pesa

  1. G

    JamiiForums Tanzania nina milioni 1, ninunue kifaa gani au niwekeze huduma ipi kwenye tech niingize pesa ?

    N:B: Sihitaji idea za PS, kamari, forex, bitcoin. habari zenu wana tech, naombeni mnipe ideas Nipo mazingira ya mjini binafsi ni muajiriwa lakini ni mdau mkubwa sana wa side hustles Nahitaji wazo au vifaa / huduma walau kuingiza elf 10 kwa siku, niliwahi kufungua banda la games tatizo kubwa...
  2. JamiiForums Tanzania Je, kumfungulia Biashara mkeo unaweza kuacha kutoa pesa ya matumizi nyumbani?

    Wanaume kwenye familia imekuwa ni jukumu la msingi kuhudumia familia lakini bado wanaume ndo wenye jukumu la kuhakikisha ndoto za familia na maendeleo mengine yakue kwa kipato anachopata. Lakini naomba kuuliza endapo mwanaume hasa waliopo kwenye ndoa je unapoamua kutafuta mtaji na kufungu...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kaenda kuolewa na pesa zangu

    . Wakuu nilikuwa naishi na huyu mke wangu, ilikuwa imetimia miaka 4 tayari, kwao walikuwa wananijua na kwetu wanamjua vizuri, alivyo maliza kulea mtoto mwaka juzi tukashauriana ajifunze masuala ya saluni Ili badaye nije nimfungulie duka la vipodozi na saluni hapo hapo Kwa maana Mimi ni fundi...
  4. JamiiForums Tanzania Mikeka: kiasi gani cha pesa uliwahi shinda kupitia betting?

    Najua vijana wengi wanafanya betting ya football, casino nk kama sehemu ya kujipatia kipato. Wapo wanaoshinda na wapo wanaoliwa sana pesa zao. Leo tuambie kwenye reply, ni kiasi gani umewahi shinda kupitia betting au ni hasara gani umewahi ingia kupitia beeting?
  5. JamiiForums Tanzania Dotto yupo sahihi wasomi hatuutumii mtaji wetu wa elimu tulio utafuta kwa miaka mingi kutafuta pesa kama wengine

    Dotto anaongea ukweli wasomi lazima wabadilike tena sana. Zaidi ya vyeti na ajira ni kitu gani kikubwa msomi ana miliki wakuu? VYETI: Msomi akifa watoto hawawezi kurithi vyeti. Akifa tu vyeti vinatupwa jalalani havina kazi tena. AJIRA: Msomi akifa watoto hawawezi kuirithi. Akifa tu ajira...
  6. JamiiForums Tanzania Shirika la Posta linatumia kigezo gani kutoza pesa?

    Nilipokea SMS kuwa nifike posta nikachukue mzigo wangu na pia kuna malipo ya 3000/-. Mzigo wenyewe hata gram 10 haufiki na hiyo 3000 inakaribia nusu ya gharama ya kununulia bidhaa, pamoja na usafiri mpaka kufika Tanzania. Mimi nilitegemea mzigo wangu utakuja kwa speedaf kwa sababu nilichagua...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Fanyeni kazi vijana hela zipo nje nje ukifanya kazi. Acheni ngonjera eti kuna serikali ya kuwajazia pesa mifukoni

    Vijana ni kama wamewehuka hasa kwa sasa wamebaki wanasubuli tu mwabukusi amesema nini leo ili iwe topic siku nzima Hawajui kuwa selikali inaweza kuamua kulifuta hata hili li TLS likizingua
  8. G

    JamiiForums Tanzania Snowfall: Teddy alikuwa serious alipokubali kumrudishia Franklin nusu ya pesa aliyomuibia?

    Teddy alimuibia Franklin pesa zote kwenye account Dola milioni 73 bila kuacha senti Franklin aliweza kumkamata na kumtesa mpaka akakubali kumlipa nusu ya pesa aliyoiba dola milioni 37 bad luck, Cissy mama wa Franklin alimuua Teddy. Yote kwa yote, Teddy alikuwa serious kumrudishia Franlin Pesa ?
  9. JamiiForums Tanzania The Ultimate Guide to Starting a Blog in 2024 in December

    Introduction: Why Blogging in 2024? Starting a blog in 2024 offers incredible opportunities for personal expression and financial gain. With advancements in technology and digital marketing, blogging has become more accessible and rewarding. Whether you're aiming to share your passion, build a...
  10. JamiiForums Tanzania NMB huwa wanatoa wapi pesa za kugawa

    Huwa naona NMB wako mstari wa mbele je hizo pesa huwa wanatoa wapi maana ni nyingi sana kwa mwaka mzima?
  11. JamiiForums Tanzania TRA kudhamini Ndondo CUP, Pesa hizi wanatoa wapi?

