pili

The arrector pili muscles, also knows as hair erector muscles, are small muscles attached to hair follicles in mammals. Contraction of these muscles causes the hairs to stand on end, known colloquially as goose bumps (piloerection).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano Wa Pili, Kikao Cha Tisa, Tarehe 06 Februari, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=qNSa_QV1MuI
  2. JamiiForums Tanzania Bunge la 13, Mkutano wa Pili, Kikao cha Saba, Februari 4, 2026

    Fuatilia hapa MUBASHARA: https://www.youtube.com/watch?v=oztyMFTiKlc
  3. JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Tatu, Mkutano Wa Pili, Kikao Cha Sita, Tarehe 03 Februari, 2026

    Fuatilia LIVE HAPA: https://www.youtube.com/watch?v=wpq88St0dcA
  4. JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Tatu, Mkutano Wa Pili, Kikao Cha Nne, Tarehe 30 Januari, 2026

    Baadhi ya wabunge wakiwasili bungeni jijini Dodoma leo Januari 30, 2026 kushiriki kikao cha nne cha mkutano wa pili wa Bunge la 13. Katika shughuli za leo, kama ilivyo kawaida, kutakuwa na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge watauliza maswali na kujibiwa na serikali. Aidha, Bunge...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (wa pili kushoto) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (wa pili kulia) p

    Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (wa pili kushoto) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi (wa pili kulia) pamoja na Mkurugenzi wa Huduma za Kinga na Elimu ya Afya wa Wizara ya Afya ya SMZ, Dkt. Salim Slim (kushoto), na Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Afya...
  6. JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha pili yametoka, kumbe kuna shule zenye majina haya?

    Kumbe hizi shule zipo Job Ndugai High school Janeth Magufuli Secondary School Jenister Mhagama Secondary School Joel Bendera High school Janeth Magufuli Girls Secondary School Juma Zuberi Homera Secondary School January Makamba Secondary School Dr Tulia Girls Secondary School Daniel...
  7. JamiiForums Tanzania Ndege vita za Saud-Arabia zimeshambulia vikosi vya Yemen kwa mara ya Pili!!!

    Ndege vita za Saudia zimeshambulia vikosi vya Yemen
  8. JamiiForums Tanzania Hassan Mwakinyo ameibuka mshindi kwa knockout (KO) dhidi ya mpinzani wake, Eribo kutoka Nigeria, baada ya kumaliza pambano mapema raundi ya pili

    Wadau hivi hili pambano la mwakinyo ni kweli au kiini macho?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya ukiweka cpu ya kulala juu ya ndoo ya plastiki badala ya meza ya mbao ?

    wakuu habari zenu, nauliza hili swali kwasababu kuna mwanafunzi nilimpa cpu nikakuta kaiweka juu ya ndoo badala ya meza ya mbao
  10. JamiiForums Tanzania Ndoto ilitotabiri Mwisho wa Japani Kabla ya Hiroshima na Nagasaki: Sehemu ya pili

    Tuendelee na sehemu ya pili na ya mwisho. Kupanda kwa Prince Fumimaro Konoe kuelekea kilele cha mamlaka hakukuwa matokeo ya mapinduzi, bali mwendelezo wa urithi wa kifalme uliovaa suti ya siasa. Sasa mwezi Juni 1937, kwa mapendekezo na maneno mazuri kutoka kwa mlezi wake Saionji Kinmochi, Konoe...
  11. JamiiForums Tanzania Ndani ya siku sita hivi kuna taarifa nzuri wananchi watapata ,ila itakuwa kilio upande wa pili, japo kilio cha kinafki.

