Kesi ya uhaini inayomkabili mfanyabiashara Jenifer Jovin (Niffer) na wenzake 21 inatarajiwa kuendelea leo Novemba 25, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
Leo mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi juu ya hoja za mapingamizi zilizowasilishwa na upande utetezi (ukiongozwa...
Kwa Tafsiri isiyo rasmi kupitia ukurasa wake wa Intagram Wakali Peter kibatala ameandika kuwa;
"Kwanza kabisa tunaomba radhi kwa kukosa kutoa taarifa katika kipindi cha giza totoro; lakini kama mnavyoelewa, hicho kilikuwa ni kipindi kigumu zaidi katika historia ya maisha yetu hapa nchini, na...
Akizungumza kwaniaba ya jopo la Mawakili wanaomtetea Mwenyekiti wa Chadema Taifa Tundu Lissu baada ya Kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni kuahirishwa mpaka Julai 1, 2025, Wakili Peter Kibatala amesema kwamba walikuwa wamejipanga kwa ajili ya Shahidi ambaye ameanza kutoa ushahidi leo...
Hoja ya Wakili msomi Peter Kibatala kuwa jina la kanisa kwenye barua liyotumika kulifunga kanisa la Gwajima ni tofauti na jina la kanisa la Gwajima lililopo kwenye usajili, hivyo kulifunga kanisa la Gwajima ni makosa, Hoja kama hii ni nyepesi sana kwa mtu ambae anafahamika (raia, mbunge na...
Akisoma majibu ya Rufaa yaliyotumwa kwao Juni 6, 2025 kutoka kwa Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Wakili Peter Kibatala ametoa maelezo ambayo yanaonesha kuna “hali ya sintofahamu” kuhusu barua iliyotumika kulifungia Kanisa la wateja wake, Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa...
askofu gwajima
barua
fake
gwajima
halali
hisia
kanisa
kanisa la askofu gwajima
kanisa la gwajima
kibatala
mambo
mambo ya
mambo ya ndani
mitandaoni
moderator
ndani
peterkibatala
sakata
sintofahamu
thread
waziri
yangu
Wakili Peter Kibatala, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro pamoja na Wananchi wengine wameingia katika mjadali mzito kuhusu kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando aliyoitoa akimtumia ujumbe Askofu Josephat Gwajima.
Albert Msando ambaye kitaaluma ni Wakili alisema Askofu...
Waumini wamejua kuonesha umoja ambao watanzania wengi tunakosa, inabidi tuchukue mfano huu kutoka kwao. Maelfu kwa maelfu tukikemea uonovu wataweza kukamata nchi nzima?
====
Wakili wa utetezi wa Kanisa la Ufufuo wa Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, Peter Kibatala amesema waumini...
Kanisa hilo mpaka sasa limezungushiwa utepe wa njano wenye maandishi meusi, likiwa chini ya ulinzi wa polisi na hakuna muumini anayeruhusiwa kusogea, tangu alfajiri ya kuamkia Juni 3, 2025.
Juni 2, 2025, Msajili wa Jumuiya za Kiraia, Emmanuel Kihampa alitangaza kulifuta kanisa hilo kutokana na...
Kutoka Mahakamani Kisutu, Peter Kibatala anasema:
Katiba inasema mtuhumiwa achukuliwe hana hatia. Haya matendo yanayoffanyika hapa hayaeleweki kabisa. Akija Mzee Alute Lissu Wakili ataendelea eneo hilo.
Itoshe kusema kuwa ombi letu ni kwamba mahakama hii ina wajibu mtuhumiwaaliyepo Ukonga...
Jaribio lolote la kutomfikisha Mahakamani Antipas Tundu Lissu Mughwai tarehe 24 Aprili 2025 litakutana na upinzani mkali wa kisheria. Tunaamini kuwa wale walio na dhamana hawatajishughulisha na mipango ya kipuuzi ya aina hiyo.
Tunataka Antipas Tundu Lissu Mughwai ashtakiwe hadharani kabisa...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imepanga kutoa uamuzi Jumatatu ya Septemba 23, 2024 wa dhamana ya aliyekuwa meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai.
Uamuzi huo utatolewa baada ya upande wa mashtaka leo Alhamisi, Septemba 19, 2024 kumfikisha mahakamani na...
Sitaki niandike mengi kwa kuwachosha watu huu ni muda wa kazi. Nitaweka point 2 tu zitatosha:
1. Umemsikia kumpigania kwa njia za mahakama kada wa CHADEMA wa Tanga aliopo mikono ya Polisi?Jiulize kwanini? Sio mwanachadema? Hataki na yeye kupata haki?
2. Lakini si ulimsikia alivyokuwa akiongoza...
Mr. Jerry Silaa and You call Yourself a "Lawyer"?!.
Yaani a member of Tanganyika Law Society can behave in this most abhorrent way;like seriously?
My brother Alberto Msando: don't You talk to these Junior people [honestly I cannot refer to him as a lawyer] to school them on how to behave when...
Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society -TLS), utakaofanyika Agosti 2, 2024, Wakili Msomi Peter Kibatala ametishia kususia Uchaguzi huo ikiwa Wakili Boniface Mwambukusi hatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea
Soma; Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi...
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limemuachia kwa dhamana Godlisten Malisa majira ya Saa saba Usiku wa kuamkia leo Juni 8, 2024.
Baada ya kuachiwa moja kwa moja yeye na wawakilishi wake wakiongozwa na Wakili Hekima Mwasipu wakaelekea Hospitali ya KCMC kutokana na afya ya Malisa kudaiwa kutokuwa...
Hii ndio Habari ya sasa ninayoitoa kwenu, kama nilivyonukuu taarifa iliyopita ya Mahakama ya Kisutu kwamba kesi ya Wachochezi hawa itaendelea tena 06/06/2024
Kaa tayari kwa minyukano ya Kisheria kutoka kwa Wakili Msomi Peter Kibatala na Team yake.
PIA SOMA
- Boniface Jacob na Godlisten Malissa...
Dar es Salaam. Kesi ya wabunge wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18 dhidi ya chama chao hicho cha zamani imeanza kuunguruma mahakamani, baada ya kukwama mara tatu.
Mdee ambaye alikuwa mwenyekiti wa Baraza la...
From Adv. Peter Kibatala,
Greeetings Brethren.
I have the honour to announce that My Client, Jonas Afumwisye Mwangunga, who had been detained at the Central Police Station since his arrest on Friday 26th August 2022 at his Residence in Goba, Ubungo District, Dar es Salaam has been released on...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.