    Nimeona leo TRA wamekuwa wafhamini wa ndondo cup.. watasema sijui wanataka kujitangaza? TRA wanafanya biashara gani? Pesa za walipa kodi ndio wanatumia kwa upuuzi huu? Sijasema ndondo cup ki upuuzi lakini Mil 40 zinajenga zahanati 1 kijijini? Kazi ya TRA ni moja tuu, kukusanya mapato na...
  12. JamiiForums Tanzania Akili kumi za kuiteka pesa

    Hello money hunters! Leo nimeona niungane na Tony robbins aliyesema",90%ya mafanikio ya mtu ni psychology and only 10% ni mechanics"  kwenye harakati za utaftaji psycholojia yako ina matter zaidi kuliko msuli wako,kuliko ile bidii yako ya kimwili,mental capacity ndio imebeba Siri za kuiteka...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mahusiano sio hitaji pekee mpaka usumbuke nalo kila siku, usisahau pesa pia huna

    Kuna mtu toka umfahamu yupo na heka heka za mahusiano tu kuanzia maongezi mpaka vitendo ila KI UCHUMI hali yake mbaya Yawezekana ukawa wewe pia 😊 Mawazo yanayotembea kichwani mwako kwa wingi ni mahusiano tu , unatafuta ubunifu wa mahusiano kwa kasi kubwa zaidi ya unavyotafuta ubunifu...
  14. JamiiForums Tanzania Jana nimeiona nguvu ya pesa

    Hello! Jana saa moja usiku kuelekea saa 2 nilikuwa nawatoa madogo out. Nimefika njia panda kuna huduma nilikuwa naipata kwa wakala wa pesa. Mara jamaa wawili wanafika wakaweka pozi fupi. Wakaanza kupigiana simu na mama mmoja kuhusu biashara fulani. Inaonesha huyo mama ni mteja wao wa muda...
  15. JamiiForums Tanzania Mitego ya Rais ya kununua Magoli iwakamate wajinga wa hili Taifa tu. Mimi siwezi kamatwa kamwe

    Sijui mantiki au logic ya kununua magoli ni ipi, ila ninacho jua kuna makumi kwa maelefu ya Watanzania wanataabika sana mtaani unaweza zania nchi haijapata uhuru, Raia wanaaugulia majumbani hawana pesa ya vipumo vya hospitali, ambako unakuta kipimo kimoja ni zaidi ya laki na mtu hana kwa sababu...
  16. JamiiForums Tanzania Point tatu muhimu zinazowatofautisha watu wa kanda ya ziwa Na watu wa kaskazini katika utafutaji wa pesa

    Nimeishi kanda ya kaskazini miaka minne nilikuwa ninaishi Moshi mjini lakini nafanya kazi mkoa wa Arusha...Na hizi ndio point tatu muhimu Na moto wa gesi zinazowatofautisha watu wa kaskazini na watu wa kanda ya ziwa katika utafutaji wa pesa. ( 1)Ujuaji yaani kujifanya kujua Kila kitu, watu wa...
  17. JamiiForums Tanzania Swali: Serikali kushindwa kuwadhibiti wakopeshaji wa online ni ishara kuwa hii nchi wenye pesa wana nguvu kuliko serikali?

    Hello! Suala la kero za wakopeshaji wa mitandaoni limekuwa kero kubwa. Kila ukiperuzi mtandao wowote Tanzania usipotumia VPN matangazo ya mikopo yatajazana mbele yako mpaka kero. Kwa wakopaji kero wanazokutana nazo ni pamoja na kudaiwa pesa kabla ya siku ya makubaliano, kudhalilishwa, watu...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi pesa zipo Dar au mkoani?

    Wasalamu,Ukienda Dar kutafuta pesa wenyeji wanakuambia pesa umeziacha mkoani. Ukirudi mkoani wanakuambia pesa umeziacha dar. Watu wa uchumi naomba ukweli hela iko wapi?
  19. JamiiForums Tanzania Hivi pesa zipo Dar au mkoani?

    Wasalamu,Ukienda Dar kutafuta pesa wenyeji wanakuambia pesa umeziacha mkoani. Ukirudi mkoani wanakuambia pesa umeziacha Dar. Watu wa uchumi naomba ukweli hela iko wapi?
  20. JamiiForums Tanzania KERO Ukienda Polisi kuwataka watrack Simu iliyobiwa, bila Pesa hufanikiwi

    Tarehe 16.7.2024. Nilliibiwa simu ktk eneo langu la kazi. nikaenda polisi kutoa Taarifa wakanipa RB baada ya hapo nikaambiwa ni subili mpelelezi, kufika kwa mpelelezi, ananiambia kutrack simu kuna gjharama. Gharama ya kutrack simu ni shilingi 100,000/=. Thamani ya simu yangu iliobiwa ni shilingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…