    Sina maneno mengi. Anzeni kuhesabu siku 6 kuanzia leo Ndani ya siku 6 huenda ikawa leo au kesho ila haitavuka siku 6. Mungu ataleta neema yake ambayo ni furaha kwa wananchi ila upande wa pili ni kilio japo cha kinafki.
  12. JamiiForums Tanzania Kwa macho ya kawaida utaona ni haki inagombaniwa, ila kwa taarifa za uhakika kinachopikwa ni Tanzania kuwa Congo ya pili

    CCM imekuwa chama imara sana katika kupigania nchi hii, toka 1961 msimamo wake haujawahi kupinda kutetea maslahi ya wananchi wake, kwa nje utaona ni vita ya kugombania haki ila kuna watu waliisubiri sana hii siku waonyeshe rangi zao halisi, Kinachoendelea ni vita kubwa ya kiuchumi...
  13. JamiiForums Tanzania Desemba twapanda ngazi ya pili. Mje mtuue tena sawa nye immortal

    Hehee! Mwajiona mashujaa kuua watu wasio na silaha hee! Mabingwa hao wa kuua ndugu zetu. Walahi msifikiri waliwaogopa wakipata silaha mtajua hamjui. Mwajiuliza watapata wapi sio. Heee! Viwanda viko peponi sio. Hehee! Mlianza wenyewe. Desemba haichekeshi. Hizo silaha mwaziamini mtageuziana. Niko...
  14. JamiiForums Tanzania Tamko moja tu la TEC, wametokeza Mashekh 100. Je, wakitoa la pili si mtakufa kabisa?

    GT Hao maaskofu wana msemo wao unasema " Don't argue with the fool"( Yaani usibishane na mjinga). inawezekana ikawa slogan fupi lakini ina ujumbe mzito sana. TEC wameshasema mara moja na hawajaja tena kusema lolote lakini BAR KWATA taasisi zote zime chomoza hadi za mchongo in short wanaongea...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nini sababu ya Makonda kuwekwa Naibu wa pili katika Wizara ya utamaduni?

    Kwani ni sawa wizara moja kuwa na Naibu Nawaziri wawili? Huyu mama mbona anaanzisha ambavyo havikuwepo kabisa? Na yote hii ni namna ya kutafuta kupiga pesa tu. Inawezekanaje Wizara moja kuwa na naibu mawaziri wawili?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ni mwezi wa pili sasa tangu watoto watundu walipoharibu Tv ya sebuleni sijatengeneza, niendelee kukaza au imetosha ?

    Sijaitengeneza ili wajifunze kuthamini na kutunza vitu. Huwa nawapa nafasi ya kuangalia TV yangu ya chumbani siku ya Jummosi tena ni masaa matatu tu saa tisa mchana hadi saa 12 jioni, baada ya hapo ni mpaka wiki ijayo.
  17. JamiiForums Tanzania Askari watahusika kuangamiza machawa awamu ya pili ya safisha safisha

    Nye Nye nyie! Bora Diamond aliamua kukimbia. Naambiwa hapa awamu nyingine ikitokea kuna wajuba machawa mashughuli watakula chuma huko majumbani wakikojificha kama yule sharifu majini aliyefuatwa kwake. Askari baadhi hawapendezwi na mitabia ya kichawa. Tayari orodha ipo bayana. Miye sijui walahi...
  18. JamiiForums Tanzania Barcelona 1 - 2 PSG kuna watu wanasema goli la pili ni offside

    Barcelona 1 - 2 PSG, kuna watu wanaamini goli la pili ni Offside kwamba hadi VAR imefanya makosa! Ushabiki wa hovyo kabisa!
  19. F

    JamiiForums Tanzania Mara ya pili sijapata gawio langu la Vodacom kupitia DSE – msaada tafadhali

    Wakuu, naomba msaada wenu wa uzoefu na ushauri. Mimi ni mwekezaji wa hisa za Vodacom Tanzania (VODA) kupitia DSE/CDS account. Tatizo nililonalo ni kwamba hii ni mara ya pili sasa sijapatiwa gawio langu. Nimejaribu kufuatilia kwa pande husika lakini majibu yamekuwa yanapingana: Nikipiga...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 ADA TADEA tunagombea Urais Ili Kupata Nafasi ya Pili

    Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ADA-TADEA, Juma Ali Khatib, amesema chama chake hakina dhamira ya kumpinga Rais wa sasa, Dk. Hussein Ali Mwinyi, bali kinalenga kupata nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar. Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa fomu za kugombea urais katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…