picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Picha: Hatimae nimejinasua kwenye penzi la kitumwa

    Mchumba huyu nimedumu nae miaka miwili Sasa, ila dharau na jeuri ndio Tabia yake sugu. Sasa imetosha.
  2. JamiiForums Tanzania Hii picha ni ya ajabu ama imekuwaje?

    Nimepiga picha kwa kutumia simu yangu ya mkononi. Lakini hiyo picha imejirekodi kuwa imepigwa mwezi March 2200, Wakati nimepiga mwezi March 2025. Nimeshindwa kuelewa imekuwaje?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Picha. Mwana-Uchumi aliyeamua kwenda VETA.

    Kama sio kupotezewa mda kukaa vyuoni kwa zaidi ya miaka 15 kusomea kitu ambacho hakitakuja kumsaidia, huenda Sasa angashajua kuunda gari nzima mwenyewe.
  4. JamiiForums Tanzania Kama kweli makanisa yanaongozwa na wasomi, ni kwanini picha feki ya Yesu mzungu bado inatumika? Yesu alikuwa Mweusi, kuna anayebisha?

    kama binadamu wote wametokea Africa (Genetic Fact), Adam na Hawa wamekuaje wazungu? https://www.instagram.com/reel/DOx5fvOkcVk/?igsh=MW43dWt5eWp5eWNvbA== ========================== Ukweli kwa sasa umejulikana, Yesu alikuwa mweusi, look up juu ya hili kwa mtu yeyote au chanzo chochote...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna mke wa mtu kanitumia picha ya utupu wake,nimueleweje?

    Wakuu,hizi ndoa za zama hizi naona zina matatizo sana. Well ni mke wa mtu nilikua namuimbisha,akajaa,ghafla mumewe kasafiri kwenda Dodoma kikazi,akaanza kuwa ananipigia simu mida mibaya,so jana usiku mimi nikamtania tu anitumie picha ya utupu wake nione ilivyo. Lahaula si akatuma kweli picha...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anapenda sana kujipiga picha na kujipost matandaoni, nimeongea mpaka nimechoka lakini habadiliki

    Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni. Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki...
  7. JamiiForums Tanzania PICHA Achana na magorofa machache city centre hii ndiyo DAR halisi.

    Kuna watu wanalilia kufika dar kisa magorofa ya kariakoo na posta. Ila kiukweli Dar ni mji wa kishamba sana. Kwa kweli watu wanaishintu kwa sababu ya tabu otherwise mhii wengi wangeshapakimbia. Lakini pia hiki ni kielelezo namba 1 kwamba waafrica hatuna akili na tu wabinafsi wakubwa kwa nchi...
  8. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa Kazi na Utu ya CCM katika picha; Ongezea ya kwako

  9. JamiiForums Tanzania PICHA: Kumbe Prof Assad ni MwanaCHADEMA

    Kumbe Magufuli alipomng'oa huyu CAG Mstaafu kabla ya wakati na kwa kinyume Cha Sheria alimfahamu kuwa ni Mwanachama wa CHADEMA!!
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake huwa mnajisikiaje ku-Edit picha zenu kisha kuzituma kwenye mitandao ya kijamii hali ukijua siyo halisi?

    Kwenye mitandao ya kijamii zimejaa picha za wadada wengi ambazo si halisi!! Mimi Nina ndg zangu wa kike kwenye ukoo ukimuona mtandaoni na picha zake halafu ukutane nae live lazima ukimbie. Picha nyingi zimejaa filter editing za kutosha kiasi kwamba mtu anageuka kuwa mrembo wakati siyo. Jambo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nawaheshimu sana walimu, lakini mwalimu yeyote akimfanyia mtoto wangu kama inavyoonyesha picha hii nitamtafuta kokote alipo tumalizane

