika hapa Novemba 2020 (ref Natafuta Kiwanja cha kujenga jijini Dar. Nina Sh. Milioni 40 ) nikitafuta kiwanja na wakati huo nilikuwa na 40m tu. Viwanja vingi nilivyopelekwa ilibidi nirudi kujipinda nitafute pesa zaidi ili nipate kiwanja ninachotaka hasa. Kwa sasa bajeti yangu ni...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Plot for Sale 40x30 metres

    Kiwanja kinauzwa haraka Singida kipo maeneo ya uwanja wa ndege. Ni flat hakihitaji levelling. Bei rahisi 4m tu. Vile vile, kuna viwanja vya size mbalimbali vinauzwa eneo la Mwaja, SIngida. Kwa mawasiliano zaidi piga 0787-851
Back
Top Bottom