    Hii picha sio ya kuigiza. Ni picha halisi ilipigwa na camera ya simu ambayo haikuwa na spidi sana ndio maana unaona kuna sehemu za picha ziko out of focus, kuonyesha zilikuwa zina movement ya kasi zaidi spidi ya camera ya simu. Na picha inajieleza. Hasira za mwalimu, maumivu ya mwanafunzi na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mwenyekiti wa CCM Taifa Cde Dkt Samia Suluhu Hassan aongoza kikao Cha Halmashauri Kuu kwa Mafanikio Makubwa

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), leo tarehe 10 Machi 2025, jijini Dodoma.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mechi kusogezwa mbele ni nafuu kwa simba, vuta picha leo wangeweka rekodi ya kufungwa mara tano mfululizo,

    mechi sio ya kuiogopa ila ni rekodi mpya inayoenda kuwekwa Acha tuendelee kuwa na amani ya kufungwa mara nne mfululizo, acha tuishi nayo. Leo simba angeingia kwa Mkapa ingekuwa kujifedhehesha tu, kwa Yanga hii ni jambo la wazi kabisa simba angekandwa, Shida ingekuja kwenye rekodi mpya ya...
  14. JamiiForums Tanzania Sherehe ni za wanawake wote ila Mabango yote yana picha ya mwanamke mmoja tu!

    Nilitaraji basi kuwe na Mabango ya wanawake wengi walio wahi kutoa mchango wao kwenye hili Taifa. Ila inaonekana mwanamke ni mmoja tu ni Mama, Wengine wote labda ni wanaume kwa mujibu wa chawa. Ilipaswa kuwe na picha za wakina Bibititi Mohamed, Spika wa Bunge wa kipindi kile Anna Makinda,vna wa...
  15. JamiiForums Tanzania Picha: Sababu za kiroho kwa nini Simba wanaogopa kupeleka timu uwanjani

    " Wajomba zangu nisiwafiche, Kwa Yanga hii Simba hamchomoki"
  16. JamiiForums Tanzania Hii picha imepigwa wapi na eneo gani la sehemu husika

    Kwenu wajuzi, hii picha imepigwa mkoa gani? Mji gani? Mtaa gani?
  17. JamiiForums Tanzania Picha Adimu za Mkutano wa Kura Tatu Tabora 1958

    Athmani Kondo ni mmoja wa Wazee Mashuhuri na Maarufu wa Tabora walionialika kuzungumza katika Kongamano la CCM kuhusu mchango wa Tabora katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Nilizungumza Ukumbi wa Chuo Cha Uhazili Tabora. Athmani Kondo ameniletea picha hizo hapo chini zikionyesha mambo kama...
  18. JamiiForums Tanzania Hii inaweza kuwa Picha Halisi au Picha Inayokaribiana kabisa na Mwonekano wa Yesu Kristo

    Tumsifu Yesu Kristo.... Bwana Yesu Afisiwe.... Tukiwa katika kipindi hiki cha kuelekea Pasaka, tuchukue muda kutafakari Mwanakondoo huyu, Sadaka na Kafara wa ulimwengu kwa ajili yetu, kwa namna alivyoamua kujitoa mwenyewe kutukomboa kupitia kifo chake. Mada ya Shroud of Turin imeshapostiwa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania PICHA: Namna Spika wa Bunge la Cuba anavyofanana na M|Kiti Steven Wassira

    WASIRA AZUNGUMZA NA SPIKA WA JAMHURI YA CUBA, OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA.* Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Bara), Ndg. Stephen Wassira amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Esteban Lazo Hernandez na ujumbe wake waliofika...
  20. JamiiForums Tanzania Tujifunze kutoka Katika picha hizi zenye mafumbo

    Tuanze na hii. Picha hii inamwonyesha tajiri akijiandaa kumpatia pesa masikini aliyekaa chini na kioo.Pia tunamuona tajiri akijiangalia kwenye kioo Cha masikini. Maana yake ni kwamba ,kama tutajiona wenyewe kama wenye shida na uhitaji hakika tutaguswa kuwasaidia. Picha ya pili hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…